Kwanza hao huwa ni majasusi...wa urusi moja wapo ya kanuni ya majasusi ni kulikana taifa lako ,kuukana uzalendo wa taifa lako ,kuikana dini yako nk hizo ni mojawapo ya njia za majasusi kujipenyeza ..wapo majasusi wamepenyezwa kwenye makundi ya kidini kwa kuzikana dini zao za zamani ...hivyo huyo MK254 bado ni mtoto mdogo kujua haya mambo"Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin
Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...www.jamiiforums.com
Huo [emoji115]ndo uwezo wako ndugu. Basi twende hivyohivyo.
Wengi humu hawaelewei lugha ya "mabeberu", anawatesa wenzake.
Uchawi wa uchumi mkubwa wa marekani upo katika kitu kimoja tu ...nacho ni dola kuwa ndiyo pesa ya dunia basi ...hivyo hicho kitu kinaanza kupigwa vita polepole ..kama nchi za asia zikiunda pesa yao na kulazimisha manunuzi kwa hiyo pesa basi uchumi wa usa [emoji631] utapolomoka kwa kasi ya kimondo.
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.Akosee njia aguse kataifa kamoja huko NATO kunayo hata kajirani kake hapo Latvia, au asubiri Finland aingie NATO, amekua akimchokoza sana huyo Finland, sasa aingie NATO kisha athubutu kuendelea na huo uchokozi.
NATO kuna mibabe ambayo moja tu imetosha kumkalisha Urusi, ukizingatia ameshindwa na kainchi kadogo Ukraine.
Haya leta chapisho lako tuone sasa.Mbona hizo ni pumba tupu
Kama walichikua 7 months kupigana na nchi ya teknolojia ya Zamani,jeshi dhaifu, uchumi duni. Nchi iliyokuwa na waasi WA ndani,je vp kuhusu Urusi? Si watanyooshwa Tu.Eleweni NATO inapoenda vitani sio kwamba majeshi yote yanaenda huko. Operation ya Libya muda wote wa miezi 7 ilitumia jumla ya wanajeshi 8,000 tu na hakukuwa na "boots on the ground" za NATO Libya. NATO walikuwa wanashambulia kwa ndege na manowari tu ndege zozote za Gaddafi zilizokuwa zinarukua kushambulia waandamanaji au mitambo ambayo ingetumika kurusha makombora kwao. Mambo mengine yote ya ardhini yalifanywa na Walibya wenyewe, hakukuwa hata na mwanajeshi mmoja wa NATO katika ardhi ya Libya wakati Gaddafi anaondolewa.
Putini ameivamia Ukraine na Wanajeshi zaidi ya 100,000 na ametumia zana zote za kijeshi kasoro labda za Nyuklia. Bado huoni tofauti??
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.
Hapo akiona kipya alichozua hakija kaa sawa tena basi atazua kingine, again and again 😌. Mchezo ule ule ha ha reply moja tu inamtosha.Hawana hoja 😃😃😃 point ni zilezile wananazinenepesha nimemuuliza kuhusu mguso wa Russia kwa US na UK kapita kama haoni.
Hakuna kitu apo ni bla blaaa tuu.
Baada ya Hitler kuwageukia nn kilitokea kwa Ujerumani?USSR ilijiunga upande wa Uingereza na Ufaransa katika vita vya pili vya dunia baada ya kukorofishana na MaNazi wa Ujerumani ya Hitler na makubaliano kati yao, (Molotov-Ribbentrop Pact) ya August 24, 1939 kuvunjika.
USSR ya Stalin walishirikiana na Mnazi Hitler kuivamia Poland mwaka 1939, baadaye Hitler akawageukia USSR tena.
Baada ya Hitler kuwageukia nn kilitokea kwa Ujerumani?
Kama walichikua 7 months kupigana na nchi ya teknolojia ya Zamani,jeshi dhaifu, uchumi duni. Nchi iliyokuwa na waasi WA ndani,je vp kuhusu Urusi? Si watanyooshwa Tu.
Those companies hawawezi kutumia RubleKama pesa yake ya dollar inakukera sana, hesabu kiasi cha Coca-Cola, Pepsi, iPhones, Whiskey, Converse, computer, magari, silaha, ndege n.k vinavyouzwa kutoka kwake kuja kwako. Hesabu idadi ya watalii kutoka kwake halafu vibadilishe katika Tshs au Ruble.
Vietnam ilikua nchi ya mbali sana, Ukraine na Urusi ni hapo jirani tena huto tumiji ameambulia ni ile tu kwamba wakazi wa huko asilimia kubwa wanaongea Kirusi hivyo wana undugu.