unajua wakati mtoto akidondoka chini au kujiumiza kidogo utasikia msimuangalie atalia, sasa huyu tuna muangalia hatupindishi macho na tunayatoa kweli kweli huku sura tukizikunja, we unajua kinachofata...Nmemkuta Pro-nato kwenye Uzi wa EWURA, Naye anayalilia mafuta ya urusi[emoji23][emoji116]View attachment 2282314View attachment 2282326
HIV UNAJUA KARIBIA MUDA WOTE ZILE NCHI ZINA BARIDI KWA HIYO UKRAIN WATAPIGWA KWASABU YA BARIDISubiri mpaka wakati wa baridi ndio mtakiri muda ni mfupi au mrefu
Andika kwa herufi ndogo. Jifunze kuanalyse mambo na nyakati. Soma taratibu ujifunze usiyojua uelimike.HIV UNAJUA KARIBIA MUDA WOTE ZILE NCHI ZINA BARIDI KWA HIYO UKRAIN WATAPIGWA KWASABU YA BARIDI
kufa kufaana ,unamkashfu mwenzio ?kilaza huyu jamaa.
Huko kote hapakuwa na ulaji na sisi hatukai sehemu isiyo na ulaji ndo maana tuliondoka.Afganistan, vietnam, somalia kule mlitoka mavi kabisaa
Berlin pasikie tu! Kuna Kuna wanaume kabisaa wenye roho za kikatili za kijeremani... Wana akili,Wana ukatili, Wana fitna, Wana pesa.Jamaa wamesema bila Putin kusema STOP [emoji1630] Wanakwenda mpaka berlin
We utakuwa Member wa FB, we mtu ana siraha ambazo wengine bado wanaangaika kuzifanyia majaribio unaweza kupigana nae. Kile ambacho ukifahamu Russia anatamani hata kesho hao NATO wasogeze pua wao kama wao sio hao mamluki wao anao waua Kila siku.Akipigana na nchi tatu tu Germany, USA, UK, anafutika kwenye ulimwengu huu. Ukraine inamtoa kamasi ikiwa inapewa tu misaada tudogo kwa masharti magumu lakini anatoka kamasi.
Hapa akiangukia mikononi mwa Israel ndio kwisha habari yake.
Russia ni kubwa jinga tu!
waachie wenye uzi we endelea kucheka tu .HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
Hahahahahahah Sarmat 2 ni mziki mnene lazma.waingize baridi πππRaia wa Canada waibananisha serikali yao kuhusu kujiingiza kwenye vita vya Ukraine. Wampiga maswali tata naibu waziri mkuu wao kuhusu Canada kujitia kuingia vitani na Urusi pasi na ridhaa ya waCanada, waonya kuwa serikali yao inahatarisha Canada kufutwa kwenye uso wa dunia na Urusi kwa kupigwa bomu hatari la nyuklia la Sarmat-2
View attachment 2282214View attachment 2282212View attachment 2282213
Kipigo kitakuwa cha kwendaa πππ dj mlete NATO kwa mwendo wa singeliRUSSIA, CHINA, IRAN, VENEZUELA WAR GAMES MID AUGUST - Target: USA
Normally, this story would be COVERT INTEL for subscribers only, but this is too important: In Mid-August, Russia, China, Iran, and ten other nations will join Venezuela in "War Games" off the US from Latin America . . . and the Caribbean.
This is just a little too coincidental given the depletion of our Ammunition and Weapons supplies sent to Ukraine, and the draining of our Strategic Petroleum Reserve which now has only 27 days of oil left in it.
Its the perfect setup for an Invader to attack us, here, in the USA.
It's almost as though the U.S. is being intentionally weakened by our own government, to make us ripe to be invaded and taken over.
The information about this enormous "war game" fits just a little too neatly into a pattern of events that seem all designed to lead the USA to a fall.
I do not yet have the exact date for this war game BUT . . .
The nations involved will "pre-position forward-deployed military assets in Latin America and in the Caribbean." So they are already moving troops into place.
Maybe I'm paranoid, but maybe I can see the writing on the wall as plain as day.
Have ammunition and be mentally prepared to engage any invading enemy.
Wahuni wa Chechnya wana moto sana, πππ huwa msemaji wao ananifurahishaga sanaπ€£π€£π€£ aise! Naomba mcheze hiyo clip ya speaker wa Chechnya,wanasema Putin asipowasimamisha wataenda mpaka BERLIN Ujerumani π€£π€£π·πΊπ·πΊπ
Huenda mazoezi ya kivita yakafanyika NicaraguaKipigo kitakuwa cha kwendaa πππ dj mlete NATO kwa mwendo wa singeli
Tuliwaambia wamepewa kisiwa kwenye mfuko wa barafu! Yajayo yanafurahisha!πSnake ishatandikwa na V
Akili inaanza kuwaingia,watailewa Urusi na Dunia tu.Mshauri wa Rais wamarekani wa masualaya utawala Col Macgregor Trump amekili wazi kuwa Ukrein imeshashindwa vita kwani 80% ya jeshi lake limeshaangamizwa na kwa Sasa wanatumia askari wasio na mafunzo wala uzoefu , Ila Marekani inafanywa Kila Namna Ili vita iendelee. Hebu msikilize mwenyewe.
View attachment 2282423