Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Umekosea. Wabaluchi ni moja ya matabaka mutoka Uajemi. Uajemi kwa sasa ni Iran na Iraq. Wabaluchi siyo waturuki. Ngoja nitakuorodheshea matabaka yaliyopo uturuki.Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.
Rostam Aziz ni mbrushi siyo mwarabu. Huu ni mfano tu hapa kwetu.
Nikikosea mnisahihishe
Hii picha naifungua inagoma. Hoyo convoy inatokea Russia? Ama inatokea maeneo mangine ndani ya Ukraine
Wakazi wa Uturuki ni:-Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.
Rostam Aziz ni mbrushi siyo mwarabu. Huu ni mfano tu hapa kwetu.
Nikikosea mnisahihishe
Inatokea maeneo yaliyokombolewa na warusi.Hii picha naifungua inagoma. Hoyo convoy inatokea Russia? Ama inatokea maeneo mangine ndani ya Ukraine
😆😆😆😆 Jesus Mlokozi ,nakurumia kaka unavyobishana na darasa la Saba humu🤣🤣Mzee huwa sipendi kujadiliana na wapumbavu kama wewe. Hivi nyie wakenya tatizo lenu ni nini!? Unataka kulazimisha kitu ambacho ni uongo.
Source please........and i believe the best way of winning any battle is to hide your weapon.....Do you believe on those media reports..?Russia possesses an estimated 5,977 nuclear warheads as of 2022, the largest stockpile of nuclear warheads in the world; the second-largest stockpile is the United States' 5,428 warheads. Russia's deployed missiles (those actually ready to be launched) number about 1,588, second to the United States' 1,644.
Wamekariri kila taifa la weupe lililojaa waislam ni waarab, sasa kule Indonesia, taifa lililo na waislam over 85% na wenyewe ni waarab? Krygzstan, former Soviet hawa kuna 90% ya waislam, nao ni waarab? Republic of Kosovo, walioamua kujitenga kutoka Serbia, kuna 97.4% ya waislam, so nao ni waarabu?Waturuki siyo waarabu.
Turkish people are not Arabs. Turks and Arabs are not the same race. Turkish people are descendants of Central Asian Turkic people and indigenous people of Anatolia. Arabs are Semitic people of the Middle East. Arabs and Turks have different languages, cultural, ethnic roots and historical backgrounds.
Jifunze historia mzee. Unatuaibisha.
Uturuki ndio nchi ya kwanza kuanzisha ukristo duniani. Walikuwa wakristo, lakini baada ya Ottoman empire ndipo ikawa nchi ya kislam. Lakini siyo waarabu.
Mfano nchi nyingine ya kiislam lakini siyo waarabu ni Iraq wakazi wa Iraq siyo waarab bali ni Babylonia. Iran ni waislam lakini siyo waarabu ni Persian.
Ndio maana Zanzibar kulikuwa na Chama kinaitwa Afro-Shiraz Party ASP. Washirazi ni watu kutoka Iran waliungana na waafrika kuwapinga waarab.
Yani inasikitisha sana. Halafu ikifuatilia Ukristo, Judaism na Uislam ni dini moja. Mwanzilishi wake ni Ibrahim.Wamekariri kila taifa la weupe lililojaa waislam ni waarab, sasa kule Indonesia, taifa lililo na waislam over 85% na wenyewe ni waarab? Krygzstan, former Soviet hawa kuna 90% ya waislam, nao ni waarab? Republic of Kosovo, walioamua kujitenga kutoka Serbia, kuna 97.4% ya waislam, so nao ni waarabu?
Maldives, tena huko 100% ni Muslim, nao ni waarab? Hapa Africa pale Niger wapo waislam over 97%, Sogea pembeni kwa Mauritania, wapo over 98%, hao wote ni waarab?
MijiMtu kama huyo unapataje nguvu ya kuandika reply ya pili kumjibu?
Dah naona zam ya Mk254 imeisha, now Fuso binti mzuri kaingia on Duty, Hatare sana!
"Wabrushi" heri uandike "Wabaluchi" maana mababu walitoka Baluchistan (ona: Baluchistan - Wikipedia, kamusi elezo huru). Ni eneo kusini mwa Pakistan / Iran. Kuna pia Wabaluchi katika Afrika ya Mashariki na mababu zao walichukuliwa kama askari na Sultani wa Zanzibar wakati wa karne ya 19.Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.
Rostam Aziz ni mbrushi siyo mwarabu. Huu ni mfano tu hapa kwetu.
Nikikosea mnisahihishe
Kumbe kazi bado mbichiSocial Revolutionaries submitted to the State Duma a draft law on simplified acquisition of Russian citizenship for citizens of Latvia, Lithuania and Estonia
Mkuu, hili ni hoja la ajabu. Jeshi la Urusi lilishindwa hadi leo kushinda Ukraine, angewezaje kushindana na nchi ya NATO? Ukraine inapiga vita hasa kwa kutumia silaha za zamani za kirusi, hata kama msaada wa silaha ndogo za mbegani yaliwasaidia mwanzoni. Ila kwa mfano ndegevita zao ni za azani - hata hivyo jeshi la anga la Urusi halikufaulu hadi leo kudhibiti anga juu ya Ukraine?Waingereza hawana jeshi la kumzidi mrusi labda la kumchelewesha tu ila akiamua with full masnonda force ya silaha za maangamizi UK hamalizi week inabaki historia.
Unaonekana wa maana ukificha upumbavu.Mkuu, hili ni hoja la ajabu. Jeshi la Urusi lilishindwa hadi leo kushinda Ukraine, angewezaje kushindana na nchi ya NATO? Ukraine inapiga vita hasa kwa kutumia silaha za zamani za kirusi, hata kama msaada wa silaha ndogo za mbegani yaliwasaidia mwanzoni. Ila kwa mfano ndegevita zao ni za azani - hata hivyo jeshi la anga la Urusi halikufaulu hadi leo kudhibiti anga juu ya Ukraine?
(hii yote tukiacha kando maswala ya nyuklia - naona pande zote zina akili ya kutosha kutogusa silaha hizo)
Siwezi kuamini kwamba jeshi la Urusi lingeweza kufanya mengi dhidi ya jeshi la nchi kubwa ya NATO. Ona tu jinsi wanavyokasirika kuhusu Lithuania inayozuia mizigo isifike Kaliningrad - tutaona kwamba watashindwa kufanya lolote.
Oyaaa hio mashine alioishika mwamba naona ni tofauti sana na hizi za kawaida ukiitizama, unajua kabisa hapa nimeshika mashine haswaa sio maigizo aseeeView attachment 2268797
[emoji91] Honor and dignity. On the day of memory and sorrow in Kherson, the memory of Soviet soldiers who died during the Great Patriotic War was honored
One of the Russian servicemen decided to help a local woman down the stairs after laying flowers at the Eternal Flame.
Kweli mkuu siko vizuri kwenye historia ila natamka kama watu au wenyeji wa Igunga wanavyomjua Rostam Aziz mbunge wao mstaafu. Wao wanajua ni mbrushi siyo mwarabu. Inaonekana ni mbaluchi kama ulivyoandika. Asante nimejifunza kwako mkuu."Wabrushi" heri uandike "Wabaluchi" maana mababu walitoka Baluchistan (ona: Baluchistan - Wikipedia, kamusi elezo huru). Ni eneo kusini mwa Pakistan / Iran. Kuna pia Wabaluchi katika Afrika ya Mashariki na mababu zao walichukuliwa kama askari na Sultani wa Zanzibar wakati wa karne ya 19.