Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akamatie hapo hapooo[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unaendela kufichuka


Shinzo Abe kawa Waziri Mkuu kwa muda mrefu kuliko wote waliopita pale Japan. Najiuliza kwahiyo alishindwa kufanya hayo kwa miaka yote aliyokuwepo akasubiri aumwe ajiuzuru ndio yatekelezwe wakati hana mamlaka tena. Na alikuwa popular kwenye utawala wake akiwa na upinzani mdogo na kukubalika
 
Wakatw katwe vipande vipikwe mishkaki[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawataki hizi ngojera...watu wanataka matokeo uwanjani....Ukraine
kaishashindwa..mengine ni kujifariji na kupoteza muda tu
Ni nani anyejifariji kati sisi wawili? Putin alitoa bilioni 61 - alipata nini dhidi ya adui aliyetoa bilioni 4? Matokeo uwanjani???
Mengine tusubiri tu.
 
It does not make any sense
Wengi huona: bilioni 61 za Putin ziliibiwa kwa asilimia kubwa.
Pamoja na mpangilio hovyo wa jeshi.
Hii ni hatari kama mtu mkubwa anahofiwa kupita kiasi - atakuwa na matatizo kupata habari za kweli, atapewa habari anazopenda.
 
Hata mimi nilikuwa naona hivyo hivyo NATO wanatafuta njia ya kumkana Zelensky na Ukraine...na njia pekee ni kujidai wana achiangazi kisha watakao kuja watakuja na msimamo mpya wa kumtupa Zelensky na Ukraine
 
Hawa Warusi wana mafunzo kweli au ndio wale wasio na uzoefu. Minefield kama hii vifaru vinne vyote vimepigwa sehemu moja ila wengine wanapitisha kifaru eneo lile lile
Your browser is not able to display this video.
 
Acha kujifariji
 
Habar njema mnoooo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Warusi wana mafunzo kweli au ndio wale wasio na uzoefu. Minefield kama hii vifaru vinne vyote vimepigwa sehemu moja ila wengine wanapitisha kifaru eneo lile lile
View attachment 2284809
Urusi ilipoteza idadi kubwa ya vifaru tayari. Hasa zile ambazo zinaua askari ndani yake wakati grenedi zinazotunzwa ndani yake zinalipuka (hapo picha za vifaru hivyo na kichwa cha bunduki pekee). Labda wana akiba bado ya vifaru lakini tatizo kubwa zaidi ni kuwa na askari wa kutosha waliofundishwa kuvitumia. Hii inahitaji muda - ukiweka vijana bila mafunzo ya kutosha katika mashine hizo, utapata matokeo kama kwenye video.

(tatizo hili ni sababu vifaru yva NATO vyote vina muundo tofauti - grenedi hazitunzwi katika sehemu pamoja na askari; hivyo uwezekano wa askari kutoka hai baada ya kifaru kimepigwa ni kubwa kuliko kwenye vifaru vya Kirusi. -- Warusi walitambua udhaifu wa vifaru hivyo (T64, T72, T80+T90) hapo walipobuni T-14 Armata - ambayo ni bora lkakini haipo, walishindwa kutengenza zaidi ya vifaru chini ya 20 vilivyoonyeshwa kwenye peredi...)
 
Naomba Ile thread ya Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za magharibi.
 

Himars (roketi kutoka marekani) ya Ukraine imepiga ghala ya risasi na grenedi ya Kirusi - faida ya silaha hizi kutoka Nato: zina uwezo wa kupiga palepale unapolenga (makini kwa mita 1 hivi). Warusi hawana silaha nyingi za aina hii, ni tatizo la tekinolojia ya kisasa kwao.
Grenedi za zamani Warusi wanazo kibao, lakini hawawezi kupiga nazo zaidi ya kilomita 12-20. Roketi janja ni chache sana (walianza tayari kutumia roketi za manowari kwenye nchi kavu).
Vilevile grenedi janja zinazolengwa kwa msaada wa GPS - hawana nyingi. Ila ile mizinga mpya kutoka Ufaransa, Ujerumani na Marekani zimekuja na grenedi janja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…