HahahaHawa watu wanaosemaga vita za siku hizi hazihitaji watu watu mbona siwaoni hapa?
View attachment 2135653
Ndio mm siwapendi NATO hata kidogoHivi huwa unakemea na palestina inapopigwa na Israel kweli?
Duu[emoji15][emoji15]
Mlipuko ni mkubwa sana
yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.
ngoja nikujibu kwasababu nipo katika Mode ya kujibu upuuzi.
ujaona vifaru vya Urusi vikikokotwa kwasababu havina mafuta?.
unajua umbali wa Urus na Ukrein ni sawa na Mbagala na Manzese?.
unajua hata wiki hajaisha Urusi iko vitani ila tumeona madhaifu mengi ambayo hatujawai ona kwa mpinzani wake mkubwa?.
Sote tunajua marekani ni dhaifu ila hatujawai ona udhaifu wa kutisha kama anaoonyesha Urusi.
unajua kutoka pentagon had Iraq ni maili ngapi?.
unajua ni miaka mingapi US amekuwa aki oprate mission zake Dunia kote? ngoja nifupishe, nipo darasa la kwanza 1999 ninasikia habari kuhusu marekani today is over 2 decades.. sijasikia US akiishiwa mafuta akiwa ndani ya operation/vita ya namna yoyote ile.
uenda Mrusi ni mzuri zaidi kwa mission ndogo ndogo na fupi kama vile kwenda kuwapiga ISIS kule Syria Etc ila si mzuri katika total war kama tunavyoona.
umejiuliza ni kwanini tunaposema vita ni:,
JESHI
UCHUMI/PESA.
PROPAGANDA.
WASHIRIKA etc?.
unajua kati ya hivyo vyote Urusi ana viwili tu JESHI na PROPAGANDA ila vingine vyote n 0 kabisa.
washilika wake nao ni choka mbaya.
ukiondoa kitisho cha nyukilia Japan leo anaweza ingia Urusi na kunyakua baadhi ya eneo kama alivyowaifanya uko nyuma na Urusi asiwe na cha kufanya.
Alikuwa Rais wa URUSI kipindi cha LIBYA inavamiwa na USA + NATO, kipindi hiko Putin alikuwa WAZIRI MKUU WAKE.Bora putin yupo mwamba ambae ni kiongozi wa russia security Council huyo ndio chizi mara Mia anaitwa Medvedev ka sijakosea
Yaani wewe unamuita Putin zero brain?? [emoji3][emoji3]watanzania wajuaji Sana hata Kwa kile asichokijua
roho inapata utulivu kwa vitu uhakika kama hivi
mbona Mirikani na Israel hawalipi gharama uko wanapovamia, Palestine,afghNstan,Bagdad,iraq,na nchi nyinginee Uyo urusi halipi ata senti tano tena katoa ofa watu waondoke mirikani ye alikuwa anaua na watuu shuut your ffk faki holeUrusi watalipa gharama zote za uharibifu na fidia kubwa sana hapo baadae.
jf watuekee voice notee .... [emoji1787][emoji1787]Vipi uko ngapi ngapi?
wachambuzi huru mko vizuri kwa utabiriIishe hii vita iaze ya north Korea na marekan
Yametokea mauaji mengi sana, lakini bwana Dunia ameamua kulia na Ukraine akiwakalia kimya wengine.Mchoraji sijui anamaanisha nini?View attachment 2135668
ushakimbilia Gugo ilikuback up hoja zako wakati mimi hata sikumbuki mara ya mwisho kivist gugo🤣🤣.Russia na ukraine zimepakana ila umbali wa kutoka russia mpaka miji mikuu ya ukraine unajua distance yake? Au unabwajaja tu hapa? Russia ni anamiliki visima vya mafuta anakosaje mafuta. Mzee unavobishana na mm uwe nondo na uwe na source inayoeleweka me nakupa na evidence angali distance hapoView attachment 2135659