MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Nimechanganya mkuu ni FSBKGB haipo tena
Kama hii hapa eti intelijensia ya Uingereza yasema Russia ina uhaba mkubwa wa marubani wa ndege zake za vita kutokana na kupoteza idadi kubwa ya marubani/wanajeshi wake vitani🤣🤣😆😆😆Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Anapasha misuli moto hahahahahaWaache kwanza, ndo muziki unaanza bado Putin hajaweka ngoma zile kali kali. Watajuta.
Hii inteligence nitai apply hata kwenye ukoo wetu nina hakika itafanya kazi kwa asilimia zote,hahahahaha.Katika viongozi walioacha Alama hapa duniani naamini Vladimir Putin na yeye jina lake litakuwepo,
Kulikuwa na mipango pamoja mikakati wa nchi za NATO pamoja na USA kuzidhibiti au kuiangamiza Russia moja Kwa moja isinyanyuke tena, Ila sijajua Vita ya Ukraine Nani aliitaka ni Russia au NATO??
Maana kipindi Vita inaanza Putin alitumia nguvu kubwa Sana na kuonyesha lengo la kutaka kuiteka Kyiv, majeshi ya Ukraine yalijizatiti kweli kweli kuyakabili na kuyazuia majeshi ya urusi, baada ya hatua ya Kwanza kuwaingiza kingi NATO na USA kuwa anaitaka Kyiv akaja na hatua ya pili akaweka msafara wa magari 64km baada ya pale zikaonekana picha chache kuwa Yale magari yameangamizwa na hivyo kuwaaminisha kuwa urusi kapata kichapo kikali na amepata hasara kubwa, katika kuliongezea chumvi hili ambalo watu wa NATO na USA waliloliamini kuwa urusi imepokea kichapo akaanza kusambaza taarifa kuwa wanajeshi wa Russia wameishia silaha na chakula, wale pro nato wakatuambia kuwa hakuna nchi yenye logistics mbaya kwenye uwanja wa Vita kama super power wa mchongo wakimaanisha urusi,
Katika kukoleza mambo Putin akaenda China kuonana na Rais wa China na wakati anaenda FSB walihakikisha wanavujisha taarifa kuwa Russia imeishiwa silaha Putin kaenda kuiomba uchina msaada WA silaha,
Katika kipindi hiki ndicho ambacho nchi za NATO na USA waliamini wakiongeza nguvu kubwa basi Wana uhakika ushindi utakuwa upande wao
Uncle Joe na mashosti zake wakaingia kwenye bank zao kuichangia pesa Ukraine Biden akaingia stationary kuchapisha Dola 40B, Poland Kwa kuonyesha kuwa ni mkereketwa akaenda kufagia ghala lake silaha zote akapeleka Ukraine yeye mwenyewe akabaki mweupe kiasi kwamba hata wakiingia panya road Wanachukua nchi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Katika kipindi hiki vitu kama kila Aina ya silaha Kali zilipelekwa Ukraine ili ashinde Vita, pro NATO wakitamba mrusi safari hii anachapika, ili waingie vizuri na wajikute west wamevuka hadi mstari wa point of no return, urusi ikatoa sababu moja nyepesi kuwa wanarudi nyuma ili kuonyesha kuaminiana ili kupisha mazungumzo ya Amani ila ukweli NATO walijua mrusi karudi nyuma kutokana na kuzidiwa,kuishiwa silaha na chakula Kwa hiyo kipindi mazungumzo yanaendelea walikuwa busy kupeleka silaha sehemu husika ili waje wampe pigo moja takatifu urusi,
Mrusi baada ya kuona samaki kasha NASA kwenye chambo akaanza kupiga na kuchukua maeneo muhimu yote kiuchumi, NATO na USA wanakuja kutahamaki wanakuta bandari imekwenda, chakula kimechukuliwa kinu cha umeme kimechukuliwa na kujikuta kuwa maeneo muhimu yote yapo Kwa Russia, ndipo nchi kama ujerumani ilihisi tatizo na kuanza kupunguza ukimbelembele ikimuacha nchi kama Poland isiamini inachokiona maana silaha zote zilizoingia Ukraine zilifikia Kwa urusi, kuangamizwa na hata chache zilikuwepo zilikuwa alhazifanyi kazi ipasavyo,
