Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Soon utasikia walituma vijana wakasaini mkataba wa kimya kimya ili waendelee kubunh

 
Asante sana,
NAMI nakuongezea na kukumbusha wataalamu wengine uliowasahau,
Triga,
Mbingunikwetu,
Hearly,
Bukyanagandi,
Idawa,
Deepond,
Mr Tyang,
Venus Star

Nikikumbuka wengine ntaongezea,
This thread has been so educative. Arguments Guided by facts and deeper analysis thanks to all my colleagues an our Nato counterpart . They don't have to run and start new threads .Let's stay and challenge each other.
 
Mamarekani yalibadili jina la mtaa wa ubalozi wa Urusi na kuupa jina la mpinzani wa kirusi..... Na mrusi kabadili jina la mtaa wa ubalozi wa Marekani na kuuita Donetsk People's Republic squre.... Ukifanya upumbavu Mrusi anafaya ujinga zaidi.....
 
Mkuu ukiona kiongoźi yeyote anaenda kule jua kuwa wameshawasiliana na Russia kuhusu hiyo visit.
Russia anaingiza ndege vita Ukraine pale inapohitajika. Lakini zaidi anatumia rockets tu, so sio lazima sana.
 
They must feeling it on their S
Urusi is mwamba
Nalog off Z
 
View attachment 2269224View attachment 2269225View attachment 2269226
Unafikiri hao hizo asilimia za watu wenye asili ya Urusi wakiomba uraia watanyimwa!!??
SIdhani watanyimwa. Wakiomba. Lakini nilijibu hoja kuwa watu wengi wa nchi hizi za Baltiki wanapenda kusimama upande wa Urusi au kuchukua uraia wa Urusi. Hapa nilileta namba kwamba idadi kubwa ya wananchi walipigia kura kuwa nchi kuru, tofauti na Urusi. Nililinganisha na namba zako, hata Warusi wengi wa Lithuania, Estonia na Latvia walikubali kuwa raia wa nchi huru. Nilisoma mara kadhaa kwamba wazee wengi wanajisikia zaidi kama Warusi, lakini vijana wao wanajiona kama Walatvia (na kadhalika) wenye lugha ya Kirusi. Wewe unaonaje ukianglia takwimu hizi?
 
Nikielewa swali lako, sawa Bado sijaelewa unalenga nini? Warusi walifanya vita Afghanistan, walijaribu kucha serikali yao, walipaswa kukimbia baada ya miaka, waliacha serikali iliyokaa miaka 2 au 3 hadi kufyekwa.
Wamarekani walipiga vita Afghanistan miaka 20, hatimaye walichoka walipaswa kukimbia, waliacha serikali yao iliyodumu siku chache.
Kwa jumla huko Afghanistan si mahali pazuri kwa Wazungu wanaojaribu kujiingiza huko (karne ya 19 Waingereza walipigwa vibaya Afghanistan).
Halafu? Unaona ni mafanikio kama serikali ya Warusi ilidumu kidogo kaba ya kufyekwa? Sawa, ni uhuru wako.
 
Majibu hayo yanatokana na hoja zako za mwanzo,
 
Mkuu ukiona kiongoźi yeyote anaenda kule jua kuwa wameshawasiliana na Russia kuhusu hiyo visit.
Russia anaingiza ndege vita Ukraine pale inapohitajika. Lakini zaidi anatumia rockets tu, so sio lazima sana.
Samahani Mkuu, hii si habari ninazoona. Kama Urusi ingedhibiti anga la Ukraine, ingeweza kuzuia askari, vifaru, mizinga, chakula, na vifaa kufika kwenye mstari wa mapigano. Haikufanikiwa kufikia hali hiyo. Badu kuna ndegevita (si nyingi) za Ukraine, bado zina uwezo wa kushiriki katika mapigano. Au umeona taarifa yoyote kwamba katika wiki zilizopita ndegevita za Urusi zimefika ndani ya Ukraine? Sijaona.
Taarifa zote zilihusu maeneo karibu na mstari wa mapigano
Mengine ndani ya Ukraine ni makombora pekee. Lakini kwa makombora hawawezi kudhibiti usafiri wa vifaa na askari ndani ya nchi
Hapo napata picha wameshindwa hadi leo.
 
Marekani angalau walidumu miaka 20 huko Afghanistan, unavyosema kweli. Je, Warusi walidumu miaka mingapi baada ya kuingia Afghanistan?
(Asante kwa kutumia maneno mazuri kama "upumbavu"! Usingeyatumia, ningejuaje wewe ni mwungwana?)
Soviet Russia 1979-1988 Afghanistan.
Walipata kipigo Cha mbwa mwizi wakaamua kukimbia
 
Unafikiri wa Ukraine hawakupiga kura 1991!!?? Kwa Nini 2014 walipiga kura kujitoa Ukraine!!??
 
Soviet Russia 1979-1988 Afghanistan.
Walipata kipigo Cha mbwa mwizi wakaamua kukimbia
Hata Finland walishinda , walimchakaza Urusi halafu wakampa Urusi asilimia 10 ya Ardhi ya Finland kama zawadi Kwa kupigwa na Finland. USIFANYE FUVU LAKO KUWA KABATI LA MENO,MACHO NA ULIMI TU ....LINATAKIWA KUBEBA UBONGO PIA (KAMA UNAO).
 
Hahahahaha, Mkuu tupo pamoja kuupinga udhalimu wa hawa GAYTO na US
Nalog off  Z
 
Waafrika tumekuwa ubao wazungu na waarabu wanajiandikia watakavyo,sasa hivi Mchina naye yuko busy kutufundisha Ubuddha na waafrika tuko busy kujifunza imani hiyo.
Niliwahi kuwasikia wachina wakijipiga kifua na kusema; laiti sisi ndio tungekuwa wa kwanza kuja Afrika basi waafrika kwa asilimia nyingi wangekuwa mabuddha ila tumechelewa.
Inasikitisha sana kuwaona waafrika wanagombana kisa dini zilizoletwa na watu weupe.
Nalog off  Z
 
Hata Finland walishinda , walimchakaza Urusi halafu wakampa Urusi asilimia 10 ya Ardhi ya Finland kama zawadi Kwa kupigwa na Finland. USIFANYE FUVU LAKO KUWA KABATI LA MENO,MACHO NA ULIMI TU ....LINATAKIWA KUBEBA UBONGO PIA (KAMA UNAO).
Samahani mkuu, hapa unakosa. Finland haikushinda mwaka 1940. Hivyo walipaswa kukubali kutoa sehemu ya ardhi yao kwa Urusi. Ila walifaulu kujitetea vizuri kiasi kwamba Urusi haikushinda kweli, ilipoteza askari wengi sana. Mwishoni pande zote mbili zilichoka.
Labda inafanana na Ukraine wa leo kiasi. Maana Urusi iliamini inaweza kuchukua maeneo kwa sababu ni kubwa, jirani mdogo anajitetea vizuri - mwishoni watamaliza kama Finland 1940?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…