Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi wana carousel turret wakiwa na autoloader wakati NATO wanatumia loader na turret haina ammunition bali zimefichwa kwenye blast proof compartment ambayo ikizidiwa inajifungua upande wa nyuma mlipuko unatokea nyuma ya kifaru na ammo yote inalipukia kutokea nyuma. Hii inasaidia kupunguza chain explosion ya ammo na kufanya kifaru kiweze kurekebishwa ikiwekezekana
 
MAISHA YANAENDA HARAKA SANA.

1st Talk Between Israeli & Palestinian Leaders in 5 Years


For the first time in 5 years the Prime Minister of Israel had a conversation with the leader of Palestine as Yair Lapid discussed cooperation and stability with Mahmoud Abbas ahead of President Biden's upcoming visit.


Abbas also received the Israeli defense minister Benny Gantz in Ramallah in the West Bank for discussions on security, with Gantz insisting the talks were conducted on “positive terms”.
 
Kwa hiyo tukanunuae mafuta Urusi au tuache !!??
Kwa serikali ipi. Urusi wana tankers au hata kama hawana si tungekodisha, vita haiishi leo mafuta yataendelea kuwa bei juu muda mrefu. Tungeweza kununua kwao kama tuko willing na tuna uwezo wa kutafuta mbadala wa SWIFT.

Ujerumani na nchi kibao ziko NATO zinanunua gesi, sisi cha kufia nini. Kwani lini Ukraine iligoma kufanya biashara na nchi fulani kisa kuna nchi Afrika ina vita
 
Haya sasa MK254 kuja hapa


Kenya Sexploited / 2022
#Kenya


Coastal Kenya is a popular destination for sex tourists from around the world who come in search of love. European women, known as ‘sugar mamas’, approach local boys for sex. Older girlfriends provide them with money and presents.


Finding a white woman is often the fastest way to get out of poverty for many families. Some even encourage their children to skip school and look for tourists who can care for family needs. Some of the prostitute boys are as young as ten when they start providing sexual favours to tourists.


🌍 Join Documentary Planet for more!
 
He he he mtaji kiuno 😂, kumbee vijizee vya "kidhuuuuunguuuu" vinalea familia zao dah!
 
Uhuru wa vyombo vya habari ulivyo 😟

🇩🇪 🇷🇺 German independent journalist Alina Lipp reports from Donbass and is sued by German government for telling the truth!

Alina Lipp is the only journalist from Germany in Donbass.

For over half a year she covers the situation there on her Telegram channel, as well as the situation with anti-Russian propaganda in Germany.

The authorities have opened a criminal case against her and stole money from her bank account.
 
Osama bin laden alipoingia marekani mnamo mwaka 1986 passport yake iliandikwa jina la Tim Osman. - former FBI chief ted gunderson
😌
Yasemekana alikuwa Agent wa CIA miaka hiyo ya 1980s... Yadaiwa alikufa from natural kifo cha kawaida tu mwaka huo 2001... Ingawa Obama alituaminisha kamuua yeye wakati wa utawala wake. Na ajabu zaidi wale Navy seal 20 inayodaiwa ndio walio muua Osama wote marehem kwa sasa...

Hii nayo itakuwa coincidence lakini 😂
 
Huo ndo ukwel..hata mm ni pro russia kindak ndaki..lakin hawa vibalagashia wanakeraaa mno...uwezo wao n mdogo sana wa kung'amua mambo...kifupi ni mazombi...asaramarekoo...leo tunachinja ngurupee baada kutoka kumtwangaa sheitwani uarabuni na maweee..
 
Ukraine inataka kujiunga NATO
Soma Hiki kipande na fuatilia source ya Hiki kipande ujionee video yenye mapichapicha ya msaada wa NATO!
====
The Russian military organised an exhibition of military equipment left by the Armed Forces of Ukraine in the Severodonetsk-Lisichansk metropolitan area. According to the Russian Defence Minister, Ukrainian forces lost 196 Ukrainian tanks and armored vehicles, 12 aircraft and one helicopter in the battles. The AFU abandoned 39 units of tanks, 11 guns and mortars, 48 anti-tank missile systems during the retreat from the city.
 
Mbona Zanzibar ina skendo nyingi za ajabu ajabu pia?!

Haya ya ma sugar mamy wa kizungu Mombasa ni mabaya kuliko yaliyotokea Kigoma ya jamaa mmoja kuua familia ya watu 7 hadi watoto wadogo kisa mke wake alikuwa anachepuka na mwanaume wa hiyo familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…