Bila kumsahau nyundo ya moto kwenye hayo mabreaking newsgreen rajab.
Mzee wa ma breaking news,
Akishirikiana na,
Sikilimimimasikini,
Jesus Mlokozi na
Mathanzua.
Mnatupa vitu bado vya motoo,vya leoleo.
Asanteni wadau.
👏👏👏👏👏Kwako.Dada unaonekana hujapelekewa moto muda mrefu sana, kwa sisi wanaume wenye uzoevu tushajua unataka nini kama una gubu hivi[emoji23][emoji23] anyway, mpak sasa Russia anamiliki 30% ya eneo la ukraine tena potential areas, wewe jiulize kwanini wanahangaika ku capture snake island?? Kama ulikua toka mwanzo bila shaka utakua umejua jinsi ukraine anavo suffer kurudisha hayo maeneo.
Hakuna shughuli zozote za kiuchumi zinazofanyika, bandari ipo chini ya Russia maeneo yote muhim mpaka agriculture yamechukuliwa. Afu unakuja kuhoji Russia hajafanikiwa [emoji2371]upo serious kabisa??
Hivi Kenya akiichukua ukanda wote wa Mt. Kilimanjaro tutasema Kenya hakuna alichofanikiwa wakati tunategemea kilimanjaro kwenye Pato la Taifa??.
Eti Putin anaogopa NATO, unashindwa kutumia akili hata mwanangu wa miaka2 anaweza akakujibu hili, Nchi 30 zinaungana dhidi ya Taifa moja huoni aibu unachoongea hapa yaani Mataifa 30 yanasumbuliwa na Taifa moja?? ipe Russia heshima yake dada.
Kama mnaungana na mnashindwa kupambana na Russia bhasi nyinyi ni useless. Hao NATO wanamwogopa Russia ndomana hawamsogelei kabisaaa.
Dada nakushauri utumie ushauri wangu nilioanza nao
Sio tu ndegevita, ni ndegevita kuu kuu za kizamaniSisi Tanzania tuna ndege vita 11
View attachment 2267665
Hii inaitwa hatutaki shoboView attachment 2267350
The Russian Defense Ministry publishes footage of the Iskanders, which strike at the infrastructure of the Ukrainian army
Anatumia google translate huyo mkuu ndo maana , yeye si mtanzania. Uoni tu akili yake ilivyo mawenge 🤔🤔🤔Mkuu Wewe mweupe sana kichwani, hujui mahali gani utumie verb au noun, Bahati mbaya hutaki kujifunza unaanza kuniletea habari za NATO na Russia, mbona Mimi sihusiki nazo, Mimi nilitaka kukuelimisha tu ujue matumizi ya verb na noun /adjective katika sentence
Harafu mbona kiswahili chetu kina misamiati mingi Sanaa, tumia kishwahili , acha wajuvi wa kingereza wakitumie
Ndio kabisa. Watanzania hatuna akili kama hizo.Anatumia google translate huyo mkuu ndo maana , yeye si mtanzania. Uoni tu akili yake ilivyo mawenge 🤔🤔🤔
Afu umeiyona picha ya Manniga Putin inamchek tu 😂Naona wanajeshi wa Ukraine wameanza kuchukua Uraia wa Urusi.
Ohooo kapotea ghafla huyo mwamba.Bila kumsahau nyundo ya moto kwenye hayo mabreaking news
wataelewa tuuChakula cha Urusi na Mbolea vyaondolewa kwenye vikwazo - EU [emoji36][emoji36][emoji36].
"Yeyote anayetaka kununua chakula cha Kirusi na mbolea anaweza kufanya hivyo kwa uhuru na bila hofu ya vikwazo", Mkuu wa Sera ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell.