Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umewasahau na wafilipino yaani kwenye tamthilia yeyote lazima ukute kuna shoga
 
Kwa mwandishi πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Kwa Putin. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Kwa wapenda haki πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Unafikiri wana hoja basi!
Leo kuna mtu kaleta uzi humu akidai AKILI ni kile kinachobakia baada ya kuondoa ulichofundishwa darasani.
Nadhani pro USA ukiondoa vya darasani hata sifuri hawabaki nayo,ni negative tu

Nimejaribu kuangalia kma ameni quote lakin sijaona bila shaka hana hoja. Hana cha kujibu[emoji23][emoji23]
 
Hhhh
Mm ball boys MKUU ila hao wengne ndio wenyewe
Ila pro RUSSO bana akili mingi na akili kubwa sanaaaaa
Ha ha haa mwamba wewe ni full back.
Upo toka Daya one ku counter attack propaganda za pro west.
Upo kikamilifu sana.
Sisi wasomaji tunasoma neno kwa neno, sentensi kwa sentensi na aya kwa aya.
Tunamsoma Kila mmoja humu,hivyo tunajua mbivu na mbichi.
Tuko pamoja Mkuu toka long time kitambo.

Ila sijui wadau wengine wako wapi siku hizi.
Akina;
Dotword
Maalim sheweji,
Richard Spencer,
Na wadau wengine.
 
Warusi wa JF tukae mkao wa kula, kuna kiroboto mmoja wa NATO (Lithuania) kajifanya kuzuia treni ya mizigo (chuma n.k.) ya Russia isipite maeneo yake, Putin kamweleza atajibu uchokozi wa Lithuania kwa kuipatia nchi hiyo 'kipigo cha mbwa koko'.....

Uzuri wa Putin akiongea huwa hatanii...

 
MKUKI HAUPIGWI KONZI kaka ....
 
Hao waungwana wamekua adim kwel kwel doooh
Ila naamini harakati zakimaisha tuuu
 
Licha ya vingi vikwazo,Putin kaviepea
Beberu kalia kwavyo,kundule kaliachia
Putin kaingizamo,beberu kaingiziwa
Kweli ngoma ya watoto,siku zote haikeshi
 
Walipakodi gani mkuu, USA ana print tu pesa halafu mataifa mengine tunaendesha hizo base kupitia mikopo aliyotupa baada ya kuprint,

Bila kuprint pesa USA hana uwezo wa kuendesha base zote hizo duniani Kwa uchumi wake wenye deficit
Na mie nomba nizungumze kitu tuendelee kuwaumbua hawa matajiri wa mchongo πŸ˜‚

Ndugu zangu turudi tena tuigusie ile principle yetu pendwa ya Demand and Supply.

Leo tuizungumzie katika muktadha wa mzani... Demand ikiwa mkono wa kushoto na Supply ikiwa mkono wa kulia. Halafu zile Movement za Up and Down za Mzani tuzipatie jina la Value ili mfano wetu rahisi uweze kueleweka kwa kila mtu.

Unapoweka jiwe la kilo 1 upande wa kushoto, hiyo tuiite demand. Kama upande wa kulia hakuna "Kitu" chenye uzito sawa na ule wa kushoto "demand" basi mzani wako utapanda juu, maana ake sasa value inaongezeka.

Utakapoanza kujaza upande wa kulia taratibu mzani utaanza kushuka hadi itafikia hatua unakuwa balanced. Yani kulia na kushoto kunakuwa sawa.

Kabla hatujaendelea niwahamishe kidogo, Wengi mmekua mkisikia neno Stable Currency, Stable Currencies ni fedha ambazo zinamaintain Value in long term. Haz'fluctuate mara kwa mara.

So ukirejea kwenye mfano wetu wa mzani ni kua, Upande wa kulia na kushoto, rate ya demand na supply zinawiana.

Hapa sasa ndipo ilipo hoja ya kuumbua taifa flan. US Dollar ni free float currency, ni Currency ambayo haipo pegged to anything. value yake inategemea Market force, that's demand.

Katika miaka ya hapo nyuma tumeshuhudia US ambavyo amekua akiforce matumizi ya hela yake duniani kote hivyo kuiweka USD in high demand.

Huu mwanya kwa ambao walikuwa hawajui, ndio mwanya aliotumia US kuchapisha fedha zake kila mwaka unnoticed kwa walio wengi.

Nyakati ambazo anaforce 'demand', nikiwa na maana ya matumizi ya ela yake. Upande wa kushoto anaongeza Supply ya dollar kwa kuichapisha zaidi hivo value kua almost the same ndani ya kipindi kirefu.

Ukirudi kwenye mzani ni sawa na kuongeza jiwe la robo kilo upande wa kulia kisha kujaza unachojaza upande wa kushoto mzani uendelee ku-balance.

Na hali hii inatoa majibu, kwanini Petro-Dollar ikifa, inasepa na uchumi wa US. Ndio Petro Dollar ikisepa maana ake demand inapungua, hapo ni sawa na kupunguza jiwe upande wa kushoto hivo mzani unashuka chini.

