President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwa kweli hapo ndipo ndipo nilipimisi yule babu angepiga simu live akiongea na Putin na kuahidiwa mafuta sasa kwasasa tunahangaikia pesa za ujenzi wa vyoo kila shule.Hivi Tanzania tuna ujinga wa kuendelea kuteseka ili kumfurahisha Marekani? Magufuli angekuweko kwenye nyakati hizi nafikiri Meli ya wese toka urusi ingekuwa njiani[emoji3][emoji3][emoji3]
Mama mgese sana huyu wese bei poa urussi tunge ongea na mr putin tupate weseView attachment 2282664
BBG: increased purchases of Russian oil from India and China
Russia's profit from energy exports to China and India has doubled
Reuters: Russia remains the largest oil supplier to China for the second month in a row
Ndo hiyo phase III?!!Warusi waanzisha kipigo kikali kabisa na Cha kikatili, wayukrein wakiri
[emoji778]️ Ukraine announced the massive attack of the Russian army on Donetsk
[emoji617]Ukrainian officials have announced a massive Russian attack on Donetsk province and described the artillery fire in this area as very heavy.
[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Forex
Na dogo janja KidukuNATO wakitia timu unafikiri China na Iran watawaacha hao NATO wammalize Mrusi?😀
Medvedve kitu ingine-hana mchezo-angekuwa ndiye Rais saa hizi Kiev ingekuwa majivu na Zelensky kukimbilia kujificha Miami Florida kwenye Mansion yake. Siku hiyo inakuja muda si mrefu.HATARI SANA, Russia fears nothing from West, he's ready for WW3, and ready to use nuclear weapons
Hahaaaaaa.....they are very dumb to say this publicly.The head of the Bundestag committee on energy, Klaus Ernst, called for negotiations to launch Nord Stream 2 to ensure gas supplies to Germany.
"If necessary, put the SP-2 into operation for a limited period of time, if the gas supply cannot be guaranteed otherwise," he said in an interview with the Rheinische Post.
He also called for the revision of energy sanctions against Russia, as they do not bring the expected effect.
"These measures, on the contrary, are beneficial to Russia. They mean that although less is being sold, the revenue from these sales is generally higher," Ernst said.
Tusome vizuri aya ya mwisho au sijaelewa.Mambo yanaendelea huko
View attachment 2282656
[emoji298]️Five UK ministers send joint letter resigning from Johnson's government
NATO wakitia timu unafikiri China na Iran watawaacha hao NATO wammalize Mrusi?[emoji3]
Pussy Soldier hawa jamaa waache utanimwanajeshi wa canada akijiandaa kuzuia iskanderView attachment 2282691
Huyu jamaa sijui huwa anaishi Dunia gani katika uchambuzi wake wa masuala ya current Geopolitics - unikumbusha sana enzi za vita ya Ghuba wakati waziri wa habari wa Serikali ya Sadam Hussein Bwana Ali alivyo kuwa anabishi alipo fahamishwa kwamba wanajeshi wa Merikani tayari wamekwisha ingia mji wa Baghdad, Ali hakuamini sijui kwa kutojua au alikuwa anafanya maksudi anabishi tu anasema hamna lolote jeshi la Amerika halina ubavu wa kuingia/teka mji wa Baghadad kwanza watapita wapi kukwepa kikosi maalumu cha Hamullabi?NATO wakitia timu unafikiri China na Iran watawaacha hao NATO wammalize Mrusi?😀
Mambo yanaendelea huko
View attachment 2282656
[emoji298]️Five UK ministers send joint letter resigning from Johnson's government
Kiduku anakuja kufukia makaburi kabisa😂😂😂Na dogo janja Kiduku
China mjanja sana kama humjui, hapendi mavurugu ya kumtia hasara, hana ujinga kama huo wa Urusi wa kujipeleka kichinjioni kichwa kichwa.
Kwanza Mchina kwa sasa hivi anafurahia sana kuona udhaifu wa Urusi umedhihirika, hivyo amebaki mwenyewe kama mbabe wa kutunishiana misuli na Marekani.
Sijajua kwanini umemtaja Iran, huyo hana lolote, siku zote amewekwa busy na kataifa kadogo ka Israel