Mkuu, kula tano kwa ubunifu. ✋View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
asantee mkuu,jina lako litafuata certificate inayokuja.👏👏Mkuu, kula tano kwa ubunifu. ✋
Ahsante sana fellow Pro-Russia Mfilisiti [emoji120][emoji120] kwa kututambua Kama alivyofanya Putin kwa kikosi kilicho kamilisha kuikamata Donbas.View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
👍👍👍👍👍Ahsante sana fellow Pro-Russia Mfilisiti [emoji120][emoji120] kwa kututambua Kama alivyofanya Putin kwa kikosi kilicho kamilisha kuikamata Donbas.
Niwaombe sana tuendelee kuwa vumilia Pro-NATO na kuwa elimisha.
Tuendelee kuwa competence based educator kwa info zetuView attachment 2281032
Look at these lunatics👉"Germany reported its first monthly trade deficit in over 30 years after exports "unexpectedly fell in May." "Unexpectdly," wakati it is expected because of their stupid actions.Very surprising.GOOD NEWS 😂
Germany reported its first monthly trade deficit in over 30 years after exports "unexpectedly" fell in May. The deficit was €1bn, the first since 1991.
Mkuu, mimi appreciation ya kawaida yatosha sana.asantee mkuu,jina lako litafuata certificate inayokuja.👏👏
View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
Shida hamtaelewekaHiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...
Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve
Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.
Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)
Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consumption)
Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)
Vs
Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)
Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consumption)
Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)
Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.
1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.
That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.
2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl
Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.
Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.
Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?
Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?
Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?
Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
Waache wafe tuuu[emoji35][emoji34][emoji35]Ongeeni yote lakini msisahau kuwa Russia ndio nchi yenye hifadhi kubwa ya maji Safi ulimwenguni.. Kuna siku nchi za Ulaya zitaanza kujenga mabomba ya kusafirisha maji kutoka Urusi.. Is the matter of time.. Wao akiba yao ndogo ya vyanzo vya maji Safi imeshakuwa polluted and contaminated kwa sababu ya shughuli za uzalishaji na viwanda.. Pia dense population katika eneo dogo hivyo rasilimali hiyo kuwa adimu..
Angalia idadi ya nchi za Ulaya zipo ngapi pamoja na idadi yako watu compared to eneo dogo mno la Bara la Ulaya kijiografia.
Walikuwa campaigners wakuu wa kupunguza uchafuzi wa Hali ya hewa Dunia na wakaweka masharti na standard ngumu sana kwenye jumuiya ya Ulaya juu ya uharibufu na uchafuzi wa Hali ya hewa na ku hakikisha wanatumia fossil fuel na green energy... Lakini looo kwa sababu ya AKILI ZA KUAMBIWA.... Leo wanarudi kwenye hewa ukaa. Carbon. (Makaa ya Mawe).. Uchafuzi ulioje?
HIZI SIO AKILI ZA KAWAIDA ZA BINADAMU.. NA WALA KWA NAMNA YEYOTE HAIWEZI KUWA WANAFANYA KWA UTASHI WAO WA KIBINADAMU..
BALI NI LAZIMA KUNA UNKNOWN VERY POWERFUL FORCE BEHIND THEM.. SIO USA BALI THE POWER BEHIND USA.. (wenye kuelewa wameelewa).
JE ni Nani wa kuwaokoa Hao western from that secret power...????
The World need to be free from that power but it need high na big sacrifice to almost every one in this world, directly or in direct.
Yaani wewe MRUSI wa kwampalange ujue hayo halafu CIA wasijue[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wanafanya Idadi ya wanaume ipungue duniani. Tunapokosa analyzing power inafanya kila kitu kiwe kigumu, tunatafuta mchawi kumbe wachawi ni sisi wenyewe.
Kuelimisha watu Raha sana Mr Tyang, kwani kupitia kuelimisha unapata kuelimika pia. Ila hakuna kitu kigumu na kinaboa sana kukifanya kama kumuelimisha asiyetaka kuelimika.
Kuna post kwenye Uzi wa mjomba mmoja hapa JF, sikumbuki ni nani jana nimeusoma... Maelezo yake yamelenga sehem nyingine ila kuna maudhui yanafanana na namna walivyo hawa Pro-west.
