Washenzi sana😡😡Nimetoka kuchek aljazeera askari wa Israeli wamempiga binti wa miaka 11 wa palestina bomu usoni
Afu wanacheka duuh vita sio poa
Wanajeshi kufa wa Urusi lazima wave,tinachobisha na hizo western media zenu ni kuwa Warusi wanakufa wengi kuliko wa Ukraine huku kila siku wanajeshi wa Urusi wanasonga mbele na Raia wanahama Nchi.
Sasa unajiuliza kama hao wanajeshi wa Ukraine hawafi kwa kiwango hicho inakuwaje wanajeshi wa Urusi kila kukicha wanachukua mini???
Wapambe USA na NATO ndio wanamchanganya Ukrane.Jamani, RUSSIA hawana utani, naangalia Al Jazeera hapa, kuna mvua ya mabomu, UKRAINE sasa inageuka kuwa na magofu.
Nashauri Ukraine wakubaliane kwanza kusitisha mpango wao wa kujiunga NATO.
Unajificha kwenye migongo ya raia ukitegemea nini?Ni hivi, upinzani wa majeshi ya urusi kusonga mbele ni mdogo zaidi ingelikuwa ni kwa jeshi lenye nguvu na well trained wangelifanya zaidi mara 50 zaidi ya Inachofanya jeshi la urusi.
Urusi kumpiga Ukraine si habari ila Ukraine kusimama dhidi ya majeshi ya Urusi kwa zaidi ya siku ya 5 leo ni habari ya kusisimua. Hii unatoa picha kwamba habari kuhusu jeshi la urusi zinakuzwa tu.. Urusi ina nguvu ila sio tishio kwamba inaweza dhibiti Nato kwa namna yoyote ile.
We expected Ukraine's army to be wiped within 24 hours kama ziro brains walikuwa wanasema ila mziki bado.
Teh teh teh teh 😂😂😂.. tuombe radhi mkuu teh teh 😂😂😂.Hivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Unajificha kwenye migongo ya raia ukitegemea nini?
Urusi watalipa gharama zote za uharibifu na fidia kubwa sana hapo baadae.Urusi muda huu anashusha kichapo kwa UKRAINE.
Binafsi ningewaomba UKRAINE waweke silaha chini, nchi yao inakuwa uwanja vita. Itakuwa kama BOSNIA sasa.
Mambo ya ajabu sana....media zinavotangaza utasema Russia hawana hata kisu hivi aiseeYa inawezekana taarifa hizi zinapikwa na vyombo vya habari vya magharibi. Nafikiri tuombe vita visimame ili kuepusha majanga. Bwana P ni kichaa, anaweza kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi ikawa hasara kwa dunia yetu. Nasikia kibonyezo cha nyuklia anatembea nacho mfukoni kwake, hataki hata kumpa mtu akishike 🤣🤣🤣🤣
NATO na USA wameshawalipa, LIBYA, IRAQ, SYRIA NK??Urusi watalipa gharama zote za uharibifu na fidia kubwa sana hapo baadae.
Sindano zinaanza kuingia vizuri, dawa ya crystapen inaingia vizuri kwenye mishipa.Mimi nilichofurahi mdogo vyombo vya magharibi mdogo mdogo wanaanza kuongea ukweli kuwa Ukrane anapigwa...
Sio zile propaganda zao eti kifaru cha Urusi kimeibiwa na mkulima, mara Ukrane imeua wanajeshi 4500...na mambo kibao