Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo kombora alilosema silijui. Mimi sio msemaji wa jeshi la Urusi mpaka nisipojua silaha yao mnishambulie. Yeye anajua, si aeleze hapa? Kwahiyo nawe uko umesubiri niseme kitu ambacho sijui, na anayejua uko naye mnatuniana emoji za kucheka
Sorry nafikiri mimi ndio wa kwanza kukutag utoe sintofahamu fulani ya hayo masilaa uyo niliemkoti pia hajui alikuita uje usawazishe mambo.

Nazani ulipojipa maujiko ndio kilichofanya kikatokea kilichotokea you have my respect kwa unayoyajua kuhusiasa na silaha.
 
Anapambia upande wake kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ mi naongezea kuna like libalistic sijui missile kutoka Russia hadi london in 3 minutes ni ukweli mi ningependa kujua tuu.@T14 Armata
Jamaa mjanja sana, akipata fursa lazima aipambe Marekani hata kama hakuna ulazima wa kuitaja
 
Hakika wanajua mnooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maujiko gani niliyojipa mkuu
 
Ni hapa ndipo ulipojichukulia maujiko(kwamba Russia is nothing compared to Us) ilhali uko Ukraine wanakula za mbavu.
 
Mlilalamika Saudi Arabia kushambuliwa na Houthi wakati ina air defence system za Marekani. Mbona Russia imeshambuliwa na drones zinazouzwa AliExpress na hamsemi hasa Bwana Utam na Sela Son
 
Ni hapa ndipo ulipojichukulia maujiko(kwamba Russia is nothing compared to Us) ilhali uko Ukraine wanakula za mbavu.
Sasa inabidi uniweke ignore list. Utaratibu wangu wa kuchangia mada huwa sikomai na neno lile lile linalozungumzwa. Humu ukianza mwanzo February mpaka sasa nimezitaja South Korea, North Korea, Iran, Saudi Arabia, Yemen, China, Japan, South Africa, Brazil, India, UK na nchi kibao. Wewe unataka usome tu kuhusu Ukraine na Russia.
Siwezi badili namba ya kuchangia kwa sababu yako, unakereka unaweka ignore list unaendelea kutuma emoji za kuchekacheka
 
Huu uzi unausiana na nini sasa?
Ok tayari ignored.
 
Mlilalamika Saudi Arabia kushambuliwa na Houthi wakati ina air defence system za Marekani. Mbona Russia imeshambuliwa na drones zinazouzwa AliExpress na hamsemi hasa Bwana Utam na Sela Son
So umeamua uanze league za kike na ww, Kwa hiyo unataka sema S-500 imeshindwa kudungua hivyo vi-drone? Kwamba Semi isipoigonga bicycle haina uwezo wa kuiharibu sio? Kwamba hiyo Semi ni dhaifu kwa bicycle?

Dah Unawaza nini mwamba au umetoka kushtua kimoko bafuni? Ule mshindo wa sabuni unalegeza sana nut za fuvu la kichwa mjomba.
 
Inasemekana Russia wameingiza uwanjani anti santellite missile A-235 Nudol. Wale wajuzi wa sayansi ya vita kwa faida ya wote hilo dude lina kazi gani.
Nimepitia maelezo ya kombora hilo kwenye YouTube, lengo hasa la kuundwa ni kuepusha shambulio la nyuklia la maadui zetu (Marekani/NATO) kwenye jiji letu la Moscow na mikoa mingine muhimu ya viwanda nchini Urusi.

Nafikiri Russia wameingiza uwanjani makombora hayo hivi sasa kutokana na chokochoko za NATO kuandaa ndegevita kadhaa zenye uwezo wa kufanya mashambulizi ya kinyuklia. Hata hivyo NATO hawana uwezo wa kujaribu hata kurusha risasi ndani ya Urusi, maana wanaelewa vyema uwezo wa "mshua" wetu kwenye silaha za nyuklia.

Cc: Galip Vrl
========


 
Mbona unawaka sana mzee. Mqoundou wako unawashwa nini mbona unaanza kujilinganisha na sabuni? Wewe ni bora kuliko sabuni, aya njoo basi mrembo
 
Mbona unawaka sana mzee. Mqoundou wako unawashwa nini mbona unaanza kujilinganisha na sabuni? Wewe ni bora kuliko sabuni, aya njoo basi mrembo
Ahsante kwa kuliona hilo, na nashukuru kwa ofa yako. Haya kaza nut hizo kisha rudi kwenye paragraph ya kwanza... Usibadili ulichokianzisha, jibu swali
 
Eiwaa shukran mkuu nimeelewa mwamba, halafu kuna lingine tena kama hutojali utupe majibu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…