LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hata Taleban ilikuwa dhaifu kushinda Marekani mara elfu ila haikumzia kupigwa na kudhalilika afganistan.
urusi amedesign system ya kuziharibu na kuzizamisha aircraft carrier kiasi cha kufanya kwenye modern kombat kuwa obsolete naizungumzia S500, S400 na S550 kwa uchache
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
 
Mimi mpumbavuuuu.Saddam alinyongwa tukashangilia kwa upumbavu wetu mapenzi huleta ukichaa.
 
Hata sadam tulimsifu hvi hvi kuwa ni mwanaume 😀😀😀 marekani ni mkorofi Ila tukubali tu kuwa kuna kitu kaongezewa .... China hawez kufanya ujinga wa kupeleka majeshi kusaidia urusi , na Russia hawezi kustand alone dhidi ya western countries , anaweza fanya hvyo Kwa mda mfupi , tatizo vikwazo vikiongezeka alaf western wakaweka full-scale invasion , Russia hawez ku-hold Kwa miaka miwili au minne ya vita lazima achapike tuu. Unless marekani aone tuu hakuna mchongo wa maana kwenda Ukraine wakat kuna option ya nchi nyingi zinazoweza kuwa puppet wa USA near russia
North korea imeweza, Iran imeweza, Cuba for more than 60yrs imeweza ije kuwa russia?
Aliyemuomba Urusi ayatoe makombora aliyoweka Cuba ni nan?
 
US wamebaki kuripoti tu CNN na NY Times, labda na UN. Wao ndio wamesababisha haya yote. Halafu, nahisi wanaweza kufanya hujuma za kuwaangamiza raia ili ionekane Russia mchinjaji.

#USHandsOffUkraine!
Kwa hiyo hayo mabomu ya Urusi yanayorushwa Ukraine yanapolomoa majumba tu ila hayauia watu, watu wanaolipotiwa kufa wanauliwa na majausi wa US?. MAHABA UZAA UKICHAA.
UKIPITIA KOMENTI HUMU UNAJUA FIKA WALAGHU PRO US WANA HOJA ILA PRO RUSSIA NI PUMBA NA MIHEMKO TUPU
 
Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.

Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.

Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.

Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.

Vita sio lelemama aisee
Sawa sawa mmarekani kutoka chato.
 
Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.

NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.

Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.

Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.

Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.

Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.

Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.

Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.

View attachment 2119949
[emoji1787][emoji1787]haya russia kapiga tayar hivyo vikosi vyako vipo wap
 
Kwa hiyo hizo aircraft zitafanya Nini?!?! Hizo aircraft zinatumika kupiga nchi Kama Libya, Tanzania, Venezuela na kadhalika...hizo aircraft ni sitting ducks kwa nchi Kama Russia na China..
We jamaa zina beba bombers ambazo hata satellites za urusi haziwezi detect
 
Back
Top Bottom