Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Ungesoma "between the lines" ungeelewa ...shida ni uwezo wako wakufikiri una Kikomo..... Umeuwekea ukuta mwisho kufikiri ni hapa basi ukifika Hapo hautaki kufikiri zaidi.Samahani mkuu, hapa unakosa. Finland haikushinda mwaka 1940. Hivyo walipaswa kukubali kutoa sehemu ya ardhi yao kwa Urusi. Ila walifaulu kujitetea vizuri kiasi kwamba Urusi haikushinda kweli, ilipoteza askari wengi sana. Mwishoni pande zote mbili zilichoka.
Labda inafanana na Ukraine wa leo kiasi. Maana Urusi iliamini inaweza kuchukua maeneo kwa sababu ni kubwa, jirani mdogo anajitetea vizuri - mwishoni watamaliza kama Finland 1940?
Kuna vitu viwili naomba tuelewane:
1)kuwa kwenye hiyo race au jamii kwa asili nikimaanisha kuzaliwa mfano mbantu kwa sababu wazazi wake ni wabantu na kizazi kabla Yao.
2) kujitambua au kujinasibisha na jamii Fulani.
Kuna watu duniani hujinasibisha na jamii Fulani kwa sababu mbalimbali mfano dini, Utamaduni ama lugha.
Ila kwa case ya sudani wanajinasibisha na uarabu ila wenyewe hawana hiyo asili.
Mfano mtazame Omar Al Bashir
View attachment 2269205
Mpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?
Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
View attachment 2269211
Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema msomali ni Mwarabu. Ndiyo au si ndiyo?
Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Ethiopian ni waarabu?
Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Aboriginal wa Australia ni waafrika?
Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema jamii za San na khoi sio waafrika?
Yes, watu wa Sudan sio waarabu ila kuchanganya tamaduni, lugha na Imani ya dini ya kiislamu ndio wamejitanabaisha kuwa wao ni waarabu na kuwa included kwenye Arab league.
Ila pia Misri ya kale ilitawala mpaka eneo la Sudan ya Leo hivyo athari ya tamaduni ndio sababu.
Je wakomoro ni waarabu? Kama sio kwa nini wanatambulika kama Taifa la kiarabu na wapo Arab league.
Je, kwa nini Wazanzibari waliomba uanachama na wakawa eligible? Je waarabu.
Inabidi usome human race ila nachoamini pro Russia unajua ila upo kwa ajili ya kuchallenge?!!!
Tujielimishe View attachment 2269227View attachment 2269228View attachment 2269229View attachment 2269230
Sura na mwonekano wa wasomaliView attachment 2269252
Kuhusu sehemu za Donbass haujui na mgogoro umeanza tangu Maidan Revolution 2014 ..Leo 2022 haujui na unashupaza shingo ndio utajua ya Lithuania, Latvia,Moldova huko !!?? Ikiwa hili lililo wazi haujui ..... Unasema hauamini kura kama zilikuwa sahihi , ila unaamini Mapinduzi ya Maidan yalikuwa sahihi!!?? Na ulimwengu unajua Nini alifaya Marekani katika hiyo kitu au nikusaidie kasome (EUROMAIDAN, ORANGE REVOLUTION AMA MAIDAN REVOLUTION) ndio uje tuongee maana umesema HAUNA UJUALO KATIKA HILO... Kachukue chakula cha ubongo tuongee vizuri .....Ninavyojua Ukraine walipiga kura mara kadhaa. Kwa jumla idadi kubwa walitaka kuwa nchi huru na kujiunga na Ulaya. Ila Crimea (iliyokuwa sehemu ya Urusi hadi 1956 na kuwa na wasemaji wengi wa Kirusi) naweza kuamnini kwamba kura ilikuwa kwa kujiunganisha na Urusi. - kuhusu sehemu za Donbas? Sijui, ila siuamini kura ilikuwa safi. Wengine (kama Charkiv , pia mji wa wasemaji wengi wa lugha ya Kirusi) walisimama upande wa Ukraine.
