T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
In a statement, the refinery said: “As a result of terrorist actions from the Western border of the Rostov region, two unmanned aerial vehicles struck at the technological facilities of Novoshakhtinsk.” The refinery also said that staff had been evacuated and work paused while the damage was assessed.
Gracias, umezungumza point kuntu nzuri sana mdau. Hapa niombe niongezee kingine kutoka kilichosemwa majuzi.Sisi ktk mahesabu yetu twawezakuwa twatofautiana point ya kuanzia kuhesabia ktk Urusi (Urusi ni kubwa, tunaanzia kuhesabia huo umbali kwenye point gani ya Urusi). Mfano kama tunatafuta umbali kati ya Tanzania na Angola, tunachukulia kuanzia point gani ya Tanzania, je Dodoma city, au Bukoba, Kigoma, Mbaya etc...lakini pia umbali wa kuruka ndege za kawaida hauwezi kulingana na umbali wa kurukia kombora (Ndege za kawaida njia yake hujaribu kuepuka maeneo hatarishi kwa ndege)
Walisema tunaiogopa kyiv ngoja tuwatumie missile wacheze nazo kabla ya kichapo kikali Cha man to man hakijafata na kuwakamata Kama nyumbu kwa makundi ya watu 2000
Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!
Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.
Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.
=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
The last sentence though hahaaaaaaaaNi kweli Plan yake imethibitiwa vizuri maana sasa Ruble ni 52.3 against dollar.
Na generali wao ametambua loss of Severodonetsk, Voronovo, Borovsky and Sirotino hapo Ukraine.
Hapa ni kweli kabisa Russia anajifuta aibu aliyoipata Ukraine [emoji1][emoji1][emoji1]! Kuna walioambiwa wajisalimishe maana hamna wanacholinda na wamekubali.
Your comments are Savage hahaaaaHao wawili wa Mwisho wana matatizo sababu walishapitia alichopitia Ukraine ndio maana wameenda kumfariji mwenzao [emoji28]
Bonyeza *102# mkuu,utaupataMm nipo nje ya maada,nataka uzi wa SARAH SIMBAULANGA,aliepiga pesa NBC mwenye kujua tafadhali
Biden anacholalama nini sasa 🥱Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!
Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.
Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.
=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
Wanataka kuhamia China tenaShikamoo Mrusi nabado
Biden and Scholz did not widely discuss the issue of the oil price ceiling;
Biden and Scholz agree that the conflict in Ukraine should ultimately be resolved through negotiations;
The United States expects that the new strategic concept of NATO will have "categorical formulations" regarding China.
Naaam,Wanakula Iskander za kuwafurumusha kwenye makabati kisha wanachezea AK-47 kitaa [emoji28][emoji28][emoji28]