Jifariji mkuu, hayo majimbo mawili kazi tayari imekwisha tumehamia Jimbo la Kharkov . Naona mkuu baada ya Ile akaunti yako kupigwa ban Jana umerudia akaunti yako halisi 😂😂😂Imeshachukuliwa?? Usifurahi mapema... Ramani ninayoona inaonyesha theluthi 2. Kweli mafanikio kwa Taifa Teule baada ya miezi ya vita na kupoteza makumi elfu?? Amka, kaka!
View attachment 2275430
Ha ha ha ha Zero bin Sifuri hawana lolote!Yaani walijitutumua sana jana na juzi nikadhani wako vizuri kuukabili mziki, kumbe Hamna kitu!!!
G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine
Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.
This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.
$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.
Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine
Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.
This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.
$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.
Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
Uyu jamaa Ni msema kweli, Hana ushabiki maandaziKwa mara ya Kwanza nimekupa like maana umeongea ukweli
Bora wa jana huyu kazidi [emoji38]Jifariji mkuu, hayo majimbo mawili kazi tayari imekwisha tumehamia Jimbo la Kharkov . Naona mkuu baada ya Ile akaunti yako kupigwa ban Jana umerudia akaunti yako halisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sahii kabisa,Zelensky Hana akili nzuri anaweza kuripua hata wananchi wake mwenyewe akasingizia Russia ili tu apate huruma ya dunia anayo itafuta ambayo hajaipata Hadi sasa
lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.Ukitafakari sana utagundua Zelensky na Magharibi wote hakuna mwenye HURUMA wala UCHUNGU na Ukraine. Wangekuwa na huruma hakika kusingelitokea Mauwaji na Uharibifu mkubwa kiasi hicho. Angalia hata wanapokuwa kwenye vikao vyao au kutembelea Ukraine unakuta kuna muda wanafanya interaction wakiwa na tabasamu usoni.
Tujiulize kipi bora. Nchi itangaze kuahirisha kujiunga NATO au ishupaze shingo na KULETA MAAFA kwa kigezo cha UHURU WA KUJIAMLIA.
ZELENSKY ROHO YAKE IPO ZAIDI KWENYE ASILI YAKE(ISRAELI) NDIO MAANA HANA UCHUNGU KIVIIIIIIIILE
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
Zelensky hi Vita ishamshinda,Marekani yasema Zelensky anataka kufupisha vita ya Ukraine kutokana na kupoteza askari wengi huku Russia ikizidi kujinyakulia ardhi (mikoa/majiji/miji)
Mwaka huu watasema ukweli tuuu...
View attachment 2275470
ndiyo maana tunawaambia atalegea tu. hana nguvu za kijeshi kama mnavyotuaminisha kupambana na wamagharibi, its a matter of time tutayajua yote. Kama kweli unajua vita na mkomavu huwezi rusha bomu juu ya shopping mall... ni war panic.Hivi unajua tofauti ya vitu vya kupewa na cha kumiliki ww mwenyewe? Huna akili.