Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siwezi kukupa maarifa makubwa maana uwezo wako ni mdogo sana kijana. Nimekupa maelekezo mepesi kama mtori ili kuendana na level ya akili yako.
 
Rubble
inazidi kuchanja mbuga tu na US aombee tu China wasije wakaungana na Urusi kuitaifisha dollar na kuipandisha Ruble maana atasaga meno USA!

China amekamatia % kubwa ya soko la exports duniani hivyo kupindua meza ni simple tu kama urusi alivyolazimisha hela iingie kama ruble😂
 
Aisee sikuwahi kuujua ubabe wa Urusi.
Hii vita imenifungua macho na akili.
Mimi nilianza nao kitambo kuwafutilia, lakini nilizidisha kasi kuwafutilia toka 2014! Nikaanza kufuatilia hata wa Movies zao na zile za Belarus. Movies zinatengenezwa kwa akili tupu! Siyo zile za jamaa zetu movie ukiaangalia 1/5 yake unajua itaishaje. Wale jamaa wako serious, hawana utani kabisa.
 
🤣🤣🤣mwanaume gani anayelilia msosi wa mwenzake wakati yeye kashindwa kutafuta wake ⁉️ ukitaka kufaidi chinja jogoo wako sio kwa kudoea wa jirani.
Ke
 
Movie zao za Mjeda mmoja kuua kambi nzima dk 5 akat wanasota miaka kenda rudi kusumbuana na wale wachunga mbuzi wenye ndevu nyiiiingi.

Kingine kwenye movie zao Erotic scenes zimejaa, now wameenda mbele hatua 100 wanaweka hadi scenes za Ugasho. Na hii mambo wamewarithisha wakorea.

Ukimwacha mwanao kwenye TV week 2, ile week ya tatu utamkuta anajaribisha aliyo yaona kwa mtoto wa Jiran.
 
sasa lengo la vita ilikuwa ni lipi kiongozi? au mnaishia Donetsk, Luhansk na Mariupol?
Comments za Aina hi ndizo ambazo huwa zinaonesha utupu na uelewa wa chini kabisa wa issues kwa baadhi ya watu....mtu ameingia kwenye himaya yako amevunja gate na kuingia sebuleni na hata kwenye vyumba vya watoto halafu mtu anasikika kutoka kwenye baadhi vya vyumba akisema lengo laki lilikuwa ni kuvunja vyumba hivyo tu?!?!
 
Punguza hasira
 
Hodi hodi naingia, uwanjani nimetua
Putin katufungua, Wote tumejionea
Beberu limepotea, Limebaki kujinyea
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikeshi

Kelele tulisikia, Mashoga walizipiga
Wakoloni kuingia, Ili ngumi kuzipiga
Ona sasa wanalia, Kiatu kina mchanga
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikseshi

Ujanja wa marekani, Wa kuchapisha mapesa
Sasa hatupo gizani, Urusi anatukosha
Sisi siyo masikini, Ujinga tunakomesha
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikeshi
 
⚔️⚔️⚔️Strangeness of the sanctions war
1. March. The Biden administration said that they intends to throw Russia out of the oil market and deprive her of income.
2. June. Reuters reports that Russia has become No. 1 in oil production and supplies to China, surpassing Saudi Arabia⚔️⚔️⚔️
 
Hhhh
Mm ball boys MKUU ila hao wengne ndio wenyewe
Ila pro RUSSO bana akili mingi na akili kubwa sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…