Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dictator putin atashindwa vibaya. Mda utaongea
Putin hashindwi leo wala kesho Putin nguvu ipo ya kutosha huku anaichakaza vibaya Ukraine , Kyiv wanauona moto na muda huo huo anaiahidi Belarus kuipa msaada wa silaha za kisasa na kuwaboreshea ndege Vita
Wakati mashoga wa West walishamtabiria kaishiwa silaha na chakula ila cha ajabu huko west maisha ndo yamekua magumu kuliko kwa waliemuwekea vikwazo Ukraine hadi sasa wameshachelewa wakijifanya wanawasililiza mashoga zao miaka miwili ijayo tutaisahahu kabisa kwenye ramani ya dunia
 
yaani id za pro nato Kama sio new member basi ni member. Wanafufua id zao walizotelekeza au kufungua mpya. Napenda kuwatumia wimbo wa anajikosha by harmonize uwaendee pro nato wote, asanteni.
 
Tupo source kiongoz nasisi tuichimbe hyo news
 
Toa shuka kumekucha wewe unajifanya kamanda wa jeshi la urusi, urusi taifa la kinyonyaji awam hii haitoki.
 
Mmeshindwa vita mnachoma vitabu

[emoji845]All books from the library of the Church of Petra Mohyly in Mariupol were burned by the invaders

Unique copies of Ukrainian-language publications were kept there and now they are lost forever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…