ndugu vita hii si ya kuisha leo wala kesho, ni vita endelevu na kama Dunia ni lazima tujifunze kuishi nayo kama ilivyoishi na Ukimwi na sasa Corona.Hii vita bado tu haitaki kuisha?
sawa, tunasubiri hiyo vita basi, mwezi wa 4 huo kitu kimegoma kumeguka - endelea kusifu na kuabudu.Putin anawatuliza washauri kwa kuwaambia hio ni operation tu si vita, Putin ni kama kwa namna flani anawatuliza wenzie. Sasa tujifikirieni tu Russia si nchi ya propaganda wala kujisifu, lakini unapoona kiongozi wa nchi ya Russia anasema ni operation unaelewa nini?
Katika majibizano yoyote kuna atakayekuwa sahihi na atakayekuwa hayuko sahihi. Hiyo ni kawaida katika kujibizana. Ikitokea Ukraine wakawa kwenye advantage basi karata itageuka, isipotokea basi tunaosapoti Ukraine tutakuwa failure na wanaosapoti Urusi watakuwa washindi. Ni kawaida. HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA.Pro RUSSIA punguzeni SPANA [emoji373], mnatembeza SPANA mpaka wanakimbia aisee[emoji23][emoji23]. Mnanikosha sana ndugu zangu tuendelee kuwapa elimu hawa vijana, SPANA ziongezwe maana vichwa vyao vimejaza nywele, na kamasi.
Mrusi kaanza kulalamika - haya sasa wacha tuone kama mbwai na iwe mbwai.Governor Alikhanov said that the response to Lithuania's decision to restrict transit to Kaliningrad is quite obvious and will be extremely painful.
According to him, the Lithuanian transport complex depended on the Kaliningrad transit, it was a source of income, now this money will not be available.
Security Council Secretary Patrushev: we will soon respond to the decision of Vilnius to declare a transport blockade of the Kaliningrad region, this will seriously affect the people of Lithuania
Mzee mimi huwa sijadiliani na watu wenye akili za punda.Mrusi kaanza kulalamika - haya sasa wacha tuone kama mbwai na iwe mbwai.
Lithuania has banned the transit of some goods through its territory from Russia to its exclave of Kaliningrad.
It includes coal, metals, construction materials and advanced technology, accounting for around 50% of all goods that Kaliningrad imports.
Moscow said the move was "unprecedented" and "unlawful" and threatened to respond.
ndiyo ila tusubiri respond ya Moscow ila njia ndiyo imeshazibwa tayari tangu Jmosi.Mzee mimi huwa sijadiliani na watu wenye akili za punda.
DuuhMrusi kaanza kulalamika - haya sasa wacha tuone kama mbwai na iwe mbwai.
Lithuania has banned the transit of some goods through its territory from Russia to its exclave of Kaliningrad.
It includes coal, metals, construction materials and advanced technology, accounting for around 50% of all goods that Kaliningrad imports.
Moscow said the move was "unprecedented" and "unlawful" and threatened to respond.
View attachment 2267483
kwani hii vita ishawahi kukunyima papuchiHii vita bado tu haitaki kuisha?
Wengi hawaelewi Kaliningrad ni mji wa Urusi ambao kabla ya vita ya pili ulikuwa unamilikiwa na Ujerumani, baada ya vita mrusi autwaa kwa makubaliano. Sasa ili kupitisha hayo makaa ya mawe na bidhaa zingine ni LAZIMA apite Lithuania - na wote mnajua Lithuania ni member wa EU. (angalia ramani hapo chini)Duuh
Mzee hujui chochote kuhusu security.Wengi hawaelewi Kaliningrad ni mji wa Urusi ambao kabla ya vita ya pili ulikuwa unamilikiwa na Ujerumani, baada ya vita mrusi autwaa kwa makubaliano. Sasa ili kupitisha hayo makaa ya mawe na bidhaa zingine ni LAZIMA apite Lithuania - na wote mnajua Lithuania ni member wa EU. (angalia ramani hapo chini)
Sasa toka juzi Luthenia kafunga njia, kwa hiyo Mrusi akitaka kupeleka mizigo kule ni lazima labda anzungukie Belarus kama unavyoona hapa kwenye ramani ni njia ndefu mno.
Ndiyo maana tukasema kama ni vikwazo basi na wewe lazima wakupige navyo. Mrusi kasema atajibu mapigo. Sasa tunasubiri - stay turned.
Kumbuka Lithuania ni member wa EU.
View attachment 2267497
Aangalie isije ikamegwaWengi hawaelewi Kaliningrad ni mji wa Urusi ambao kabla ya vita ya pili ulikuwa unamilikiwa na Ujerumani, baada ya vita mrusi autwaa kwa makubaliano. Sasa ili kupitisha hayo makaa ya mawe na bidhaa zingine ni LAZIMA apite Lithuania - na wote mnajua Lithuania ni member wa EU. (angalia ramani hapo chini)
Sasa toka juzi Luthenia kafunga njia, kwa hiyo Mrusi akitaka kupeleka mizigo kule ni lazima labda anzungukie Belarus kama unavyoona hapa kwenye ramani ni njia ndefu mno.
Ndiyo maana tukasema kama ni vikwazo basi na wewe lazima wakupige navyo. Mrusi kasema atajibu mapigo. Sasa tunasubiri - stay turned.
Kumbuka Lithuania ni member wa EU.
View attachment 2267497
Russia atauza sana Iskanders, maana imethibitisha ubora wa kipekee vitani uliomuajabisha hadi polisi wa dunia (Marekani)...makombora yake hayadungulikiView attachment 2267350
The Russian Defense Ministry publishes footage of the Iskanders, which strike at the infrastructure of the Ukrainian army