Ndani ya maelezo yake kuna sehem anasema kua "Ingekuaje leo Kuku, tunaowafuga wakija jua kua lengo haswa la kufugwa kwao ni kuliwa na kufanyiwa biashara, wataendelea kukaa bandani?Jibu ni hapana, lakini namna tunavyowasafishia mabanda yao, kuwapatia chakula, na kuwatibu wakiugua lau kama wangekuwa wanazungumza Kuku mmoja wapo akawaambia kua huyu binadam hafanyi hivi bure. Anatulisha ili baadae atuchinje wangemuelewa?"
Hayo aliyasema alikuwa anaizungumzia mifugo kama mifugo ila mimi niliisoma huku nawawaza hawa vibarawasho wetu, Ukoo wa LGBTQA+ tawi la Mwembe yanga.
Wana mfano huo, Hakuna mfugaji anakubali mfugo wake ujue dhumuni lake. Na kila wakiambiwa evil intentions za hawa huzikataa kwa kuziita "Conspiracies". Mkuu Wenzetu wanahadaika sana tena sana ila lengo la "free-lunch" wanaziba macho kuliona.
Tanzania kuna Fursa nyingi sana ambazo kuzipata zinahitaji change of Mindset, kutoka "Broilers" oriented kua "hard" oriented.
Tuache mazingira ya kuishi kama wa kuku wa kisasa, mda wote tupo bandani tunasubiri bwana mifugo alete tupate ku-survive, kwamba akipata dharula na sie tumekwisha. tuishi kiasili, tuishi kwa kujitegemea msaada uwe third Option.
Kwamba uwepo Usiwepo hauna athari kubwa sana na sie.
Sasa vitu cheap kiasi hicho tu kujua kua Uzalishaji na Uhitaji ni vitu viwili tofauti, kujikomboa kwenye mikono yao tutaweza kweli au ndo tutaendelea kutumika kama Toilet Paper na kuwa dumped kila baada ya matumizi?
Kama baba wa familia, mwanao ni fundi tena mjenzi mzuri tu. Unamkataza asijenge unamuita jirani akujengee kwa sharti la kumla mkeo unakubali ilhali option za kuepuka hiyo fedheha ipo. Hapo kichwani kutakuwa na uzima kweli?
Safari ya matumaini bado ndefu mno, hiki kizazi tuliopo sisi kipo kwenye ule msemo wa samaki mkunje angali mbichi, Hiki chetu kishakauka.
Option nyepesi tulio nayo mezani ni kuwageukia wadogo zetu na watoto zetu. Kuwawahi kabla hawajalemaa mfano wa hawa tulio nao hivi sasa. There only we can be assured to change for the better.
Wenzetu wana haiba kama ya upande waliopo, they think wanajua each of everything... Wanaenda beyond na kuhisi wao hawakosei. Mfano, karibu haya yote yanayowatokea West hivi sasa, Miongoni mwetu tuliyasema siku za awali kabisa enzi zile wanashinda kuweka vikwazo Russia.
We tried harder kusema "hiki" si sawa, au "njia" ile itasababisha hivi na vile ila tulipewa reply za dhihaka nyingi tu hapa like "We kijana wa Unyanyembe unajua hilo mzungu hajui?", Maraa ooh "Kwa hiyo wewe unajua kuliko west" ha ha ha tena Most katika hao hivi sasa washakimbia huu uzi kitambo.
Any way mdo mdo tu tutafika!
😂😂😂Hawa jamaa leo sijawaelewa mbinu zao kabisa.
Wanaipiga kharkiv na Kuna eneo wameshawaweka kwenye triangle Waukraine
Wanapiga kuelekea Bakhmut na vijiji vya Hryhorivka na Serebrianka vimeshakombolewa
Wanapiga pia kwenye eneo la Donetsk na vijiji vya Vuhledar, Novomykhailivka na Pobjeda vimeshakombolewa.
Tumetoka mbali sana na hawa viumbe dah 😂Yaani wewe MRUSI wa kwampalange ujue hayo halafu CIA wasijue[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee umeupiga mwingi MKUU[emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.