Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe
Cha ajabu mi so mwarabu Ni mkatoliki Safi . Niliumizwa zaidi na alichofanyiwa colonel gadafi.
Nikaamua kuwa upande ambao Ni salama bila kujali cool Gadaf alikua mwarabu
 
Bloomberg: The budget bodies of the European Commission refuse to approve the allocation of a new 1.5 billion euro loan to Ukraine through the European Investment Bank due to fears that Kiev will not be able to return the money😂
Naona wameshakubali na kuyaamini maneno ya Medvedev kuwa Ukraine itafutika mbele ya uso wa dunia hivyo hakuna sababu ya kuwakopesha pesa zaidi maana hawatolipwa😁😁😁
Russia kweli ndo mwamba wa dunia tuliekuwa tunamsubir
 
Kwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.

Huna unachojua ndomana nikikwambia wewe sio mfuatiliaji unanibishia. Huu mgogoro unafuatiliwa dunia nzima Sio Tanzania tu. Inshort Russia ana support kubwa sana watu washachoka na ufedhuli wa WEST.
 
Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe

Achana na masuala ya Dini kwenye huu uzi kama umeishiwa hoja ni busara ukatulia
 
Bloomberg: The budget bodies of the European Commission refuse to approve the allocation of a new 1.5 billion euro loan to Ukraine through the European Investment Bank due to fears that Kiev will not be able to return the money[emoji23]

Itafika stage Ukraine ataachwa yatima naona taratibu wana mkataaa ni suala la muda tu.
 
Majibu mazuri kabisa kutoka kwa mtu makini.Safi sana mkuu
 
Kwani NATO kaanza?[emoji16]

Ye ampige Ukraine kwanza, ama apige zile nchi za NATO alizosema atapiga hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…