Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Utakuwa umeshindwa kuelewa tu US ya mwaka 1667 ilikuwa sehemu ya UK ambayo ilikuwa na jeshi lenye nguvu zaidi la maji kipindi hicho

Pia utakuwa umewaacha kwa makusudi au uwafahamu Wareno na Historia ya mtu kama Ferdinand Magellan aliyezunguka dunia kwa meli miaka ya 1500, Vasco Da Gama,
Waingereza kama Francis Drake.

Wakati Medvedev anajisifia Urusi kutengeneza Meli karne ya 17 wenzake Wareno, Waingereza na Wahispania walikuwa wanaizunguka dunia kwa bahari tangu karne ya 15.
 
Ni upuuzi Warusi au Pro Russia kulalamika kunyimwa nafasi kwenye chombo cha biashara cha mtu binafsi wa US au Ulaya. Kinachotakiwa ni Warusi na Wachina watengeneze Facebook yao.
 
Unajua,unaposambaza taarifa iulize maswali!Do not just do it.
1.Una hakika gani kwamba ile iliyo kuwa hit by a missile ilikuwa Shopping Mall? Inawezekana iliyokuwa hit ni ammunition Depot kweli,ila Shopping Mall kwa kuwa ilikuwa karibu ika shika moto,hiyo ni bahati mbaya.Kwenye vita that happens,infact the Americans should not complain,they are even worse.
2.Utasema sijui wameonyesha racks na machupa.How do you know that photo is authentic,je kama ni picha ya some other place?
3.The Ukraine Army sasa wanaficha silaha everywhere,so the shopping mall could have hidden weapons,and the Russians knew it.So in that case they are justified to hit the shopping mall.

Mkuu hivi mpaka leo huelewi western governments,they are outright liers,and their journalists are trained to cheat!Evidence of this is available.

Hebu mcheki huyu 👇 Officer wa CIA aki-expose ukweli.

 
❗️18+ Большое количество украинских «захистников» в лесопосадке вокруг котла Горское-Золотое не пережило встречу с российскими десантниками. Шевроны дивизии СС «Галичина» в наличии.

Воин ВСУ, у тебя есть альтернатива. Надо просто сложить оружие и прекратить бессмысленное сопротивление.
 
Waukrein waubungo katoni msaada mstari wa mbele acjheni kelele wenzenu wanakwisha huku
 

Attachments

  • IMG_20220629_190029_647.jpg
    188.6 KB · Views: 21
  • IMG_20220629_190013_580.jpg
    271 KB · Views: 23
  • IMG_20220629_190001_977.jpg
    253.4 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…