lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Mathanzua na MR MAJANGA Hawa ni mabeki Bora kabisa katika mada hii,Hawa ni mabingwa wa kuondoa magoli yaliyooelekezwa golini.
kwa hiyo unataka kutuambia Russia ndiyo inashikilia usalama wa Dunia hii? ufafanuzi tafadhali.Akaongeza hu mkataba ni US inatakiwa aje kuomba uongezewe muda hata kwa kutambaa inabidi aje tu, vinginevyo Russia haitapaja joto uhusiano na US! (Ni kwa tafsiri isiyo rasmi ya maelezo ya Dmitry M.)
====
👏👏👏Ndio nandio aina ya DUNIA tunayoihitaji
Ha ha haa.Vifaa tiba vya mnyamwezi Putin vinasubiria wakae kikao cha mafunzo tu ili waweze kufutwa wao na M113 sijui APC zao...Tunasubiria taarifa kutoka Moscow ndani ya masaa 24 ya kazi😂😂😂
Hii vita imetuvua nguo sana sisi Pro USA na NATO.Hahahahah US anatengeneza silaha zenye uimara wa biskuti kumbe, ikitiwa maji tu kinaumana.
G-Funk Sasa hivi unashambulia sana,punguza kidogo.Gharama ya meli moja inaweza kufidia maisha ya wanajeshi wa Ukraine takriban 1000 wanaokufa na mizinga ya Mrusi kila siku. Jana Mecenaries kadhaa na majenerali wa Ukraine wapatao 50 wamechezea Iskander kwenye stoo waliokuwa wanapeana mafunzo.
Rejea taarifa hiyo, baada ya kunywa maji ukiwa umetulia. Utaelewa vizuri kilichoelezwa., Mkuu.kwa hiyo unataka kutuambia Russia ndiyo inashikilia usalama wa Dunia hii? ufafanuzi tafadhali.
Hamna kitu, wala hajui lengo la Urusi Ukraine ni lipi.G-Funk Sasa hivi unashambulia sana,punguza kidogo.
Wapige kidogo halafu wape matibabu wasije wakahama jukwaa.
Nimevutiwa zaidi na tamko hili.Russian officials have stated that Lithuanian’s move is an egregious breach of international law and akin to a full blown economic blockade and an attempt to “place the region in an economic chokehold.”
Russia has warned that unless the ‘blockade’ of Kaliningrad is lifted immediately, Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.
Many countries, including EU member states, imposed sweeping sanctions on Russia in response to the military campaign in Ukraine launched by Moscow in late February. The European bloc closed its airspace to Russian aircraft on February 27, and Moscow responded in kind, banning many European airlines.
====
RED: Kwa ajili ya msisitizo.
Madogo wanaleta mchezo na Urusi hawaG-Funk Sasa hivi unashambulia sana,punguza kidogo.
Wapige kidogo halafu wape matibabu wasije wakahama jukwaa.
Lengo la Urusi Ukraine ni kukupa nafasi ya kuja kuwasifia mashoga wa NATO humu jukwaani bila shaka.Hamna kitu, wala hajui lengo la Urusi Ukraine ni lipi.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝Russian officials have stated that Lithuanian’s move is an egregious breach of international law and akin to a full blown economic blockade and an attempt to “place the region in an economic chokehold.”
Russia has warned that unless the ‘blockade’ of Kaliningrad is lifted immediately, Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.
Many countries, including EU member states, imposed sweeping sanctions on Russia in response to the military campaign in Ukraine launched by Moscow in late February. The European bloc closed its airspace to Russian aircraft on February 27, and Moscow responded in kind, banning many European airlines.
====
RED: Kwa ajili ya msisitizo.
Na anayeambiwa hivyo ni mwanachama wa NATO !Nimevutiwa zaidi na tamko hili.
Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.
Wacha inyeshe kidogoNimevutiwa zaidi na tamko hili.
Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.
Fuso Mimi sitaki kabisa kubishana na wewe,kwa sababu wewe ni ndugu yangu kabisa.Hamna kitu, wala hajui lengo la Urusi Ukraine ni lipi.
Hamna jinsi inabidi muendeshe baskeli tu hadi muanguke mufe mkwepe lawama😂😂😂Hii vita imetuvua nguo sana sisi Pro USA na NATO.
Aisee sikuwahi kuujua ubabe wa Urusi.Na anayeambiwa hivyo ni mwanachama wa NATO !
Ndio, Ugomvi wa US na Russia umefika level mbaya sanaKuna taarifa Russia kalipua kambi ya US huko syria. Bado naifatilia kama kuna mtu ana full news tupatie