Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio Kaka, Kayasema hayo 2007, miaka 15 imepita sasa. Baada ya Speech mwaka uliofata wanajua yaliyotokea hadi leo hii hawana hamu nae, Putin Pasua kichwa.
 
Putin alikuwa anataka nini ili asiivamie Ukraine?
 
Thibitisha ilitaka kujiunga NATO.
Nchi haikuvamiwa kumegwa ila imevamiwa kisa imeleta dharau kwa kutaka jiunga NATO, waliua sana raia wenye asili ya Urusi mashariki ila wakanyamaziwa sasa dharau zikaja, wakataka kujiunga na "no action talking only"
 
Kwa nini Finland haijavamiwa?
Nchi haikuvamiwa kumegwa ila imevamiwa kisa imeleta dharau kwa kutaka jiunga NATO, waliua sana raia wenye asili ya Urusi mashariki ila wakanyamaziwa sasa dharau zikaja, wakataka kujiunga na "no action talking only"
 
Umeeleza vizuri sana ila cha kisikitisha bado utakuta kuna watu wanaendelea kukaza mafuvu na kuendelea kuamini kuwa US[emoji631] wanatoa msaada. Waafrika tunapenda sana vya bure mpaka inafikia hatua tunapoteza hadi utu wetu, tunasahau kuwa vya bure hakuna. Mtu hafikiri kuwa us ni taifa linaloongoza kukopa dunia kwa taarifa aliyokuwa anaisema trump ni kuwa kwa sasa us ana deni kubwa kuliko gdp yake na uwezekano wa kilipa ni ngumu mno, ila huyu [emoji631] anajifanya anatoa sana misaada huku afrika, na bahati mbaya afrika hatujiulizi us anapata faida gani kwa hizo hela anazoleta huku..kesho mnaanza kusikia madini yanatoshwa kwenda njee au mnapolazimika kusaini mikataba ya hovyo ila kuyapa makapuni yao faida zaidi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa western ni axis of evil, kwa wanayotufanyia hawa jamaa adolf hitler ni malaika ukilinganisha na hawa western

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umewalenga viongozi wa serikali aka mawaziri wanatupelekaga kusiko, Nyerere hakuoendankabida mambo haya. Na walau alijenga urafiki na nchi za kijamaa
 
Wadau kama kuna wataalam wa hii mambo nisaidieni jibu nje ya mada... Kuna Pro-NATO kanipiga swali hapa. Maswali kauliza mengi ila haya kwanza nisaidieni nipate pa kuanzia tu
1. Homo erectus ni nini?
2. Homo sapiens ni nini?
3. Tofauti kati ya 1 na 2 hapo juu ni nini?
4. "Species" ni nini?
5. Kuna tofauti gani kati ya "Species" na "Genus".
6. Katika binadam tuliopo leo, kuna jamii ya Homo erectus?
7. Katika 'binadam' wa leo tupo species ngapi?

Kwa anaye faham hayo anaweza kunisaidia haya majibu hapa au PM. Nitashukuru.

CC. Bwana Utam Mtoto wa nzi King faisal lee van cliff kisiju pwani Galip Vrl Champagnee Jesus Mlokozi MR MAJANGA Mr Tyang 1954 babu na mjukuu manning PD_Magumba Sos21 na wengineo
 
True Jomba, lipo over 20trillion dollar. Hizi hazilipiki basi tu ndio vile venye lenyewe Taifa kubwa hakuna wa kulikosoa.

Hio mambo ya kukopa then unakopesha inatia kigugumizi, si wao tu naona mataifa mengi duniani makubwa yanafanya hivyo. I think it has something to do with sovereignty!

Kukopa kunasaidia hapa na pale ila kuna hasara zake pia, Me naona wengi wana mtindo wa ku-credit mataifa mengine kuweka ukaribu nayo na wengine wanautumia huo mwanya ku'impose matakwa yao.

China mfano, the Biggest creditor in the world... Anakopesha mataifa mengine kufanya nayo biashara.

US nae among the Biggest creditors duniani anakopesha mataifa mengine huku akiyahimiza LGBTQA+ ipewe kipaumbele.

Ukiniuliza tofauti hiyo ndio nayoiona mie.
 
Nimecheki hivi vichinjio vya Urusi vinavyotema moto (heavy πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ thrower) huko Ukraine, nimeishia kuwahurumia wanajeshi wa Ukraine na kujiuliza hivi mRusi aliwaza nini hadi akatengeneza vichinjio vya kuogfya namna hii πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰

Nikakumbuka "ukitaka amani, jiandae vema kwa vita".

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…