WIONWafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Mwenzake Yoda naona nae kakimbia uzi,Moja ya Pumba iliowahi kuandikwa hapo kabla.
Huyu jamaa sijui hali iliyopo leo kama anaweza kupata nguvu za kuandika ufonongo kama huu.
Kukimbia Uzi ni lazima... Huwa nikiwakumbuka nacheka mno.. MNOO
Wajanja wajanja tu hawa washikaji wanatuzuia kuiomba mizimu yetu ila ya kwao wanayaita watakatifu,manabii na mitume hahahahaha . Halafu serikali zao zinaingia pesa za utalii kwa kuwaambia waumini wao wakatembelee hukoMkuu hapa umechanganya elimu na Imani, niambie Kwa dini hizi zilizoletwa na watu weupe kuna kipi cha maana wamefanya?
Hiyo Imani ya weupe kama ukikesha unaabudu inaweza kutupatia satellite au atomic bom????
Pole mwamba, Shida na hizo taarifa umezitoa kwa hao hao wanaowaza sauti ya Ushuzi wa sokwe.Tatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Kasema naniTatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Ukitembelea official page za serikali ya United States utakuta comments za posts zaidi ya 70% ni bendera za Urusi tu ([emoji635][emoji635]) nadhan hiki kitu ndo kinamvuruga sana babu biden hadi anaanguka hovyo kwenye baiskel.Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Hawa 🐶 wa humu tulikuwa tunawaambia Urusi inapigana na nchi zaidi ya 30 wakawa wanabisha,jinga Sana🚮, kumbe sasa. Sio hiyo 30, ni 50! Tukubaliane Urusi iko vizuri. Yaani marekani haziwezi kusimama na mrusi aise! 50!!!🇷🇺Wameanza kuweka kumbukumbu sawa View attachment 2271458
👍👍🙏🙏Jesus Mlokozi na NYUNDO YA MOTO wamepotea ila huenda dharula...
Nitawaletea Updates hadi wataporejea, haina kupoa!
Nasisitiza wewe Pro NATO jibu swali la msingi.Tangu lini USA akawa analingishia silaha...yeye hababaishi akiamua kukupiga anakutandika kama katoto.....silaha zake ni siri.....baki na mmeo putin anayewalingishia USA nuclear ya mwaka 1977 wakati hadi south Africa wanayo
Wengine kama hawa mkuu👇👇Dah
Ila Putin mjivuni sana ,safari hii kawadhalilisha Sana Viongozi wengi wa ulaya Magharibi.
Kila akitaka kuongea nao anawaweka kwenye meza ndefu.
Akiongea na wengine anawaweka karibu. Aisee.
Ingawa Sergei Lavrov humuweka mbali pia,sijui labda kwa kuogopa corona,maana Lavlov anasafiri sana.
Sijui lakini.
Anaonekana kichekesho tu,kila siku lzm afungishe,sidhani kama atakubali kugombea muhula wa pili hahahahahaHuyu mzeee ameingia madarakani kipindi kibaya sana, Putin anamfanya mbaya sana [emoji23][emoji23]
Amkeni kumekuchs!!Najua wanaipenda wanaitaka pia, na kila ikipita hawachoki kuiangalia.... Salam ziende Washington!
View attachment 2271461
⚡⚡⚡The President of Argentina announced the country's intention to join the BRICS.
"We strive to be full members of this group of nations, which already represents 42% of the world's population and 24% of the world's gross product," said Alberto Fernandez.
He recalled that Argentina is a responsible supplier of food and a recognized global player in the field of biotechnology and logistics.
Today, the BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.
Kwakweli akili ni nywele. Yani hii reply kutoka kwa Pro NATO kuna like kabisa?I don't argue with fool
Medvedev 😆😆😆[emoji95] Updates!!!
Moldova "ran ahead of the locomotive", trying to please its new owners, Dmitry Medvedev said.
Even without being in the EU, Moldova is ready to join the European sanctions against Russia.
"Well, let them try. Then they can be 100% sure that they will not receive from us not only "expensive" energy and other resources, but none at all. Let them enjoy the sanctions before they get into the EU." He said.
Waafrica walinyanyaswa sana bora wasusie kumsikilizaNchi za Afrika zimemtosa Zelensky hata kumsikiliza tu kwenye 'Zoom meeting'[emoji16][emoji16][emoji56][emoji56][emoji56]
Yaani kwenye jumla ya nchi 55 za Afrika, ni nchi nne tu ndio ziliamua kuhudhuria mkutano wa mtandaoni na Zelensky ambapo Zelensky alikuwa akiomba sapoti ya Umoja wa Afrika dhidi ya Urusi
View attachment 2271421
Upo sawa mkuu. Hii ni sawa na Man City vs Namungo, hapo utachambua sana wewe wa Namungo ila hata bila kipa Man City atashinda 10+.Mwenzake Yoda naona nae kakimbia uzi,
Unajua hawa Pro-NATO siyo kwamba hawana akili za kujadili mada kwa uzito, shida ni moja upande waliopo upo hoi bin tabani, kiasi kwamba wakijaribu tu kubishana kwa hoja, ukweli na uhalisia unawapiga za uso hadi hoja zao zinaonekana vituko.
Yani nisawa iwe inacheza timu ya taifa ya Senegal Vs Tanzania, halafu uingie battle ya hoja kuwalinganisha kina Kibwana shomari, Gorge mpole, Mzamiru yasini na n.k dhidi ya kina Sadio Manè, Idris gana gueye, Mendy na n.k.
Automatically tu ukweli na uhalisia utakufanya uonekane kama kiakili na kihoja haupo sawa na ndo kinacho watokea pro-NATO.
The strong and brave mind always choose the right side, Congz to you all Pro-Russians for best choosing [emoji635] [emoji635] Thus, you able to argue logically.