Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiona mtu ana under rate jeshi lenye uwezo wa kufanya makamanda zaidi ya 2000 kujisalimisha kwa nguvu ya special operation pekee, basi jua huyo mtu either hayupo sawa kiakili au hajui hesabu ya namba.

USA kapigana na wataliban miaka 20 lakini hakufanikiwa kuwazunguka na kuwateka walau hata watalibani 100/mpigo, leo hii mla viazi mmoja anakuja hapa kuinainanga Urusi iliyo wazunguka na kuwateka wapiganaji wa jeshi la nchi ya ulaya(ukraine) zaidi 2000/mpigo tena waliofundishwa na NATO.

Kama tu askari wetu, Hamza mmoja aliwatoa jasho hadi wakamuletea gari la mabomu ya machozi, je mziki wa askari jeshi 2000 wa ulaya utakuwaje?

UKIONA RUSSIA KIJESHI NIYAKAWAIDA PELEKA JESHI LA NCHI YAKO LIKAINGILIE OPERATION YA UKRAINE NDO UTAJUA KWANINI PUTIN HACHEKAGI ZAIDI YA KUTABASAMU TU.
 
Jiheshimu uheshimiwe...ukileta shombo ..mi nanukia zaidi ya nguru aliyetiwa chumvi.... Akili zako za mnuko wa ngo'nda mbichi.... Utamu wa kuungua kama sukari guru.... Ukija Kwangu njooo kistaarabu ...unavyokuja ndio nakugongesha hivyohivyo...
Usimfanyie hivyo mwenzetu kaka, kisiju pwani mstaraab yu mbona hayupo hivyo kaka!
 
Hiyo maana ndio haifahamiki kwa ndugu yetu, Nahisi hapo ndipo tunapochengana.
 
Muulize tu NUBIANS wanapatikana wapi ... Ishmael ni wa wapi!!
 
Katika ma pro NATO we ndo unakuaga muelewa kidogo ila wengine wamezoea kuburuzwa.
Ni suala la kukubali uhalisia hata nisioupenda. Facing my nightmares katika uhalisia wake. namuombea Puttin afeli ila so far amekuwa smart inabidi kukubali uhalisia, niuone mwisho wake. Ikitokea Akawa defeted nitafurahia sana tu.

BY THE WAY WE ARE ALL MASHABIKI, SIPOTEZI KITU KWA KUUKUBALI UKWELI KAMA NILIVYOKUBALI MSIMU HUU SIMBA TUMEFELI.
 
Sure bro, mfano mtu aseme flan ni m-bantu, Bantu sio ethnic, sio Race. Ni jamii ya watu wanaozungumza kibantu. Any one kutoka any group of african people ambae anaweza kuongea kibantu anaitwa M-bantu.

Mfano mwingine wa kileo, mswahili, mswahili ni nani? Mswahili ni mtu ambae anazungumza kiswahili. Anyone who can speak swahili anaitwa Mswahili. Mswahili sio race!

Iwe mweusi au mweupe, ana macho makubwa au madogo, ana nywele za kijani au kijivu, Mchina au mbrazil, as long as anazungumza kiswahili tunamuita mswahili.
 
Mimi ni mtu wa Mara ..na natokea Bukwaya...lakini ni mtanzania tuna Waruri,wakirobha,Wajita,wazanaki,wakurya,wajaluo,wangurimi....waikoma, nimeona nyanda za juu kusini .... Nisiende mbali hizo ndio "ethnic communities/groups"....... Ukimjibu tena ...ni kwa mapenzi yako...Tanzania Mkoa wa Mara pekee Tuna makabira32!!? Najua ethnicity kuliko wanavyodhani....
 
Cultural and Linguistics [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanakuja na term zinazoacommodate tofauti zao.

Ni hivi neno Arabized halina tofauti na Assimilation policy ya mfaransa.
Arabized sudanese will never be True Arabs.

As long as Sudanese sio semetics basi hao sio waarabu ila ulichokileta jukwaani ni siasa.

Halafu hiyo Lugha nilishaizungumzia na kutaja mifano ya Mataifa.

Tamaduni nilishazichambua na kutaja mifano mfano Komoro wale wabantu kuwa eti ni waarabu.

Hivyo hakuna kipya ulicholeta hapa unless upinge kuwa Arab language haipo kwenye kundi la semetics pamoja na lugha ya kiyaudi, Amharic ya Ethiopia ambao watu wake ndio waarabu.

Kama Waethiopia ni waafrika na lugha yao imetoa maneno mengi waliyoyapokea mwarabu kwenye na wenyewe sio? Itakuwaje Mnubi wa sudan aliyetawaliwa na Muharabu awe muharabu?kisa kutawaliwa?

Kwa kutumia hiyo kanuni Ina maana watu weusi, waliopo bara la Ulaya ni wazungu?
Maana tamaduni na lugha zinafanana na hao?

Yaani Myahudi asiwe mharabu , Wala muethiopia ila jitu jeusi kutoka Sudan lenye vinasaba na Fulani pamoja na watuareg awe Mwarabu?!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

N.B Nikiichukua Nukuu Moja inasema Waafrika watakubishia kila kitu na wanaweza kuja na mipango mizuri au mawazo chanya kwenye mambo mengi isipokuwa kwenye masuala yanayohusu dini na Imani.
View attachment 2270150View attachment 2270151
 
Muulize tu NUBIANS wanapatikana wapi ... Ishmael ni wa wapi!!
Hao wote wajomba zangu siwezi kuwashambulia, kujua kitu ambacho sio naona kama si tatizo.... Si wajua tena elim zetu za kuunga unga kaka. Huenda alifahamishwa kitu ambacho sio.

So tunaelekezana tu mdo mdo life linasogea kaka! Hawa Pro-Russia wote humu wana heshima yangu ya kipekee nimewapa πŸ€—πŸ€—πŸ€—.

Katu huwa najiepusha kuwapandishia sauti hata kwa maandishi.
 
Obliged....πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Unaingia kwenye Issue za Dini... WTF

Mkuu Lets STOP.

Yah I mean it. Baki na hicho chako ulichoshikilia.
 
Mh we nae ni Special Group uliyechangamka. Ok sawa Umeshinda au sio πŸ˜‚.
 
Zimekuja issue za Assimilation, ila dunia hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hallelujah aaame!
Utamfanyaje sasa mtu kama huyo, Me sibishani na mtu kuhusu dini. Ye kama anahisi anakataliwa madai yake kwasababu ya dini niendelee kujadiliana nae nipate nini sasa πŸ€”.

Unaambiwa mara 10 na zaidi, Arab ni Linguistics na Curtural term. Sio race kam ni weupe au weusi. Analeta maana yake anayoijua huko ilojaa nyingi hisia kuliko uhalisia.

Na picha zake za kushoto kulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…