Katika kipindi hiki sasa ndiyo NATO na USA wanakuja kujua Russia aliwalisha matango pori, katika kipindi hiki asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine wameuawa, majeruhi, wametekwa au wamejisalimisha na kuomba uraia wa Russia, mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa 40% ya wapiganaji Wote wa ndiyo waukraine lakini waliobaki ni marcenary kutoka mataifa mbalimbali ya ulaya, America na middle East,
Kitu kingine kinachowaumiza kichwa ni baada ya urusi kuchukua miji yote ya kiuchumi, na Ukraine kutokana iko vitani haizalishi tena na kazi hazifanyiki inabidi west waingie mifukoni kuendesha Vita na pia kuhudumia mahitaji muhimu hapa ndipo wanapoumia zaidi na ukichukulia uchumi unaharibika kila Leo kutokana na vikwazo walivyoweka na kibaya zaidi Russia anaonekana anataka hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ili west na marekani waumie zaidi kipindi hicho nchi Kama uchina, India na Irani wanapiga gap kubwa kiuchumi
Kitu ambacho EU na USA hawataki kutoka Ukraine ni aibu ya kushindwa ambapo kutasababisha kuanguka Kwa nchi za ulaya na marekani, maana kumbuka nchi hizo zote za ulaya wanategemea resources za urusi ili uchumi wao na viwanda vikue, sasa jiulize kama walisema basi halafu urusi ikasema hatuwauzii west resources zetu, kutatokea nini???, Si ndiyo mwanzo wa machafuko maana pesa zao zitapoteza thamani, Ajira zitakuwa hakuna umasikini utawanyemelea ndiyo mwanzo wa mzungu kuwa mzamiaji afrika 🤣🤣🤣🤣, sasa ili kuepuka aibu hii ndipo inakuja Ile kauli " tutapigana Vita na urusi mpaka mtu wa mwisho wa Ukraine"
Hapa sasa nchi za NATO na USA itabidi hii Vita waigharamie wao na wapeleke Askari wao kupigana baada ya asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine limeangamizwa au wapo majeruhi, Kwa hiyo itabidi waombe bajeti kwenye mabunge Yao ili waendeshe Vita,
Unafikiri Ile kauli ya Russia kusema baada ya miaka miwili Ukraine haitakuwepo kwenye uso wa dunia ilitoka Kwa bahati mbaya?????
Hapana ilitoka Kwa makusudi ili kuwatia hasira west waendelee na Vita au wakubali hasara Kwa misaada yote walioipa Ukraine na ukumbuke hii ni biashara za watu hizi Kwa hiyo walikuwa wanajua Ukraine alishinda watalipwa sasa kama Ukraine itafutwa kwenye uso wa dunia maana yake na madeni yote waliyomkopesha Ukraine yatakuwa yamepotea, hapa ndipo lile kundi la wahuni linaloongoza marekani in shadow ndipo linapochanganyikiwa, pesa ndefu imepotea kisa Putin kazingua Kwa hiyo Kwa mtazamo wangu kuna kila dalili NATO watakuja kuingia Ukraine au wakubali kuanguka kwao
Kitu ambacho marekani na NATO hawataki kukubali ni kuwa zile zama zao zimefikia tamati sasa ni Zama za Asia kuongoza dunia
Naona kuna kila dalili afrika kupokea wakimbizi kutoka ulaya 🤣🤣🤣🤣 na hivi silaha walizopeleka Ukraine zipo black market ni swala la muda tu patachimbika hapo ulaya
Naomba samahani Kwa kuandika gazeti lakini Kama kuna pa kujazia nawakaribisha Sana watu pro - Russia 🙏🙏🙏🙏
Mkuu huko ndiko nakokimbilia mimi hahahahaha,kuna habari iliyoandikwa leo ya kuwa wagaykraine wameuachia ule mji kwa Urusi ili waweze kuwajua sehemu walipo warusi na kuwapelekea moto. Sasa ukisoma comments ndio raia wanashusha nondo za kutosha na kukupa faraja au kukuvunja moyoChombo kizuri, ni kile chenye mtori na nyama nyingi mjomba.
