rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Hatimaye leo mzee wa ewura karejea baada ya malalamiko ya wese. Nahisi kashapata msaada kutoka USA and NATO.
Hapo ndio umejionyesha ukenya wakoMbona Zanzibar ina skendo nyingi za ajabu ajabu pia?!
Haya ya ma sugar mamy wa kizungu Mombasa ni mabaya kuliko yaliyotokea Kigoma ya jamaa mmoja kuua familia ya watu 7 hadi watoto wadogo kisa mke wake alikuwa anachepuka na mwanaume wa hiyo familia?
Overpopulation sio kitu halisi?Ongezeko lililopitiliza la idadi ya watu(Overpopulation) ni suala halisi na linalosababisha matatitizo makubwa duniani, kadri idadi ya watu watakavyozidi kuongezeka ndivyo rasilimali za dunia zitazidi kupungua na kurudisha nyuma hatua nyingi za maendeleo kwa binadamu.
Climate change (mabadiliko ya tabia nchi) ni halisi na yenye athari kubwa duniani kote, sio conspiracy kama unavyofikri wewe. Yapo maeneo yaliyokuwa hayapati vipindi vya joto ila leo yana joto kali na kinyume chake. Theluji ya mlima Kilimanjaro inaisha kwa kasi.
Nakushauri mkuu hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe kila mtu aamini anachojua, Kwa hiyo kaa na Imani yakoYou are contradicting yourself,halafu hujui hata relationship kati ya Agano la Kale na Jipya.Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel sio sisi.
Read this👇
Wagalatia 3:23-25
23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Read also this👇
Waebrania 8:5-13
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
8 Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;
9 Halitakuwa kama agano lile nililoagana na baba zao, Katika siku ile nilipowashika mikono yao niwatoe katika nchi ya Misri. Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, Mimi nami sikuwajali asema Bwana.
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
You are contradicting yourself,halafu hujui hata relationship kati ya Agano la Kale na Jipya.Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel sio sisi.
Read this[emoji116]
Wagalatia 3:23-25
23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Read also this[emoji116]
Waebrania 8:5-13
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
8 Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;
9 Halitakuwa kama agano lile nililoagana na baba zao, Katika siku ile nilipowashika mikono yao niwatoe katika nchi ya Misri. Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, Mimi nami sikuwajali asema Bwana.
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
Kwanza Nashangaa wanao Endelea Kubishana naye au KumjibuHuyo nilishampiga block kitambo,Naonaga Kama dish lake limeyumba.
Hebu mueleweshe mkuu, napenda kujifunza. usifiche hiyo knowledge Uliyojaaliwa. Natanguliza shukrani
Hawa wasikupe shida, lengo ni kuvurugwa uzi ili tuhame na tuache kufuatilia "demilitarization and denazification operation in Ukraine"Mkuu me naomba ufungue uzi wa kuhusu haya mambo unayoyasemea humu unatuchanganya tu.
Kwa akili hizi basi sishangai jeshi lenu la kenya KDF (kenya drunkard force) wana sanda kwa alshababu pale somalia.Huyo Urusi hata waarabu waliokua wanamtegemea wamemhama, kashindwa kufumua kainchi kadogo ukizingatia walikua wanamtegemea sana.
Kwahiyo unataka rusia ianze kulipua satelite za USA ndiyo uone jinsi silaha za marekani zinazo tumika ukraine zinavyo shindwa kufanya kazi .....kitu kinacho fanya uone kuwa urusi hana silaha kali ni kwamba silaha zinapiganishwa katika mifumo shirikishi ..hivyo hizo silaha unazo sema za zamani zinategemeana na kuhalibiwa kwa mifumo ya satelite ndiyo utajua nguvu zake .Soma! Sijasema wameishia "Silaha". Wana akiba kubwa sana ya silaha za zamani. Ila mifumo ya kisasa wana udhaifu. Vifaru vya zamani wana tele kuanzia T 64, wanaweza kuzitumia baada ya ukarabati.
Wewe unaelezaje kwamba kifaru T-14 Armata hakionekana? Kwa nini matumizi ya roketi janja imepungua?
Mifumo ya silaha za kisasa walibuni kwa kutumia vipuli kutoka Western. Kuvipata sasa ni tatizo kutokana na vikwazo.
Uzalishaji wa silaha janja ni dhahiri wanatoa kidogo.
Hiyo ni operation tu Kwa mujibu wa Putin na sio vitaBwana maelezo hayo tumeshaona mara kadhaa. Hayakuongezeka ukweli. Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya vita anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????
Hakuna. Kile ambacho ni muhimu vitani ni wanajeshi wako. Moyo yao, elimu yao, ujasiri wao.
Katika WW3 jambo kubwa zitakuwa silaha za kinyuklia. Tishio hili ni kitu kinachomwokoa Putin hadi sasa.
Menginevyo hana . watazamaji wote kimataifa wameshtuka walipoona uwezo halisi wa jeshi lake.
Mkuu T14 Armata tunaomba uongezee nyama kidogo hapo☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽Kimebuma tena 😂
⚡Yet another US weapon testing failure:
Trials of a Minotaur II+ rocket exploded a matter of seconds after its launch.
View attachment 2284935
I wish mngeelewa uhusiano Kati ya Vita ya Ukraine na Russia na Mungu.Anyway kwa vile hamtaki Mungu ahusishwe kwenye mambo ambayo anahusika kwa njia moja au nyingine,nimeacha.Nashangaa kwa nini watu mnamchukia Mungu kiasi hicho.Mkuu me naomba ufungue uzi wa kuhusu haya mambo unayoyasemea humu unatuchanganya tu.
Nami ningetamani waelewe uhusiano kati ya vita ya Ukraine na Urusi pamoja na Mizimu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] natania ila hakuna uhusiano huo.I wish mngeelewa uhusiano Kati ya Vita ya Ukraine na Russia na Mungu.Anyway kwa vile hamtaki Mungu ahusishwe kwenye mambo ambayo anahusika kwa njia moja au nyingine,nimeacha.Nashangaa kwa nini watu mnamchukia Mungu kiasi hicho.
SOMA !! ninachosema. Nasema wana udhaifu katika mifumo ya silaha za kisasa maana mara nyingi (si kote) wanategemea vipuli kutoka nchi za NATO. Ona utathmini ufuatao, ukiweza kuuelewa. Kutokana na vikwazo walivyopigiwa wanapata sasa matatizo kupata vipuli hivi:We mkuu upo serious kua Russia ana mfumo dhaifu wa silaha!!!
Vipi kuhusu S-400 nayo dhaifu??
Ngojea wajeAnother Anti-Russia falls