LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
me naona ukraine angekubali tu kuongea na russia kisha asiwe na upande hili zelenski kujiona hero akitegemea nato ambao wanawasha moto badala ya kumsaidia anaharibu nchi na kuumiza wanachi wake ! jamaa japo tunaambiwa wanachemka ila ndani ya mwezi wanatoboa
 
acha kupiga domo punguza mdomo kijana hamna watoto humu,acha urusi wafanye yao.
 
Boris Johnson wa Uingereza asema hakuna nchi yoyote ya NATO inayofikiria kuseti No-fly zone (kuzuia ndege kuruka) ktk anga la Ukraine. Kwani kufanya hivyo kutapelekea vita kati ya Russia na NATO. Hayo kajibiwa Zelensky baada ya kuomba msaada huo kwa NATO ili kuzuia mashambulizi ya anga yafanywayo na jeshi la Russia

 
Huyu lazima atoke na kichwa cha mtu kwa sababu kuna mtu analengwa hapa au atalipua na watu wengi watakufa
Askari wa Russia walitegemea kupokewa na WaUkraeni vijiji vya mipakani matokeo yake imekuwa kinyume.
Pamoja na kushambulia miji kwa makombora Lakini Russia pia wamepoteza askari wao wengi .Sasa wameamua kubadili mbinu,kuvaa nguo za kiraia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…