[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pro NATOwametutukana Sana Putin kaamua kuweka heshima wote wamekimbia
Huo uharibifu ushafanyika kwa kiwango kikubwa. Ile ni vita sio operation boss. Huwezi ukafanya demobilization of military ya nchi nyingine halafu useme ni operation, obvious ile ni war. Kuiita operation ni kuipunguzia tu attention isionekane kitu kikubwa sana.Kyiv kuna Raia wengi, lazima utoe Rai ya kuhamisha Raia kwanza, ile ni operation sio vita. Total war haichagui, inafumua majengo bila kufanya assesment yoyote.
Tuwaombee UKRAINE, kuleta ubishi na kutaka kusifia kwamba UKRAINE wamejitahidi haina maana yoyote wakati nchi ina wakimbiza wengi. Hawana vifaa vya mashambulizi nk.
Kwenu nyie mnaona vita kama ushabiki wa mpira 0yaani.
Mungu inusuru hii vita, na wakae kwenye mazungumzo.
Nilichomaanisha ni uswahili tungepunguza kuubrand kama tusi.ita vyovyote ila mie huwa sio shabiki wa mtu anaekera wenzie kwa kigezo cha uhuru😅
Daah meseji ina ujumbe mkubwa sana
Na ndio ananyamazisha ss,subiri utaona!Huyo mungu wako akitaka kutuuzi ainyamazishe hii vita,watu tumepata vya kushuhudia alafu ww unasema vita iishe? Unafikili hao wanaopigana wajinga sana au unauchungu sana kuliko wenyewe,aisee kama huna cha kusema bora ukae kimya, maana nayo pia ni busara. Usituudhi sawa?
Kumbe Ukraine mini inakoharibiwa ni wamekani ? Wazungu ?Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
Daah meseji ina ujumbe mkubwa sana