Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Zimeshambuliwa wapi MKUU leta USHAHIDIMlilalamika Saudi Arabia kushambuliwa na Houthi wakati ina air defence system za Marekani. Mbona Russia imeshambuliwa na drones zinazouzwa AliExpress na hamsemi hasa Bwana Utam na Sela Son
π€π€π€π€inasemekana wanashinda Vita huko, wamerudisha Marioupol, Azov na Severodonetsk kwa mujibu wa Pro NATO wa Samvulacholeπ
Naam MKUU[emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji16]
β‘β‘β‘ "Ukraine should give up Donbass in order to get a ceasefire"
Nawaomba kwa heshima na taadhima,tuache kushambuliana kwa lugha zenye kuudhi.Swali gani umeuliza? Sijaona swali nimeona unalalamika naanzisha ligi za kike, hizo ni jukumu lako siwezi anzisha ligi za jinsia nyingine. Pale nimequote comment iliyopo kwenye uzi huu huu
Ahsante kwa kuliona hilo, na nashukuru kwa ofa yako. Haya kaza nut hizo kisha rudi kwenye paragraph ya kwanza... Usibadili ulichokianzisha, jibu swali
Ha ha haa...kitu RS-28 Sarmat (Satan II)...Sikirimimimasikini hilo hapo
Nawaomba kwa heshima na taadhima,tuache kushambuliana kwa lugha zenye kuudhi.
Turudi kwenye mada.maoni yenu ni elimu kwa wengi.
Nimekuelewa mwamba!Nawaomba kwa heshima na taadhima,tuache kushambuliana kwa lugha zenye kuudhi.
Turudi kwenye mada.maoni yenu ni elimu kwa wengi.
Nimekusoma mwamba, Shukran Mucho! Then tusaidie kipengele kilichobakia cha Dakika 3.Ha ha haa...kitu RS-28 Sarmat (Satan II)...
Hilo ndio kombora kubwa zaidi na zito zaidi la balistiki duniani. Uzito wake ni kg 207,745 (zaidi ya tani 200) ambo uzito huo ni sawa na uzito wa ndegevita kumi na moja (11) za Marekani aina ya F-22A ziwekwe pamoja.
Sarmat linakuja na vichwa vya nyuklia 10 hadi 15, kila kichwa kinabeba mlipuko wenye nguvu ya megaton 18 hadi 25.
Kombora hilo halidunguliki na mifumo yoyote ya ulinzi wa anga ya Marekani + NATO
===
View attachment 2272887View attachment 2272890
View attachment 2272883
View attachment 2272886
Huyo Bishop atuache[emoji298][emoji298][emoji298] "Ukraine should give up Donbass in order to get a ceasefire"
Bishop of Leeds Nick Baines wrote an article in which he stated that the goal of Western allies remains unclear.
Negotiations with Russia and a realistic attitude to the situation are vital to achieve peace in Ukraine.
"The long-term goal should be that Ukraine controls all its territory, but it does not necessarily follow that military force should be used to liberate Crimea or even all of the eastern Donbas region.Some of these goals might be better served through diplomacy and the selective easing of sanctions."
@LLSeniors
Naomba hayo magroup mkuu na Mimi nijiungeUhakika wa source sina Ila nimekuta kwenye group la telegram
Mkuu hapo kwenye dakika tatu nimefanya mahesabu yangu yote ya kawaida (kwenye level yangu) nimeshindwa kupata dkk tatu.Nimekusoma mwamba, tusaidie kipengele kilichobakia cha Dakika 3
Njoo tele mwamba niku-forwadie link zote [emoji117] Gain LowNaomba hayo magroup mkuu na Mimi nijiunge
Ouk sawa shukran kwa maelezo ya ziada Mjomba.Mkuu hapo kwenye dakika tatu nimefanya mahesabu yangu yote ya kawaida (kwenye level yangu) nimeshindwa kupata dkk tatu.
Ila nafikiri Urusi iliyotamka kuwa kombora hilo linafika UK ndani ya dakika tatu (na kisha kunukuliwa hivyo na vyombo vya wanagharibi pasi na kukosolewa) watakuwa wao wapo sahihi.
Sisi ktk mahesabu yetu twawezakuwa twatofautiana point ya kuanzia kuhesabia ktk Urusi (Urusi ni kubwa, tunaanzia kuhesabia huo umbali kwenye point gani ya Urusi). Mfano kama tunatafuta umbali kati ya Tanzania na Angola, tunachukulia kuanzia point gani ya Tanzania, je Dodoma city, au Bukoba, Kigoma, Mbaya etc...lakini pia umbali wa kuruka ndege za kawaida hauwezi kulingana na umbali wa kurukia kombora (Ndege za kawaida njia yake hujaribu kuepuka maeneo hatarishi kwa ndege)
πππ Ukraine inapigwa na NATO sasa π€£π€£π€£Wanapigwa na nchi nyingine wao wanaisingizia urusi..maana urusi alishaishiwa makombora na chakula muda mrefu, si nasikia hata supermark zipo empty kabisa huko urusi
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
So funny[emoji23][emoji23][emoji23] Ukraine inapigwa na NATO sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana Urusi alisha ishiwa muda sasa [emoji23][emoji23][emoji1787]