Wazee wa kupora, wameamua kupora Syria tena supa pawa wa EPSON na CANON PRINTER.
Akinya bata kaharisha...Kweli kunya anye kuku...
πWazee wa kupora, wameamua kupora Syria tena supa pawa wa EPSON na CANON PRINTER.
AhahahaAkinya bata kaharisha...
π
Umeme umekata, karatasi zimeisha so bira waibe tu!
Jaribu hivi mdau...Ahahaha
Mkuu unaweza ukanirikomendia vitabu vya Geopolitics,ili nivisome
Nahitaji kuwa nondo kama pro russians wengine wa humu
Uliwahi ugua ugonjwa wa akili ?Nyie mnajiona mnajua kuchanganua vitu kwa story zenu za vijiweni,
Marekani anakuonesha kile anachotaka wewe uone, ndio maana una details nyingi za Russia kuliko za marekani..
Nchi ambayo Ina spend over 800bil us dollars, ufananishe na ambayo inatumia 60bil kwa mwaka 2021.
We umekaa tu huko mmeshiba viazi mna ichukulia poa US! [emoji16]
tukupe majina na picha kwani tulilipuka nao kwa pamoja.Sisi Kama wa Ukraine tunaomba picha.
Na majina yao, Kama vile ambavyo sisi huwa tunawapa. Ova
MwanakulitafutaRussia attacks US coalition targets in Syria
According to senior U.S. military officials, Russia has attacked a U.S. base in southern Syria that serves as the international coalition against ISIS. ###
(Haaretz)
mwaka huu watapuliza Moto sana ni mwendo fuuuuu fuuuu fuuuu kho kho kho fuuuu fuuuu fuuuu kho kho .Wameshaanza kukata kuni kwa ajili ya akiba ya winterπππ Poland ni Ifakara iliochangamkaπππ
Kumbuka siraha zote unazotaja baba yao ni nyuklia ambazo USA alianza kuzitumia karne ya 19 sasa wewe unazungumzia nini....kwamba mtoto anaweza mzidi babaake busara ....kweli wewe ni id..ot yaani unamlingishia USA siraha.....duuuhDogo bado mweupe sana kichwani hio bajeti ya Urusi inaenda sawa kabisa na US, kwakua ubongo wako umejaa kamasi acha tukuache. Unajua US nusu ya hio bajeti anatumia kwenye kununua malighafi za kutengenezea silaha? Ana import.
Unajua Russia malighafi zote anazo za kutengenezea silaha unafikir bajeti zitakua sawa? Ulishakaa ukajiuliza kama Russia akiamua kudouble bajeti yake unafikiri nini kitatokea??.
Nakupa mfano rahisi kabisa, wewe unazalisha chuma mimi sina chuma nategemea kununua ili nitengeneze bidhaa. Wote sisi ni watengenezaji wa bidhaa unafikiri bajeti yangu na yako zitakua sawa???.
Unafikiri kwanini bidhaa nyingi kutoka Russia ni cheap na zina quality??
Nasikia hata kwenye kuchezwa machale anaongoza yani ninja si ninjaHuyu mzee ni kiboko yani kila kona yupo imara...Ukimfata kwa mkono anakufumua [emoji23][emoji23][emoji23] ukija Ikulu anakunyoosha yani ni hatari na nusu
Air defense anayo sasa?Kumbuka siraha zote unazotaja baba yao ni nyuklia ambazo USA alianza kuzitumia karne ya 19 sasa wewe unazungumzia nini....kwamba mtoto anaweza mzidi babaake busara ....kweli wewe ni id..ot yaani unamlingishia USA siraha.....duuuh
redundancyKwann nyuzi ziunganishwe wakat kila mtu ana source zake na stori zake hapa jf huwa inaniboa sana ACHENI KUUNGANISHA NYUZI ZA UKRAINE LET BE INDEPENDENT..TO EVERYONE
Kutokea kwenye ule msafara wa km70Unateseka kutokea wapi MKUU[emoji23][emoji3][emoji23]
Kumbuka siraha zote unazotaja baba yao ni nyuklia ambazo USA alianza kuzitumia karne ya 19 sasa wewe unazungumzia nini....kwamba mtoto anaweza mzidi babaake busara ....kweli wewe ni id..ot yaani unamlingishia USA siraha.....duuuh
Mwonee huruma hatambui kilicho mponyoka mdomoni, jamaa inaonyesha kazoea mipasho πππUrusi alisema nchi itakayoingilia kuisaidia Ukraine.
Ishu ya kutoa silaha sio kitisho kwa Urusi wewe mwenyewe ni shahidi si unaona lakini anavyozichoma?
Urusi alikua anamaanisha nchi yoyote ikiwa na nchi moja au kikundi kama NATO.
Maana anajua USA au NATO wanaweza fanya kama walivyofanya Yugoslavia/Kosovo,Kuwait/Iraq,Libya, Afghanistan.
Kwamba wakiingiaza majeshi TU watarajie kupigwa vita ambayo haijawahi pigwa happ kabla.
Je Kuna nchi imeingiza majeshi kama huko Iraq, Afhanistan au Libya?
kuna watu wanachekesha humu ππππππππππBlackjack haiifikii hata B-1B lancer kiuwezo
Nashukuru mkuuJaribu hivi mdau...
1. Prisoners of Geography cha Tim Marshall
2. The Revenge of Geography cha Robert Kaplan
3. The World cha Richard Haass
4. The Culture Map cha Erin Meyer
5. The Accidental Super Power cha Peter Zeihan
6. The Quest cha Daniel Yierg, hiki ndani anazungumzia Energy, Security and the remaking of the Modern World
7. Who rule the World cha Noam Chomsky
8. The Tragedy of Great Power Politics cha John Meaesheimer
9. The Shock Doctrine cha Naomi Klein, huyu kuna kitabu kingine kaandika kinaitwa "No Logo" ukipenda nacho kitafute
N.k