Yeah,an economic "doom !!!"View attachment 2269315
Nalog off Z
Sasa hapo ndiyo umeandika mafii gani !!! Ukiona nchi inatoa ardhi yake kwa adui yake anaye pigana naye vita basi ujue kashindwa vita huyo aliye toa ardhi ni kama sasa hivi USA inamshauri ukraine akubali kumwachia mrusi ardhi kwa kupata amani .Hata Finland walishinda , walimchakaza Urusi halafu wakampa Urusi asilimia 10 ya Ardhi ya Finland kama zawadi Kwa kupigwa na Finland. USIFANYE FUVU LAKO KUWA KABATI LA MENO,MACHO NA ULIMI TU ....LINATAKIWA KUBEBA UBONGO PIA (KAMA UNAO).
USA [emoji631] Kwisha habari zake ..... uchumi wa makaratasi wa USA sasa unakwenda ku expire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BRICS developing global reserve currency – Putin
It will be based on a currency basket of the five-nation bloc, according to the Russian president
President Vladimir Putin said on Wednesday that the BRICS countries – Brazil, Russia, India, China, and South Africa – are currently working on setting up a new global reserve currency.
“The issue of creating an international reserve currency based on a basket of currencies of our countries is being worked out,” he said at the BRICS business forum.
According to the Russian president, the member states are also developing reliable alternative mechanisms for international payments.
Earlier, the group said it was working on setting up a joint payment network to cut reliance on the Western financial system. The BRICS countries have been also boosting the use of local currencies in mutual trade.
Mambo ya Euromaidan miaka 8 iliyopita sijagusa. Nimesikia mambo mengi tofauti. Kuhusu mawazo ya watu wa Ukraine nimeona tu matokeo ya uchaguzi uliofanywa baadaye. Kwa mfano walipompa Bwana Selenski kura nyingi. Sijasikia huu ulikuwa uchaguzi wa uwongo.Kuhusu sehemu za Donbass haujui na mgogoro umeanza tangu Maidan Revolution 2014 ..Leo 2022 haujui na unashupaza shingo ndio utajua ya Lithuania, Latvia,Moldova huko !!?? Ikiwa hili lililo wazi haujui ..... Unasema hauamini kura kama zilikuwa sahihi , ila unaamini Mapinduzi ya Maidan yalikuwa sahihi!!?? Na ulimwengu unajua Nini alifaya Marekani katika hiyo kitu au nikusaidie kasome (EUROMAIDAN, ORANGE REVOLUTION AMA MAIDAN REVOLUTION) ndio uje tuongee maana umesema HAUNA UJUALO KATIKA HILO... Kachukue chakula cha ubongo tuongee vizuri .....
SI history mnayoletaga hapa FINLAND ALISHINDA VITA ....!!?? UNAJUA KWANZA MAANA YA "SARCASM".... UKIIJUA RUDI KUSOMA ULICHOKIQUOTE HALAFU UJE TENA SAWA.Sasa hapo ndiyo umeandika mafii gani !!! Ukiona nchi inatoa ardhi yake kwa adui yake anaye pigana naye vita basi ujue kashindwa vita huyo aliye toa ardhi ni kama sasa hivi USA inamshauri ukraine akubali kumwachia mrusi ardhi kwa kupata amani .
Mkuu niseme nini ukliniambia sina akili sawasawa kulingana na uwezo wako mkubwa? Nikupongeze? (au kuhurumia??)Ungesoma "between the lines" ungeelewa ...shida ni uwezo wako wakufikiri una Kikomo..... Umeuwekea ukuta mwisho kufikiri ni hapa basi ukifika Hapo hautaki kufikiri zaidi.