Kitakachokueleza ukweli, utahisi ni propaganda za Urusi kama wewe sio mfuasi wa upande huo. Maana hali ya Ukraine ni MBOVU!
Kupata chombo cha habari kisicholalia upande wowote 100% ni ndoto za alinacha. Fatilia tu kutoka pote pote ila hakikisha huachi kusoma Comments!
HAKIKISHA HUACHI KUSOMA COMMENTS KWENYE KILA HABARI INAYOTOLEWA.
HAKIKISHA
HAKIKISHAAA maana hapo ndipo utam wa taarifa ulipo [emoji38][emoji23][emoji2]
Wakubali tu[emoji95] Updates!!!
[emoji635][emoji1255] From the latest from the Ministry of Defense of the Russian Federation:
1. In Konstantinovka, rocket strikes destroyed up to 80 Polish mercenaries, 20 armored combat vehicles and 8 MLRS. Also, 3 Hurricanes were destroyed.
2. More than 300 soldiers of the Armed Forces of Ukraine and foreign mercenaries and 35 units of heavy weapons were destroyed in the Nikolaev region.
3. During the day, more than 780 enemy soldiers and officers were destroyed as a result of artillery, aviation and missile strikes.
Hapo GAYTO watakimbilia kuikinga London halafu mrusi anakwenda kulivuruga jiji ambalo GAYTO na US wala hawakutegemea, Urusi raha hahahahaha.Member of Russian Parliament Says "London will be Bombed first"
A Russian Member of Parliament, Andrey Gurulyov, has said that "London will be the first city to be bombed by Russia if the blockade of Kaliningrad leads to a war with NATO.”
MP Andrey Gurulyov, 54, a member of Russian parliament’s defense committee, advocated the Russian invasion of the NATO Baltic countries.
On state TV’s Channel 1 he said there was no other way to prevent the West blockading Russian exclave Kaliningrad.
Such a move would trigger the NATO Treaty "Article five" which says "an attack upon one member of NATO is an attack upon all members" and spark World War Three.
“We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,” said Lt-Gen Gurulyov, a senior commander in the Russian Army who now represents United Russia, the main political party.
“No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
“Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent.
“Third, we certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.
“The first to be hit will be London.
“It’s crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons.”
Like other Moscow hardliners, he believes the West - especially on continental Europe - has no stomach for a real war.
“As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized.
“All power supply sites will be destroyed.
“And in the third stage, I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity.
“I wonder how they (the US) will manage to stay aside.
“This is the rough plan, and I deliberately leave out certain moments because they are not to be discussed on TV.”
Gurulyov is a former deputy commander of Russia’s southern military district.
He served with Russian forces in Syria.
He has been sanctioned by the US for his close links to Putin.
Piga za uso kanyaga twende
Wakulima hawatupii picha wakivivuta vifaru,pro GAYTO walikuwa wakininyima raha sana hii Op ilipoanza na propaganda zao hahahahahaHalafu huyu Britannica simuoni siku hizi humu. Au anasubiri kifaru cha Russia kiunguzwe then aweke bandiko reeeefu kuwa ni analysis
Huyu jamaa alijua kututishaHuyo jamaa ni chenga sana, alafu muongo balaa. Alinikosha aliposema anaishi Moscow Russia, na hali ya uchumi mgumu anaiona live mitaani, akaenda mbali akasema supermarket ziliishiwa chakula na shelves zote zilikua empty [emoji23][emoji23][emoji23]. Wapumbavu wenzie walishangilia sana, mie darasa la saba B, nilimuuliza tuwape siku ngapi Russia kufa kwa njaa? Maana hawana msosi na sanctions za kila aina wamepewa. Akasema ndani ya miez miwili Russia wata surrender na kuongezeka kwa thamani ya pesa (rubles) ni kwa mda mfupi tu, sasa anajionea mwenyewe
Kwa ufupi, pro Nato wenye akili nao wamejivika 'miwani ya mbao' hawaamini wanachosikia na kuona. Wengi walidhani Russia ni 'kanchi kanyonge' sasa wanaamini kimya kimya moyoni kua ile nchi ni dubwana kubwa la kutisha.
