Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haaasss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm ni mafiii
 
Nakujibu tu kwa heshima. Ila umeandika utumbo mtupu, kwanini?
Nato wangekua na msaada wangemsaidia Ukraine, kwa maelezo ya rais wa Ukraine, wanajeshi karibu 1000 wanakufa kila siku.

Mpaka sasa urusi imeteka asilimia 25 ya eneo la Ukraine, haya sio maneno yangu ni Rais wa Ukraine bwana mdogo Zelensky.

Uchumi wa Ukraine umeharibika vibaya mno, na madeni wanayompa, itaichukua Ukraine miaka zaidi ya 100 ku recover.

Mpaka sasa, Ukraine hajajiunga Nato wala EU, sasa niambie wewe, Ukraine ama archive nini mpaka sasa?
 

Inasikitisha sana sindano wanazochomwa EU maumivu wanapata Pro NATO wa buza[emoji23]
 

Kuna watu humu wanakwambia Russia kashindwa iteka kyiv lakini hawajui Russia kashikilia potential areas kwa uchumi wa Ukraine. Jiulize kwaninj wanahangaika sana na snake island?? Hii ni mara ya2 wanajaribu tena kwa kutumia mataifa yenye high teknology tunazungumzia UKUS na bado wanafeli ipeni heshima RUSSIA hana mpinzani kwenye nguvu ya jeshi pamoja na teknology.

Mrussia kashazipoteza kwenye ramani JAVELINA, HOTIWZER, na zile drones zilizosifiwa sana Bayraktar TB2[emoji23][emoji23].

Ukraine ishakua land-locked tayari kurudisha hayo maeneo sio leo wala kesho inshort ndo yamekwenda.
 

Ila Pro NATO hawajuagi hili[emoji23][emoji23]
 
Putin na cabinet yake akili kubwa sana
 

Dada unaonekana hujapelekewa moto muda mrefu sana, kwa sisi wanaume wenye uzoevu tushajua unataka nini kama una gubu hivi[emoji23][emoji23] anyway, mpak sasa Russia anamiliki 30% ya eneo la ukraine tena potential areas, wewe jiulize kwanini wanahangaika ku capture snake island?? Kama ulikua toka mwanzo bila shaka utakua umejua jinsi ukraine anavo suffer kurudisha hayo maeneo.

Hakuna shughuli zozote za kiuchumi zinazofanyika, bandari ipo chini ya Russia maeneo yote muhim mpaka agriculture yamechukuliwa. Afu unakuja kuhoji Russia hajafanikiwa [emoji2371]upo serious kabisa??

Hivi Kenya akiichukua ukanda wote wa Mt. Kilimanjaro tutasema Kenya hakuna alichofanikiwa wakati tunategemea kilimanjaro kwenye Pato la Taifa??.

Eti Putin anaogopa NATO, unashindwa kutumia akili hata mwanangu wa miaka2 anaweza akakujibu hili, Nchi 30 zinaungana dhidi ya Taifa moja huoni aibu unachoongea hapa yaani Mataifa 30 yanasumbuliwa na Taifa moja?? ipe Russia heshima yake dada.

Kama mnaungana na mnashindwa kupambana na Russia bhasi nyinyi ni useless. Hao NATO wanamwogopa Russia ndomana hawamsogelei kabisaaa.

Dada nakushauri utumie ushauri wangu nilioanza nao
 
⚡⚡⚡The Czech Republic announced a plan for energy independence.

"If the gas is turned off this winter, we will burn everything we can to warm our people and generate electricity," said Vaclav Bartushka, the commissioner of the Czech Cabinet of Ministers for Energy Issues.

Kuna makopo mengi sana mtaani huku kama wakiyahitaji kuyachoma kuzalishia "joto na umeme" watujuze tuwatumie

@LLSeniors
 
Mambo yanazidi kuchangamka

‼️🇵🇱🇺🇸The Polish Foreign Minister said that the current security situation on the European continent demonstrates that Europe cannot defend itself on its own, without the help of the US‼️

Yeah,EU would be Anglo-American hostage with support of Poland and Baltic States...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…