LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Linaandika Hii comment likiwa Kibondo KIGOMA ila hapa lina pretend lilo ikulu ya Urusi linajua kinachoendelea.
Shame on you
 
Mkuu lolote linawezekana chini ya jua,na Historia huwa inaandikwa hivi hivi,kwangu mimi pamoja na kuwa Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakini amepambana kwa kiasi kikubwa sana.
Ni kweli boss wangu. Hilo hata mm nakubaliana na ww kabisa. Jamaa amepambana, hajaonyesha udhaifu.
 
Ndio anachomaanisha kua unafiki ni kulaani ya russia wakati palestina kule hakuna anaelaani kama vile wazungu ndio watu kuliko watu wa palestrina na maeneo yetu huku
Sasa wewe laani yote boss.
 
Watu wengi tu walilaani na wanaendelea kulaani.
 
Nimecheka sana yaani leo Yaani vifaru vya jeshi la russia kinaishiwa mafuta njiani kwenye uwanja wa mapambano muhahahahaha
 
Tatizo la media za Western... Tangu asubuhi habari ni zilezile... Hawana developing story... Mfano nenda kaangalie page ya Aljazeera habari ni ileile ya Convoy yenye urefu wa km 60 kuelekea Kiev tangu asubuhi wanafanya kurudia hiyo hiyo... Sasa unataka turudie kupost habari ya tangu asubuhi..?? Ama jana..??
 
Wake up call kwa wateja wa silaha za urusi hazina shabaha zinalipuka zenyewe n.k fail India now kastuka hanunui tena silaha za russia
 
Uliongea na Putin ndio akakuambia Mpango ilikuwa ni kuifanya Ukraine majivy within 24 hours au kuna siku aliwahi kutamka katika speech yake.
 
Mwenzetu alimsikia wapi Putin akisema atamaliza vita ndani ya siku mmoja???,na kama unasema Wanajeshi wa Urusi wanauwawa maana yake Wanajeshi wa Ukraine wanashinda,so why Idadi ya wanaongezeka kuimbia Nchi kila siku inaongezeka kama wanashinda vita??
 
Russia kadhamiria kuwamaliza nato kwa mapandikizi ya askari wao ,wataleta wengine nao wanafutwa ndipo akili zitakapowakaa na kuona wamepoteza kila kitu Nato wanaenda kupata pigo kubw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…