Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Zaidi ya wanajesh 2000 wa Ukraine wewekwa mtu kati. Option ni mbili kujisalimisha au kuuwawa.View attachment 2268949
Si kweli,hata ukiangalia hizo figures common sense tells you immediately that ni cooked.Kwa mfano,Ukraine wameua 32,000 Russia soldiers?Impossible.Aircraft wameangusha 213?Nonsense,Ukraine hawana uwezo huu.Taarifa hii must be coming from the Mainstream Media who have an obvious conflict of interest in the Ukraine-Russia conflict.View attachment 2268740
Asimamishe vita. Hasara ni kubwa Kwa pande zote
😁😂🤣😆😆😆😆 Jesus Mlokozi ,nakurumia kaka unavyobishana na darasa la Saba humu🤣🤣
Nchi zote hizi Zina warusi Kama ilivyo kwa Eastern Ukraine....kiukweli Putin alijipanga kisawasawa kwa mgogoro huu....Yaani duh...Hii strategy sijaielewa. Je. hakuna uwezekano wakujipenyeza wabaya wa Russia kwenye mkumbo huu wa kupata uraia? Wataalamu nisaidieni.
Landlock if odesa is capturedODESSA ODESSA ODESSA. Hapa ndipo pumzi ya mwisho
Imagine upopo ndo mke nyumbani sasa unategemea hiyo familia itakuaje nimewaza tu make kwa pumba anazomwaga apa jukwaaniKwa silaha halizopewa UKRAINE na pia kwa idadi ya wanajeshi waliyopelekwa UKRAINE, basi ilitakiwa iwe nchi namba moja Duniani kwa kuwa na jeshi kubwa
Sasaivi wanajikamatisha yaisheTwo surrendered Ukrainian soldiers in Kherson
They don't want to be part of a prisoner exchange and sent to Ukraine, where they'll probably be sent to fight again
They are going to stay and get Russian citizenship
Kwanini aunde wakati ana kila kitu hilo linchi likubwaaa hao madada Natiii wanaingia Mara buku usheeeeRassia na marafiki zake nao waunde NATO yao.
A.k.a flying museum.Sio tu ndegevita, ni ndegevita kuu kuu za kizamani