Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chombo kizuri, ni kile chenye mtori na nyama nyingi mjomba.

Kitakachokueleza ukweli, utahisi ni propaganda za Urusi kama wewe sio mfuasi wa upande huo. Maana hali ya Ukraine ni MBOVU!

Kupata chombo cha habari kisicholalia upande wowote 100% ni ndoto za alinacha. Fatilia tu kutoka pote pote ila hakikisha huachi kusoma Comments!

HAKIKISHA HUACHI KUSOMA COMMENTS KWENYE KILA HABARI INAYOTOLEWA.

HAKIKISHA

HAKIKISHAAA maana hapo ndipo utam wa taarifa ulipo [emoji38][emoji23][emoji2]
 

NYUNDO YA MOTO
Jesus Mlokozi
Sikirimimimasikini
@mathazua
green rajabu

Ukiwafuata hawa maisha yako hayatakua na stress.
 
Naam BBC yenyewe ndio hii

 
Moja ya Pumba iliowahi kuandikwa hapo kabla.

Huyu jamaa sijui hali iliyopo leo kama anaweza kupata nguvu za kuandika ufonongo kama huu.

Kukimbia Uzi ni lazima... Huwa nikiwakumbuka nacheka mno.. MNOO
hana hamu na anadai yupo urusi, mtu mwenyewe kafika Kenya tu ila madoido yake sasa utadhani kaonana na malaika. Kifupi jamaa anapumulia tube za pikipiki kabsa na sio mirija ya hospitalini.
 
Mitandao ya kijamii
 

Member of Russian Parliament Says "London will be Bombed first"​



A Russian Member of Parliament, Andrey Gurulyov, has said that "London will be the first city to be bombed by Russia if the blockade of Kaliningrad leads to a war with NATO.”
MP Andrey Gurulyov, 54, a member of Russian parliament’s defense committee, advocated the Russian invasion of the NATO Baltic countries.
On state TV’s Channel 1 he said there was no other way to prevent the West blockading Russian exclave Kaliningrad.
Such a move would trigger the NATO Treaty "Article five" which says "an attack upon one member of NATO is an attack upon all members" and spark World War Three.
β€œWe’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,” said Lt-Gen Gurulyov, a senior commander in the Russian Army who now represents United Russia, the main political party.
β€œNo-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
β€œSecond, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent.
β€œThird, we certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.
β€œThe first to be hit will be London.
β€œIt’s crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons.”
Like other Moscow hardliners, he believes the West - especially on continental Europe - has no stomach for a real war.
β€œAs part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized.
β€œAll power supply sites will be destroyed.
β€œAnd in the third stage, I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity.
β€œI wonder how they (the US) will manage to stay aside.
β€œThis is the rough plan, and I deliberately leave out certain moments because they are not to be discussed on TV.”
Gurulyov is a former deputy commander of Russia’s southern military district.
He served with Russian forces in Syria.
He has been sanctioned by the US for his close links to Putin.
 
Kabisa MKUU koment hua mhimu sana sana sanaaaaa...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za Afrika zimemtosa Zelensky hata kumsikiliza tu kwenye 'Zoom meeting'πŸ˜πŸ˜πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡

Yaani kwenye jumla ya nchi 55 za Afrika, ni nchi nne tu ndio ziliamua kuhudhuria mkutano wa mtandaoni na Zelensky ambapo Zelensky alikuwa akiomba sapoti ya Umoja wa Afrika dhidi ya Urusi

 
Naam BBC yenyewe ndio hii

View attachment 2271413
Je unaijua sauti ya Ushuzi? Kweli BBC ni mwisho wa reli.... Big Butts Corporation wanawaza Ushuzi wa Sokwe πŸ˜‚

hana hamu na anadai yupo urusi, mtu mwenyewe kafika Kenya tu ila madoido yake sasa utadhani kaonana na malaika. Kifupi jamaa anapumulia tube za pikipiki kabsa na sio mirija ya hospitalini.
Kwenye likes utawazoom Pro-NATO walivyoandamana kumpongeza Mtaalam wao. Msafara ukibarikiwa na kile kibibi **mbizi
 
bila samahani nisingekuelewa ungeanza mada za kidini+ukabila kwa hili kongole kwako tuwaache wasiojielewa mada nyingine wanajadili kingine.
 
Yaani amekula za


 
Moja ya Pumba iliowahi kuandikwa hapo kabla.

Huyu jamaa sijui hali iliyopo leo kama anaweza kupata nguvu za kuandika ufonongo kama huu.

Kukimbia Uzi ni lazima... Huwa nikiwakumbuka nacheka mno.. MNOO
Halafu huyu Britannica simuoni siku hizi humu. Au anasubiri kifaru cha Russia kiunguzwe then aweke bandiko reeeefu kuwa ni analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…