Nini kitatokea, ni kwamba zile fedha zilizokua zikiingizwa kwenye mzunguko kila mwaka hakutakuwa na demand ya kuzifunikia. Matokeo yake ile budget ya ma-trillions of dollar will be no more πŸ˜‚.

Chukulieni mfano zile dolla trillion 3 zilizochapishwa ndani ya miezi kama mi3 hivi. Hizo zinaongezwa kwenye Uchumi wa US, Pro west waendelee kukaza mafuvu kutwambia Uchumi wa California ni mkubwa kuliko wa Russia.

Huh na sasa imekua rahisi kuwaeleza hili kutoka kwenye Ruble ya Mrusi.

Value ya Ruble imekua ikiongezeka kila siku kutokana na demand kua kubwa as we know, petro-ruble kwa mazeru zeru wa EU while supply ikiwa ile ile ya mwanzo (Means hakuna ongezeko la uchapishaji note za rubble) hivyo value yake inaenda inapanda tu.

Lau kama US asingekuwa anachapisha fedha, akaendelea kukomalia matumizi ya fedha zake bas leo hii dola 1 ingebadilishwa kwa pesa ndefu sana mithili ya Bitcoin.

Sasa hizo printed paper anazozijazia kwenye supply, anazidumbukiza kwenye uchumi wake, Day to day anaonekana ni Trillions dollar economy by far kuliko mataifa mengine.

Siku zijazo, Russia nae ataweza kujifanyia yake. Katika kuzuia ongezeko zaidi la thaman ya Ruble, atafanya kuongeza Ruble zingine kwenye mzunguko. Ili kuikeep Ruble ndani ya range ya value flan.

You know what it means πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni Skyrocketing of Russia's economy as government itakuwa na fedha nyingi sana za kutumia!

Hii issue nataman tungekua tumekaa mahala tunaizungumza, maandishi hayamalizi kila lililomo kichwani.
 
Tazama macho hayaoni rangi nyeupe, yanaona rangi 7 tu Blue to Red a.k.a Raaaaaaaaaaaiinbow kama Babu yao!

We tazama,
Kisha tazama,
Ase we tazama tuuuu 🌚.
 
Mzee hapa tupu nimepata mwanga
 

UKRAINE ATTACKS RUSSIAN DRILLING PLATFORM IN BLACK SEA OFF CRIMEA​



The Ukrainian armed forces have attacked an Oil & Gas Drilling platform in the Black Sea off the coast of Crimea.
A reported missile strike by Ukraine, blew up the Chernomorneftegaz drilling platform.
The platforms of Chernomorneftegaz were hit this early morning, the head of the Crimea, Sergei Aksenov, says.
β€œThis morning, the drilling platforms of Chornomorneftegaz were attacked. I am in touch with colleagues from the Ministry of Defense and the FSB, we are working on saving people. Five people were rescued with three of them reported injured. The search for the rest of them continues. The Ministry of Defense ensures the conduct of a rescue operation with the involvement of patrol ships and aviation. We will provide updates on the events,” the head of the Crimea said in his post.
Chernomorneftegaz is an enterprise that independently carries out exploration and development of oil and gas fields in the Crimean sector of the Black and Azov Seas."

Word on Intel Circuits is that Russia will launch retaliatory strikes on "Ukrainian decision making centers."


My take:
Gentlemen we are now in unchartered waters in that the war has entered a new phase.Russia knows pretty well that Ukraine is unable to lodge this kind of attack without the help of the US and NATO.Will Russia sit back and watch being annihilated? I do not think so.Let's keep our fingers crossed and keep on praying,but the situation is serious
.
 
Shukran mkuu kwa elimu hii ya ziada
 
Kwa hivyo takbir ni dini...ha ha ha!!
Tatizo huu ugomvi mumekaa kidini na kushikiliwa akili kidini kisa mliaminishwa kuchukia Marekani kwenye hiyo dini yenu ya waarabu...
Kwa hivyo takbir ni dini...ha ha ha!!
Tatizo huu ugomvi mumekaa kidini na kushikiliwa akili kidini kisa mliaminishwa kuchukia Marekani kwenye hiyo dini yenu ya waarabu...


Achaga hizo mambo we dhalimu usie na aibu

Waislamu walioko vijijini hata hii habari hawaijui unawatukania nini?
 
Movie zao unazipaje Mkuu?
Nilikuwa nazipata YouTube, sema kwa sasa baada ya Operation ya denazification na demilitarization huko Ukraine kuanza YouTube amekuwa wanahujumu Channel za YouTube kutoka upande huo. Mfano, Epic Media English. Yaani Hata Wikipedia ukisearch habari zake unazipata kwa mbinde. Epic Media ni watoa movie maarufu wa Russia.
 
Ubarikiwe sana Mkuu. Hii shule yako muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…