NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
'Hili biti la ukweli'. H ah ah ahaaa! Hao nato waache kujitoa ufahamu waelewe wanachojaribu kutingisha.⚡⚡⚡Roscosmos published satellite images and coordinates of Western "decision-making centers supporting Ukrainian nationalists."
The state corporation recalled that the NATO summit opens in Madrid today, at which Western countries will declare Russia their worst enemy.
"We give the coordinates of the objects. Just in case."
Unateseka ukiwa wapi jomba!Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.
Lengo lake ni kuvitwanga vi nchi vyote vililivyokuwa kwenye USSR na kuvipatia uhuru wa Bandia ili avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
Yawezekana hii post hapa chini imeiruka kwa makusudi!avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
Nilikuwa nasoma comments kwenye rt, warusi original wenyewe wanahoji kwanini imekuwa hivyo, ila hawa warus wa bongo sasa.ndiyo maana tunawaambia atalegea tu. hana nguvu za kijeshi kama mnavyotuaminisha kupambana na wamagharibi, its a matter of time tutayajua yote. Kama kweli unajua vita na mkomavu huwezi rusha bomu juu ya shopping mall... ni war panic.
$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.
Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
typo.., kwa hiyo umeona hiyo ndiyo point siyo - akili ndogo ni ndogo tu.2022 - 2033???? Jomba au umeishiwa wese tukujazie... Ngoma itembee.
Hutokuja kuona hicho kitu anytime soon, pia hata wewe hauko tayali kuona hicho kitu mkuuDunia ilivyoumbwa ni kwa ajili ya wenye nguvu.(survival of the fittest) sio kurudisha USSR tuu ni hivii hata hao NATO wasipokaza wanakua chini yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu inakuja barua tuu bana kuanzia leo kodi inaenda sehemu fulani,mtatumia lugha hii,utamaduni huu na kiongozi wenu ni huyo, alafu tunaitikia sawa na ahsante MKUU.
Umeongea kimasihara lakini ndio ukweli.Dunia ilivyoumbwa ni kwa ajili ya wenye nguvu.(survival of the fittest) sio kurudisha USSR tuu ni hivii hata hao NATO wasipokaza wanakua chini yake.
😂😂😂😂Huku kwetu inakuja barua tuu bana kuanzia leo kodi inaenda sehemu fulani,mtatumia lugha hii,utamaduni huu na kiongozi wenu ni huyo, alafu tunaitikia sawa na ahsante MKUU.
Ndio hali yenyewe utake usitake mwenye nguvu mpishe.Hutokuja kuona hicho kitu anytime soon, pia hata wewe hauko tayali kuona hicho kitu mkuu
Russia na wafuasi wake wote maskini.Nilikuwa nasoma comments kwenye rt, warusi original wenyewe wanahoji kwanini imekuwa hivyo, ila hawa warus wa bongo sasa.
Mwingine humu anakuambia et Zelensky ndio kalipua watu wake, humu wajinga ni wengi[emoji16]