Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Hizi habari zinawafurahisha sana pro nato....nawaona wanatikisa kweli mikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi wa Ukraine afyetua mtego wa bomu na kujeruhi wanajeshi 40 wa Urusi[emoji848]
'Goat of Kyiv' leaves 40 Russian soldiers injured after triggering booby trap
AT least 40 Russian soldiers were wounded as a goat set off a booby trap they had placed around a hospital in Zaporizhzhia.www.express.co.uk
Hawa jamaa ni wap..mb..v na wabinafsi sana...yaani wao hawataki wengine wawe na influence...wao tu wanataka wawepo kila sehemu..kwani kuna ubaya gani china kutengeneza influence..??[emoji95] Updates!!!
US, UK, Japan, Australia, New Zealand form Pacific group to counter China
The US, the UK, Japan, Australia and New Zealand have launched an informal group aimed at expanding economic and diplomatic ties with tiny Pacific island nations in a move to challenge China’s regional influence.
Hamna watu pale Jomba, kuna mifano ya watu.
Nafikiri wanaenda piga nazo picha za selfie🙂Mkuu nafuatilia habari tu. Najitahidi kuangalia habari kutoka kila upande bila ubaguzi. Lithuania inatekeleza sasa maazimio ya Umoja wa Ulaya kutoruhusu bidhaa kadhaa za Urusi kwenye eneo lake. Hivyo hazipitii tena kwenye reli inayopita katika Lithuania hadi Kaliningrad.
Naona kwamba Urusi imetisha mara kadhaa hatua kali (na kuonyesha picha za roketi zinazoenda hapa na pale) dhidi ya nchi zinazotuma silaha Ukraine. Nisipokosei hadi sasa hakuna kilichofuata.
Kwa hiyo nimekuuliza: roketi hizo zenye muziki mbaya zifanye nini zikifika karibu na Lithuania na eneo la NATO???
Nafikiri wanaenda piga nazo picha za selfie🙂
Hawa wanaosarender kila siku?Yote Tisa,kumi askari wa Ukraine wanastaili pongezi kubwa kwa kuweza kupambana na kuilinda nchi yao mpaka dakika hii dhidi ya fashsti nduli dikteta Putin
ID mpya hiyo ya Fala mmoja mwenyeji asikuchoshe... Weka kapuni mjomba!