Kwani NATO kaanza?[emoji16]
Ye ampige Ukraine kwanza, ama apige zile nchi za NATO alizosema atapiga hata moja.
Nathani itafika muda Kuna mataifa eidha yatajitoa NATO au EU au kuondolewa.Itafika stage Ukraine ataachwa yatima naona taratibu wana mkataaa ni suala la muda tu.
Kama unategemea hilo litokee basi utazeeka ndugu.Nathani itafika muda Kuna mataifa eidha yatajitoa NATO au EU au kuondolewa.
Jibu ww, mbona mengine unayajibu?Obama alilijibu hilo swali alipokuja Tanzania.
Huko UK ni one family regimeNchi ya demokrasia?? Au ushapiga safari lager tayari. Kama ni nchi ya demokrasia kwanini inaongozwa na malkia karne na karne kwanini asichaguliwe malkia mwingine?? Unajua maana ya demokrasia wewe??
Hivi nyie Pro NATO akili zenu zipo sawa kweli? unapoteza muda wako kutetea kisa wewe ni Pro NATO hutaki kushindwa. Nchi inaongozwa na malkia miaka na miaka afu unasema hii nchi ina demokrasia ?? Kuweni serious jamani
Nyinyi ndio mlianza kushabikia kuanzia UN mpaka Nairobi,unajifanya umesahau wakati mliweka bendera ya Ukraine pale KICC? Onyesha wapi serikali yetu,au mwananchi watz wamehangaika na bendera za Urusi,au matamko ya kijinga kama yenu?Kwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.
Huyo popoma, anambwelambwela, hajielewi, we angalia post zake ndiyo utajua kichwa cha dagaa kamba mavi yako kichwani badala ya ubongo, wakumsamehe bure.Nyinyi ndio mlianza kushabikia kuanzia UN mpaka Nairobi,unajifanya umesahau wakati mliweka bendera ya Ukraine pale KICC? Onyesha wapi serikali yetu,au mwananchi watz wamehangaika na bendera za Urusi,au matamko ya kijinga kama yenu?
North Macedonian capital sees violent protests against the government's decision to accept the French proposal to start EU negotiations.Kama unategemea hilo litokee basi utazeeka ndugu.
Wanataka kuja kujenga base ili waje watuibie gas yetu vizuri alafu kuna mipumbavu wanawaona Wamarekani kama miungu watu..Tena hawa mbwa wanatutengenezea magaidi ili inchi iwe na vurugu kama Kongo, baada ya kugundua mikoa ya kusini ina gas
ivi yuko wapi yule msemaji wao kule UN kenya wanajionaga kama vile wapo EU vile jibu walilopewa na Russia nadhani liliatosha mpaka leo hii sijawasikia tena[emoji16][emoji16]Nyinyi ndio mlianza kushabikia kuanzia UN mpaka Nairobi,unajifanya umesahau wakati mliweka bendera ya Ukraine pale KICC? Onyesha wapi serikali yetu,au mwananchi watz wamehangaika na bendera za Urusi,au matamko ya kijinga kama yenu?
Abe katutokaHuyu Abe nani kampiga masasi?? Au ni Deep state??
Apumzike kwa amaniAbe katutoka
sasa huko unabishana na kina nani ? Kama ni Tanzania pekee hao unaobishana nao ni ukoo wenu auKwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.