LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mkuu mi sikatai kuwa Urusi ni taifa kubwa kieneo pengine mara 10 ya Ukraine, sikatai kuwa Urusi ina jeshi kubwa na lenye nguvu zaidi ya Ukraine, pia sikatai kuwa Urusi ana silaha hatari zaidi ya zile za Ukraine. Ila ninachozungumzia hapa ni kwamba Urusi na wapambe wake hawakutegemea kuwa wangepata upinzani mkubwa kutoka kwa vikosi vya Ukraine kwani waliamini kuwa Ukraine ina jeshi dhoofu lisilo na ujuzi wala mbinu, lisilo na silaha wala uwezo wa kujilinda na kujitetea kwa namna yoyote ile. Urusi ilitegemea kuwa baada ya kuanzisha mashambulizi jeshi la Ukraine lingeweka silaha chini na kukimbia huku wakiacha jeshi la Urusi likivinjari katika ardhi yao, na ndio maana kabla mashambulizi hayaja anza Putin alianza kutangaza kuwa anataka wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini ili yeye aingie tu kiwepesi wepesi kama vile mume anaeingia kwenye chumba cha mkewe kula mzigo. Sasa kilichoshangaza wengi ni kwamba jeshi la Ukraine pamoja na udogo wa nchi yao, uhafifu wa vifaa vyao vya kijeshi na udogo wa jeshi lao lakini hawakutii wala kuogopa kauli ile. Ndio kwanza walionesha na wao kujiamini kwa lolote litakalotokea, na kweli kujiamini kwao kumewasaidia maana vita ambayo Russia alitegemea ataimaliza siku moja, leo ina week haijaisha huku Urusi yenyewe ikiwa haijadhibiti kikamilifu mji hata mmoja kati ya miji miwili mikubwa ya nchi hiyo. So hauoni kama mambo bado ni magumu kwa Urusi japo wanajeshi bora na silaha kubwa kubwa?
 
Muda sio mrefu kwenye mji wa Khakiv umetokea mlipuko mkubwa sana.inasemekan Warusi wametupa bomu zito sana kwenye kambi ya anga iliyopo khakiv.mlipuko ni mkubwa sana, kama vile mlipuko wa nuclear bomb
Aisee. Ukrain si itabaki majivu?
 
Maneno ya kwenye kanga
 
Kwan us hawaingilii au NATO na wakati mtoto anaonewa na mkubwa? USA ni vikao tu mtu anaoukutushishwa jiulize hapo
 
Sio kweli ndugu walijua upinzani utakuwepo maana Nchi za Nato toka mwaka 2015 zinatoa mafunzo na silaa muda wote.
 
Trust me ndugu yangu, nikisema nikujibu nitakuudhi. Sipendezwi na namna unavyodeal na watu wenye hoja tofauti na wewe.
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…