Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Saud arabia inaongozwa kifalme na rafiki mkubwa wa marekani, ila iran nchi inayochagua viongozi wake kidemorasia ni adui mkubwa wa marekani...na hatujawahi kusikia england imechagua malikia mwingine au ubelgiji n.k

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Wanavyo ng'ang'ania utazani Wamerusha hata baluti tu pale Snake Island mpaka Russia kuondoka.

Russia kaondoka kwa malengo mapana Sana. Subiri muone...
 

Heko mkuu kumwabia huyo POPO ukweli,kuongezeka tu, Patrice Lumumba aliomba msaada wakati Katanga ilipotaka kuasi,kila mtu akakataa,ikiwemo wahuni wanaojiita UN,aliopoioma Urusi Hali ikatulia mpaka sasa, na Lumumba angekuwa hai,DRC kwa kushirikiana na Urusi tusingewaona akina Kagame walileta ujinga.
 
Kwan kuna sehemu ilikuwa na hali mbaya ila baada ya kuingia marekani ikawa na hali nzuri??...ukiikuta niambie

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mifano iko, pande zote mbili (mabaya na mema)
Mifano mizuri: Ujerumani, Italia, Ufaransa, Denmark 1945; Korea Kusini 1950, Lebanoni 1958, Kuwait 1991.
Mifano mibaya ni mengi zaidi, nadhani utaijua.
 
Au sio, lini na wapi ulikosa cha kuwasemea? Nendeni Russia bas mkamtoe Putin Raia wanalalamika. Ila Yoda hiiiii hapana.. Aki nilikuwa sijui kama una mahaba ya kijinga kiasi hiki.
 
Marshall plan, mradi wa USD billion 13 mwaka 1948 hadi 1952 uliziinua tena nchi za Ulaya zilizochakaa na vita vya pili vya dunia pamoja na kuzuia sehemu kubwa ya Ulaya Magharibi isimezwe na Ukomunisti wa USSR.
Kwan kuna sehemu ilikuwa na hali mbaya ila baada ya kuingia marekani ikawa na hali nzuri??...ukiikuta niambie

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Bwana unachukua habari zako wapi? Wahuni wanaojiita UN?? Baraza la Usalama kama mwakilishiw a nchi za Dunia ilituma jeshi (ambalo lilifeli baadaye). Waliokubali katika Baraza la Usalama walikuwa pamoja na Urusi! (wasiokubali, bila kupinga, walikuwa China (=Taiwan), Ufaransa na Uingereza.
Ona United Nations Security Council Resolution 143 - Wikipedia
 

Acha uwongo, marekani ndio huanza kuleta vurugu kwenye nchi husika kwa kuwek vikwazo,au kutumia vibaraka wenye akili kama zako
 
Hivi mzee wa misaada sikabisa unafahamu sera za USA kupitia kichaka cha democracy?

This is quite a game, politics. There are no permanent enemies, and no permanent friends, only permanent interests.

Watazidi kutuchezea Sana sisi wa-Africa, tena kwa cheap approach.
 
Akili za kindezi,Ka kitu mnataka kutegemea nchi zingine,๐Ÿšฎ
Inanishangaza sana, hakuna sehemu sisi as Pro-Russia tuliposema tunataka kumtegemea Urusi, What we have said ni kua, Tunataka kujitegemea while Russia tukimchukua kama mfano wa kuigwa.

Sasa how comes hawa Chai kwa baba kulala kwa Shemeji wanasema Russia hawezi kutegemewa? Tumeomba maombi ya kumtegemea Russia? Jibu ni Hapana.

The weirdest of all, Maneno kama hayo yanatoka kwa jinsia ya kiume, kweli? Mbona we have Shangazi ngaboru kila siku anahubiri kujitegemea, She's a Woman ila anajua faida ya kujitegemea. Mtoto wa kiume kila siku unalilia na kupigia debe msaada? Unalilia utegemezi? Really? Ndipo tulipofikia huku jamani?

Asee These "black Yankee" with Single Digit IQ wanasumbua sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, wamekuwa mithili ya taka taka ambazo unapata wasi kuziweka hata kwenye 'bin' lisije likaoza. So the only remaining Option is to "burry" them.

Ushauri wangu kwa Pro west, Ishambulieni Russia kwa kuipiga Ukraine, but nje ya hapo MNAJIVUA NGUO mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