Huko nyuma nilichoka kubishana na nikaandika "tunywe mtori nyama tutazikuta chini" na kweli nyama tumeanza kuziona soon or later tutazitafuna.
The irreplaceable
#uraaa
Mungu isaidie Urusi ituokoe kutoka kwenye mabaya ya hawa wagema ulimbo wa USKiukweli mimi nilikua mjinga sana nilikuwa naamini kweli gadaffi na saddam walikua magaidi kumbe sio kweli na uhalisia Mungu anisamehe kwakweli toka nijue propaganda na fitina na west niliamua kuwachukia mpaka kufa kwangu hawa sio watu wanajikuta wao ndo walioumba dunia. Wanajikuta wao ndo kila kitu.
Kutoka huo upande ni ngumu sana hao jamaa sijui wanadawa wakiweza kukalia ubongo wako kila wanachosema unaamini.
Tuisupport sana Russia yupo kwenye vita kali sana nyie mnaweza ona anavita na ukraine tu ila kuna mambo mengi yamejificha na hatari. Russia taifa teule [emoji1377][emoji635][emoji635]
Ukweli huwa haujifichiWameanza kuweka kumbukumbu sawa View attachment 2271458
Cheers kwa masoldier hao,wameshasema kuziona rangi halisi na kukataa kutumika kizembe[emoji95] Updates!!!
[emoji1255]The battalion from Lviv refused to go to Donbass.
"The personnel of the 64th battalion of the 103rd Territorial Defense Brigade stationed in Lviv refused to leave for the combat area in the Donbass due to staffing with untrained reservists and the lack of heavy weapons," the Russian Defense Ministry said.
The department stressed that this is not an isolated case. The units of the Armed Forces of Ukraine continue to refuse to perform their tasks in the combat zone.
Kwahiyo jina litasomeka hivi ABRICS.Najua wanaipenda wanaitaka pia, na kila ikipita hawachoki kuiangalia.... Salam ziende Washington!
View attachment 2271461
⚡⚡⚡The President of Argentina announced the country's intention to join the BRICS.
"We strive to be full members of this group of nations, which already represents 42% of the world's population and 24% of the world's gross product," said Alberto Fernandez.
He recalled that Argentina is a responsible supplier of food and a recognized global player in the field of biotechnology and logistics.
Today, the BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.
Malkia amekuwa mtawala tangu 1952 na Sasa ni miaka 70 mbona hawamsemi kuwa ni dikiteta⁉️Kasema nani
Ila kheri tuzuiliwe kufanya ibada ikiwa haki za binadamu nipamoja nakuoaba sisi kwasisi
Yaani unaambiwa utoaji mimba haki ya kibinaadam
Tunaambiwa GADAFI ASAD alikua DIKTETA ila unashangaa MBS na wengineo pale mashariki yakati nimadikteta ila ndio maswahiba WAKUU wa WEST
Kiufupi nimekua mvivu kuandika ila WAMAGHARIBI wanatudanganya sana kwamaslahi yao hawa UMBWA
RUSSIA AGAINST EVIL
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwanza ngoja ni nicheke linki hiyo kasome..... Ila NYIEEE ni wabobezi wa ujinga....nimeavulia kofia Kwa ujinga tu ...mko vizuri. Hao Chechens mnasaligi nao orthodox ya Simiyu SI ndio...Kupata kibali cha kueneza dini China hakuna.
Urusi hakuna kuwa na dini nyingine zaidi ya kanisa la othodox, wengine hapana