Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
UurraaaaaaMwenzake Yoda naona nae kakimbia uzi,
Unajua hawa Pro-NATO siyo kwamba hawana akili za kujadili mada kwa uzito, shida ni moja upande waliopo upo hoi bin tabani, kiasi kwamba wakijaribu tu kubishana kwa hoja, ukweli na uhalisia unawapiga za uso hadi hoja zao zinaonekana vituko.
Yani nisawa iwe inacheza timu ya taifa ya Senegal Vs Tanzania, halafu uingie battle ya hoja kuwalinganisha kina Kibwana shomari, Gorge mpole, Mzamiru yasini na n.k dhidi ya kina Sadio Manè, Idris gana gueye, Mendy na n.k.
Automatically tu ukweli na uhalisia utakufanya uonekane kama kiakili na kihoja haupo sawa na ndo kinacho watokea pro-NATO.
The strong and brave mind always choose the right side, Congz to you all Pro-Russians for best choosing [emoji635] [emoji635] Thus, you able to argue logically.
Aise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],Member of Russian Parliament Says "London will be Bombed first"
A Russian Member of Parliament, Andrey Gurulyov, has said that "London will be the first city to be bombed by Russia if the blockade of Kaliningrad leads to a war with NATO.”
MP Andrey Gurulyov, 54, a member of Russian parliament’s defense committee, advocated the Russian invasion of the NATO Baltic countries.
On state TV’s Channel 1 he said there was no other way to prevent the West blockading Russian exclave Kaliningrad.
Such a move would trigger the NATO Treaty "Article five" which says "an attack upon one member of NATO is an attack upon all members" and spark World War Three.
“We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,” said Lt-Gen Gurulyov, a senior commander in the Russian Army who now represents United Russia, the main political party.
“No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
“Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent.
“Third, we certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.
“The first to be hit will be London.
“It’s crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons.”
Like other Moscow hardliners, he believes the West - especially on continental Europe - has no stomach for a real war.
“As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized.
“All power supply sites will be destroyed.
“And in the third stage, I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity.
“I wonder how they (the US) will manage to stay aside.
“This is the rough plan, and I deliberately leave out certain moments because they are not to be discussed on TV.”
Gurulyov is a former deputy commander of Russia’s southern military district.
He served with Russian forces in Syria.
He has been sanctioned by the US for his close links to Putin.
Ukitaka kuamini Russia ni balaa tupu, Plan nzito kama hizo Mbunge tu anazishuka... Je zile za siriiiiiii ha ha ha ebana eeehAise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],
Just imagine vita hata haijaanza wala kunukia lakini mwamba huko bungeni kashuka phase zote za vita itakavyoanza na itakavyoisha, kasema hivi;
Phase I: “We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,”
Phase II: "Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent"
Phase III: "We certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.The first to be hit will be London. As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized. “All power supply sites will be destroyed"
Finally: "I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity". Lut.General/MP.
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia watu wametulia ndo anawapiga nukes (USA kwa Hiroshima na Nagasaki)
Kwamba Canon zimeishiwa wino??
Huyo mwamba alipigana vita vya SyriaAise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],
Just imagine vita hata haijaanza wala kunukia lakini mwamba huko bungeni kashuka phase zote za vita itakavyoanza na itakavyoisha, kasema hivi;
Phase I: “We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,”
Phase II: "Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent"
Phase III: "We certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.The first to be hit will be London. As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized. “All power supply sites will be destroyed"
Finally: "I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity". Lut.General/MP.
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia watu wametulia ndo anawapiga nukes (USA kwa Hiroshima na Nagasaki)
KGB haipo tenaKatika viongozi walioacha Alama hapa duniani naamini Vladimir Putin na yeye jina lake litakuwepo,
Kulikuwa na mipango pamoja mikakati wa nchi za NATO pamoja na USA kuzidhibiti au kuiangamiza Russia moja Kwa moja isinyanyuke tena, Ila sijajua Vita ya Ukraine Nani aliitaka ni Russia au NATO??
