Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu colonel,vita viilipoanza Tu,alitoa sababu ya vita na matokeo yake,na kweli mpaka sasa naona yametokea,moja wapo alisema Ukraine itapigwa na hakuna atayemsaidia,na hili,sina Shaka kabisa!


 
Duh kwa Pumba unazoandika humu ndo unawatisha watu eti Quora we mkali!
LabdA Kama unaandikaga urojo mwingine went nafuu.. lakini Kama ndo hivi naomba nikwambie TU Kwamba we'we no mbumbumbu

Kule kwanza wale ni Warusi kabisa tena hawana uzezeta wa kidini kama nyie ila tunapelekshana point kwa point.
 
Dini ya mwarabu ndo ipi? Waarabu Ni waislam, waarabu Ni wakristo, waarabu ni wapagani na hata kuna waarabu Ni wafuasi wa madhehebu ya kiyahudi.
Unaamaanishs Nini br

Nani asiyejua dini iliyoletwa na mwarabu, ambayo imesababisha uzombi wa waafrika kuiga ujinga wa kujilipua mabomu, na kuchinja wenzao kisa sio wa hiyo dini.
 

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…