Ila majimbo ya Donbass kujitenga kupiga kura ya kujitenga ni uwongo SI ndio!!?? Itoshe kusema tena UMEJIPANGIA MIPAKA YA KUFIKIRISHA HILO FUVU.... Adios.Mambo ya Euromaidan miaka 8 iliyopita sijagusa. Nimesikia mambo mengi tofauti. Kuhusu mawazo ya watu wa Ukraine nimeona tu matokeo ya uchaguzi uliofanywa baadaye. Kwa mfano walipompa Bwana Selenski kura nyingi. Sijasikia huu ulikuwa uchaguzi wa uwongo.
Sasa unashupaza shingo Kwa matukio ya Leo bila kushirikisha mizizi ya mgogoro unaambiwa unasema hujui..bado unashupaza shingo, unaambiwa topic hizo kasome unasema za miaka nane nyuma ... Na bado unakumbushia matukio ya miaka ya 1991 ambayo ni miaka 30 nyuma ila matukio ya miaka 8 nyuma hutaki kuyajua na hujui ...utakuwa na AKILI GANI SASA KAMA SIO ZA KUTAWAZIA TU.... yaani utoe reference ya miaka 30 nyuma tukubali ila tukikupa ya miaka 8 nyuma hutaki aseee ..... Au ndio mpaka wafikirie mabeberu wako wakupe jike ndio uongee!!?Mkuu niseme nini ukliniambia sina akili sawasawa kulingana na uwezo wako mkubwa? Nikupongeze? (au kuhurumia??)
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji120][emoji3577][emoji3577] tuko pamoja sana aseeNaomba kutoa certificate of appreciation kwa hawa pro Russia maana kwa elimu mnayoitoa humu, PUTIN anajipiga piga kifuani huko aliko na taratibu watu wameanza kuelewa ukweli
Certificate of appreciation ni kama ifutavyo
Ask-Q
Sikirimimimasikini
Jesus Mlokozi
lee van cliff
Extrovert
STRUGGLE MAN
Champagnee
NYUNDO YA MOTO
Galip Vrl
Mtoto wa nzi
Bwana Utam
TUJITEGEMEE
green rajab
Mathanzua
1954
spanerboy
kt the irreplaceable
mohamedidrisa789
Washawasha
Msulibasi
Tafakari yetu
Jumong S
Bugucha
Lucha
East
NB:certificate bado zinaendelea kutoka,so endeleeni kutupa madini pro Russia
Ni Mimi mfilisiti pekee ambaye sikupendezwa na njama za kumuua SAMSON.
😂😂😂Wale wakenya wapo wapi?View attachment 2269187
Muu tulia, upunguze jazba. Ukijibu tafadhali jaribu kuwa makini kidogo. Wapi nilisema sijui mambo ya Euromaidan?Sasa unashupaza shingo Kwa matukio ya Leo bila kushirikisha mizizi ya mgogoro unaambiwa unasema hujui..bado unashupaza shingo, unaambiwa topic hizo kasome unasema za miaka nane nyuma ... Na bado unakumbushia matukio ya miaka ya 1991 ambayo ni miaka 30 nyuma ila matukio ya miaka 8 nyuma hutaki kuyajua na hujui ...utakuwa na AKILI GANI SASA KAMA SIO ZA KUTAWAZIA TU.... yaani utoe reference ya miaka 30 nyuma tukubali ila tukikupa ya miaka 8 nyuma hutaki aseee ..... Au ndio mpaka wafikirie mabeberu wako wakupe jike ndio uongee!!?
Yu a rait[emoji41][emoji41][emoji41]This thread has been so educative. Arguments Guided by facts and deeper analysis thanks to all my colleagues an our Nato counterpart . They don't have to run and start new threads .Let's stay and challenge each other.
Lazima mawasiliano yafanyike ili kuepusha uso kwa uso na kombora anganMkuu ukiona kiongoźi yeyote anaenda kule jua kuwa wameshawasiliana na Russia kuhusu hiyo visit.
Russia anaingiza ndege vita Ukraine pale inapohitajika. Lakini zaidi anatumia rockets tu, so sio lazima sana.