Maana kipindi Vita inaanza Putin alitumia nguvu kubwa Sana na kuonyesha lengo la kutaka kuiteka Kyiv, majeshi ya Ukraine yalijizatiti kweli kweli kuyakabili na kuyazuia majeshi ya urusi, baada ya hatua ya Kwanza kuwaingiza kingi NATO na USA kuwa anaitaka Kyiv akaja na hatua ya pili akaweka msafara wa magari 64km baada ya pale zikaonekana picha chache kuwa Yale magari yameangamizwa na hivyo kuwaaminisha kuwa urusi kapata kichapo kikali na amepata hasara kubwa, katika kuliongezea chumvi hili ambalo watu wa NATO na USA waliloliamini kuwa urusi imepokea kichapo akaanza kusambaza taarifa kuwa wanajeshi wa Russia wameishia silaha na chakula, wale pro nato wakatuambia kuwa hakuna nchi yenye logistics mbaya kwenye uwanja wa Vita kama super power wa mchongo wakimaanisha urusi,
Katika kukoleza mambo Putin akaenda China kuonana na Rais wa China na wakati anaenda KGB walihakikisha wanavujisha taarifa kuwa Russia imeishiwa silaha Putin kaenda kuiomba uchina msaada WA silaha,
Katika kipindi hiki ndicho ambacho nchi za NATO na USA waliamini wakiongeza nguvu kubwa basi Wana uhakika ushindi utakuwa upande wao
Uncle Joe na mashosti zake wakaingia kwenye bank zao kuichangia pesa Ukraine Biden akaingia stationary kuchapisha Dola 40B, Poland Kwa kuonyesha kuwa ni mkereketwa akaenda kufagia ghala lake silaha zote akapeleka Ukraine yeye mwenyewe akabaki mweupe kiasi kwamba hata wakiingia panya road Wanachukua nchi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Katika kipindi hiki vitu kama kila Aina ya silaha Kali zilipelekwa Ukraine ili ashinde Vita, pro NATO wakitamba mrusi safari hii anachapika, ili waingie vizuri na wajikute west wamevuka hadi mstari wa point of no return, urusi ikatoa sababu moja nyepesi kuwa wanarudi nyuma ili kuonyesha kuaminiana ili kupisha mazungumzo ya Amani ila ukweli NATO walijua mrusi karudi nyuma kutokana na kuzidiwa,kuishiwa silaha na chakula Kwa hiyo kipindi mazungumzo yanaendelea walikuwa busy kupeleka silaha sehemu husika ili waje wampe pigo moja takatifu urusi,
Mrusi baada ya kuona samaki kasha NASA kwenye chambo akaanza kupiga na kuchukua maeneo muhimu yote kiuchumi, NATO na USA wanakuja kutahamaki wanakuta bandari imekwenda, chakula kimechukuliwa kinu cha umeme kimechukuliwa na kujikuta kuwa maeneo muhimu yote yapo Kwa Russia, ndipo nchi kama ujerumani ilihisi tatizo na kuanza kupunguza ukimbelembele ikimuacha nchi kama Poland isiamini inachokiona maana silaha zote zilizoingia Ukraine zilifikia Kwa urusi, kuangamizwa na hata chache zilikuwepo zilikuwa alhazifanyi kazi ipasavyo,
Katika kipindi hiki sasa ndiyo NATO na USA wanakuja kujua Russia aliwalisha matango pori, katika kipindi hiki asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine wameuawa, majeruhi, wametekwa au wamejisalimisha na kuomba uraia wa Russia, mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa 40% ya wapiganaji Wote wa ndiyo waukraine lakini waliobaki ni marcenary kutoka mataifa mbalimbali ya ulaya, America na middle East,
Kitu kingine kinachowaumiza kichwa ni baada ya urusi kuchukua miji yote ya kiuchumi, na Ukraine kutokana iko vitani haizalishi tena na kazi hazifanyiki inabidi west waingie mifukoni kuendesha Vita na pia kuhudumia mahitaji muhimu hapa ndipo wanapoumia zaidi na ukichukulia uchumi unaharibika kila Leo kutokana na vikwazo walivyoweka na kibaya zaidi Russia anaonekana anataka hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ili west na marekani waumie zaidi kipindi hicho nchi Kama uchina, India na Irani wanapiga gap kubwa kiuchumi
Kitu ambacho EU na USA hawataki kutoka Ukraine ni aibu ya kushindwa ambapo kutasababisha kuanguka Kwa nchi za ulaya na marekani, maana kumbuka nchi hizo zote za ulaya wanategemea resources za urusi ili uchumi wao na viwanda vikue, sasa jiulize kama walisema basi halafu urusi ikasema hatuwauzii west resources zetu, kutatokea nini???, Si ndiyo mwanzo wa machafuko maana pesa zao zitapoteza thamani, Ajira zitakuwa hakuna umasikini utawanyemelea ndiyo mwanzo wa mzungu kuwa mzamiaji afrika 🤣🤣🤣🤣, sasa ili kuepuka aibu hii ndipo inakuja Ile kauli " tutapigana Vita na urusi mpaka mtu wa mwisho wa Ukraine"
Hapa sasa nchi za NATO na USA itabidi hii Vita waigharamie wao na wapeleke Askari wao kupigana baada ya asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine limeangamizwa au wapo majeruhi, Kwa hiyo itabidi waombe bajeti kwenye mabunge Yao ili waendeshe Vita,
Unafikiri Ile kauli ya Russia kusema baada ya miaka miwili Ukraine haitakuwepo kwenye uso wa dunia ilitoka Kwa bahati mbaya?????
