Hahahahah utahakikisha kuna Gucci mupyaaa kitaaniUnaonaje wanikichagua mie 😂
Nitahakikisha tunaweka brand mpya in town, Z au V... Gucci imefubaa
Kingwendu wewe🤣🤣🤣🤣😂😂👊👊👊
😂😂😂
Eti, Samart 2... Dogo fala sana wewe 😂😂😂
Basi umefika wakati wa kumcheua.... Maana ana kichwa kigumu sana ....KuelewaHuyu Kipala ni mwanamkiwi ndani ya ID tofauti
Akili ni nywele kila mtu ana zake, but huyu ni kipala hana 😂😂😂😂
Hawa wana dhaambi sana
Ujue nimecheka alichozungumza Ask-Q sio kwamba namkejeli, nop. Mie nae letu moja basi tu utani wa apa na kule Shangazi 🤩...Nyingine labda saa ngapi mwana wa Africa atasubutu kutengeneza kifaa cha kwenda mawinguni?
Wakati kule ni nyumbani kwa malaika na Mungu? Unataka kumchunguza Mungu?
Hapo ndio unapoona athari za mapokeo wenyewe ndio wagunduzi na waanzilishi wa izo safari na ni baada ya kuwa na tamaa ya kujua mawinguni kuna nini,nyie endeleeni kukesha na kuomba wenzenu wanachanja mbuga na muda sio mrefu wanawaachia dunia yenu.
Tukiweza kugaini control na asili yetu hatutakua na limit.
Galip Vrl
Until when utakapokuja tambua kila aina ya knowledge iliyopo mbele yako ina some flaws. Utaweza ongeza ability to understand vitu critically.
Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.
SIRI IMEFICHUKA.Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
huwezi kutenganisha NATO na EU, wote wana common interest. The EU is a unique and essential partner for NATO. The EU is a unique and essential partner for NATO. The two organisations share a majority of members, have common values and face similar threats and challenges.Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
Basi umefika wakati wa kumcheua.... Maana ana kichwa kigumu sana ....Kuelewa
Naam[emoji120][emoji4][emoji106]Kwa kweli nikiri kuna watu wamesahaulika na kila nitakapo wakumbuka lazima nitatoa certificate of appreciation.
Pro Russia hawa Naomba mpokee certificate of appreciation
Mr Tyang
ngaboru
DeepPond
kisiju pwani
PD_Magumba
wa kupuliza
Michango yenu tunaithamini mno
US kashafail tayar kwa hiloKama mmarekani ana ushawishi hapa ndipo pa kumbana Puttin au safari itakuwa ndefu sana maana wachina watafanya biashara mpaka za uzalishaji magari sababu soko na nishati zipo, wahindi watafungua masupermarket n.k na kutokana na idadi ya watu uchumi taratibu utaanza kuwa affected na new type of demand and supply. Marekani Wakishindwa hizi forces zikafikia equlibrium tutashuhudia mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia.
NAAMINI HAPA ATAKUTANA NA LIMIT MAANA MAREKANI SI MWEPESI. ANA NGUVU NA UWEZO KATIKA UCHUMI WA SASA ESP KATIKA USAMBAZAJI WA TECKNOLOGY.
View attachment 2269642