Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh kwa Pumba unazoandika humu ndo unawatisha watu eti Quora we mkali!
LabdA Kama unaandikaga urojo mwingine went nafuu.. lakini Kama ndo hivi naomba nikwambie TU Kwamba we'we no mbumbumbu
Huyo MK254 ..huko Quora atasababisha waafrica wote tuzidi kuonekana mambumbumbu ...Aibu naona mimi kwa yeye kuwa kule[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Style ya Russia pasua kichwa, kuna vituko wacha tuziite as if ni sanctions za kimya kimya zinatembea uko. Addresses za eneo zilipo US na UK embassies zimebadilishwa to DPR and LPR square respectively.

US akajifanya kutumia address za coordinate instead of jina la eneo kukwepa jina la "DPR Square" kwenye adress ya balozi yao huko Moscow.

UK nae agomea kuitambua adress mpya ya LPR Square, matokeo yake barua zote zinazotumwa kwa address ya zamani hazifikiiii 😂😂😂 zinarudishwa ziliko toka.

So wachague kunyoa au kusuka he he he he!

Dah akiii 2022 itakumbukwa daima.
 
Warusi wana akili nyingi sana za ku deal na fedhuli US na UK😂😂😂
 
Mwezi ujao ni bwana Biden anamuachia Trump ofisi yake kihalali😂😂😂
 
Kwenye hii thread ndio nimejua Tz ina vichwa. Sijapata kuona hata wakati wa Libya hatukuwa na hizi level za analysis.
 
Ningekua na namba ya Putin ningempigia simu kumshukuru kwa kugawa dozi kwa NATO, walifanya dunia yao. Walisema Putin atapinduliwa matokeo yamegeuka kwao. NATO/WEST wametia aibu kwakweli.

Tuliwaambia Russia hajakurupuka na hii operation alijipanga vizuri mwisho wa siku Dunia imeona uchungu wa vikwazo kwa Russia na imeona umuhimu wa Russia kwenye uchumi wa dunia. Media za west hazijawai kutuambia kma EU inategemea kila kitu kutoka Russia hii operation ndo imetufumbua macho na walikua wanapewa energy kwa mkopo na bei chee.

Mwisho wa West utakua ni AIBU kubwa sana. Russia ushawishi wake unazidi kuimarika na nchi kibao ziko tayari kufanya biashara na Russia ni sisi Africa tupo tunabung’aa tunaogopa kununua wese la bei chee kutoka Russia. Muda ni mwalimu mzuri tuendelee kunywa supu nyama zipo chini.

GOD BLESS RUSSIA.
 
Afisa mstaafu wa Pentagon, Colonel Macgregor, aonya kuwa Ukraine itafutika kabisa kwenye ramani ya uso wa dunia kama jitihada za kusitisha mapigano na Urusi zisipofanyika kwa haraka (yaani kwa maneno mengine ni kuwa Urusi itakomboa ardhi yote ya Ukraine-hakuna wa kuweza kuizuia duniani-na kuiunganisha kuwa sehemu ya mipaka mipya ya Urusi)

 
Ndio deal la Zelensky anajua vyema sana toka mwanzo wa vita kuwa Hakuna atakeyetoka kumsaidia.
Poland kashituka kawa mpooole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…