Hapana ilitoka Kwa makusudi ili kuwatia hasira west waendelee na Vita au wakubali hasara Kwa misaada yote walioipa Ukraine na ukumbuke hii ni biashara za watu hizi Kwa hiyo walikuwa wanajua Ukraine alishinda watalipwa sasa kama Ukraine itafutwa kwenye uso wa dunia maana yake na madeni yote waliyomkopesha Ukraine yatakuwa yamepotea, hapa ndipo lile kundi la wahuni linaloongoza marekani in shadow ndipo linapochanganyikiwa, pesa ndefu imepotea kisa Putin kazingua Kwa hiyo Kwa mtazamo wangu kuna kila dalili NATO watakuja kuingia Ukraine au wakubali kuanguka kwao
Kitu ambacho marekani na NATO hawataki kukubali ni kuwa zile zama zao zimefikia tamati sasa ni Zama za Asia kuongoza dunia
Naona kuna kila dalili afrika kupokea wakimbizi kutoka ulaya 🤣🤣🤣🤣 na hivi silaha walizopeleka Ukraine zipo black market ni swala la muda tu patachimbika hapo ulaya
Naomba samahani Kwa kuandika gazeti lakini Kama kuna pa kujazia nawakaribisha Sana watu pro - Russia 🙏🙏🙏🙏
Jamaa anaoneonekana ana hamu sana na hao NATO na anajua sehemu ya kichwa cha NATO ambapo ukishaibutua tu hiyo, hizo mikia zilizo baki haziwezi hata kurusha jiwe.Huyo mwamba alipigana vita vya Syria
Shukrani mkuu 🙏🙏🙏bila samahani nisingekuelewa ungeanza mada za kidini+ukabila kwa hili kongole kwako tuwaache wasiojielewa mada nyingine wanajadili kingine.
@T14 Armata mwengine huyu[emoji23]
Alisema cjui RUSSO wanapika viazi cjui vigumu kuiva cjui nn na nn
Kiufupi kuns watu walijitoa akili kwamakusudi ama kutolewa kwabahati mbays na MSM
Sie wengine tukawapa muda kwakua tulijua yakwamba kwa KREMLIN kila GOTI la WAMAGHARIBI litapigwa nisuala lamuda tuuu
PUT IN kawa OUT SMART hawa UMBWA WATU[emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wanaipenda wanaitaka pia, na kila ikipita hawachoki kuiangalia.... Salam ziende Washington!
View attachment 2271461
[emoji298][emoji298][emoji298]The President of Argentina announced the country's intention to join the BRICS.
"We strive to be full members of this group of nations, which already represents 42% of the world's population and 24% of the world's gross product," said Alberto Fernandez.
He recalled that Argentina is a responsible supplier of food and a recognized global player in the field of biotechnology and logistics.
Today, the BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.
Kupata kibali cha kueneza dini China hakuna.Tufanye sawa,wamekataza uhuru wa kuabudu,tufanye sawa.
Sasa vipi hawa walioruhusu uhuru wa kuabudu na pia wanaruhusu na kutetea wanaume kwa wanaume wafanyane yaani wafi-rane Tena kwa ndoa .
Wakati Mungu mwenyewe kakataza? Na akaangamiza sodoma na gomora?
Wanawake kwa wanawake wasagane na waoane kwa ndoa kabisa?
Kwa hiyo wote Wana matatizo east na west.
Je Urusi hakuna kuabudu?.
China hakuna kuabudu?
Tunajadili.