LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hata Taleban ilikuwa dhaifu kushinda Marekani mara elfu ila haikumzia kupigwa na kudhalilika afganistan.
urusi amedesign system ya kuziharibu na kuzizamisha aircraft carrier kiasi cha kufanya kwenye modern kombat kuwa obsolete naizungumzia S500, S400 na S550 kwa uchache
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
 
Mimi mpumbavuuuu.Saddam alinyongwa tukashangilia kwa upumbavu wetu mapenzi huleta ukichaa.
 
North korea imeweza, Iran imeweza, Cuba for more than 60yrs imeweza ije kuwa russia?
Aliyemuomba Urusi ayatoe makombora aliyoweka Cuba ni nan?
 
US wamebaki kuripoti tu CNN na NY Times, labda na UN. Wao ndio wamesababisha haya yote. Halafu, nahisi wanaweza kufanya hujuma za kuwaangamiza raia ili ionekane Russia mchinjaji.

#USHandsOffUkraine!
Kwa hiyo hayo mabomu ya Urusi yanayorushwa Ukraine yanapolomoa majumba tu ila hayauia watu, watu wanaolipotiwa kufa wanauliwa na majausi wa US?. MAHABA UZAA UKICHAA.
UKIPITIA KOMENTI HUMU UNAJUA FIKA WALAGHU PRO US WANA HOJA ILA PRO RUSSIA NI PUMBA NA MIHEMKO TUPU
 
Sawa sawa mmarekani kutoka chato.
 
[emoji1787][emoji1787]haya russia kapiga tayar hivyo vikosi vyako vipo wap
 
Kwa hiyo hizo aircraft zitafanya Nini?!?! Hizo aircraft zinatumika kupiga nchi Kama Libya, Tanzania, Venezuela na kadhalika...hizo aircraft ni sitting ducks kwa nchi Kama Russia na China..
We jamaa zina beba bombers ambazo hata satellites za urusi haziwezi detect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…