Albania nasikia kimewaka sasa hivi!Babu wa White House apigwa spana kali na Wamarekani baada ya kuwalaumu Republicans juu ya maisha magumu ya Marekani (wese bei juu, chakula ghali, huduma za afya hazishikiki, madawa bei mbaya). Anadai Republicans hawafanyi lolote, wanamwangalia tu na kumkwamisha🤣🤣🤣😄😄
Mwambieni Babu atulie, Fungate imekwisha...alilikoroga la Ukraine, lazima alinywe. Ajiandae kwa lolote, kwani punde raia wake watachoshwa na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, watatumia uhuru ule wanaohubiriwa kila siku kuingia mabarabarani na watamnyoa kwa ule wembe uliotumika kuwanyolea kina 'Ben Ali' wa Tunisia, 'Hosni Mubarak' wa Egypt na hivi sasa 'Rajapaksa' wa Sri-Lanka.
=======
View attachment 2286796View attachment 2286797
Hii comment hii!Wanaume wanao wapeleka moto walaumiwe kwa lipi? Hujui hawa washenzi wangesababisha mfumuko wa bei wa Matango, karoti, ndizi na mabiringanya mchongoko🙊 wanaowapeleka moto wanasaidia kufanya bei ya kUwa himilivu, hawa washenzi hawapaswi kutetewa
[emoji41][emoji41][emoji41]Nasikia Mariupol inajengwa balaa
Shughuli imeisha hapo, ni mwendo wa IsknanderRussian hacker group RaHDIt along with Ukrainian hackers "Beregini" say they hacked the Ukrainian military intelligence HQ’s and obtained secret operational documents about the actions of the Ukrainian army and the situation at the front.
Kwa style hii lazma sniper wakimbie vita😂😂😂‼️🚀🇷🇺🇺🇦 Positional battles are taking place on the outskirts of Kharkov: the Russian army launched a number of missile strikes on enemy targets at night
😄😄 Umetisha Sana kwamba akamwagilie Moto kwa kutinduliwa 0713/0717/0655 😄😄😄Kalawitiwe kakaa.... SI unaona kufirimbwa ni sawa na kumwagilia moyo.... Ktinduliwe Mzee kiroho saaaafy binua trakooo .....
Kusema mbinu za mababu zetu zilikuwa za kijinga Mimi napinga, maana hao hao mababu zetu na mbinu zao za kujinga lakini zilileta Uhuru huu tulionao,
Katika kitu MTU mweupe amefanikiwa ni kuharibu dini zetu, utamaduni wetu na fikra zetu ni kuhakikisha muafrika anaukana uafrika wake na kuukumbatia ugeni,
Mimi Nina Imani Kwamba hiyo elimu ya risasi kugeuza maji huwenda ilikuwepo Ila kuna baadhi ya wasaliti walitoa Siri jinsi ya kudhoofisha hiyo kinga,
Kuna mwanamazingaombwe mmoja kama sijakosea ikitokea mwanza alikuwa anaonyesha mazingaombwe kwenye ukumbi, akajifunga kamba shingoni ili ajinyonge, baada ya maandalizi yote kukamilika akawaambia watu waondoe stuli aliyosimamia, watu wakatoa jamaa akaanza kurusha miguu na mikono watu wakawa wanashangilia onyesho ni zuri kumbe ukweli jamaa kamba ilimashika kweli shingoni na alikuwa anaomba msaada, ikafika jamaa mpaka katulia wasaidizi wake walikuja kushtuka jamaa kaachia Hadi ngama yule jamaa alifariki, lakini watu baada ya kufatilia ikagundulika kuwa kuna wazee walimchezea mchezo,
Lakini story hii baada ya miaka 50 na mazingaombwe yasippkuwepo kijana WA miaka hiyo anaweza kabisa kusema kuwa jamaa alikuwa ni mjinga kujaribia kujinyonga maana haingii akilini ujifunge kama shingoni upone, sasa mtu kama huyo ni wewe mkuu baada ya miaka kupita na mila zetu kuzipa mgongo ukianza kujiuliza utaona ilikuwa ni ujinga tu, au kama unamkumbuka mwanamazingaombwe mmoja maarufu Sana miaka hiyo anaitwa power mabula ulizia historia yake iliyosababisha yeye kuacha mazingaombwe
Kuna watu wanauwezo wa kutoka mkoa mmoja hadi au kuna watu walikuwa na uwezo upo magomeni unamsema vibaya Edward wakati mpo kwenye daladala mnaenda tegeta nyumbani kwake lakini ukifika tegeta anakuuliza kwanini ulikuwa unamsema vibaya wakati upo kwenye daladala, unajiuliza kajuaje?
Uwezo huo alikuwa nao marehemu sheakh Ramia aliyemfungisha Nyerere ramadhani mpaka akaumwa kichwa
Hebu tujiulize kama utaalamu huo tungewafundisha majasusi wetu japo 50k tu tungekuwa wapi??
Kuna makaburi yapo kama sijakosea yapo iringa au mbeya, tanesco wwalipitisha nyaya za umeme juu ya makaburi hayo, siku wanawasha umeme, umeme ulikuwa unaishia pale kwenye kaburi na hauvuki, yaani huu pande umeme ulipotokea umeme ulikuwa unakuja mpaka kwenye nguzo ya mwisho Ila kwenye nguzo ya upande wa pili wa kaburi haina umeme, ilibidi tanesco watengeneze njia kuzunguka hayo makaburi na umeme unawaka mpaka Leo
Sasa hili la umeme kasayansi huwezi Ku define, yaani kaburi linaweza vipi kuzuia umeme???
Hapa ndipo tulipotakiwa kutafiti ili kupata majibu ambayo kama kaburi linaweza je hatuwezi kuiendeleza tukaweka kwenye anga lote la tz ili ikitokea siku ya Vita au uhitaji tuna activate inazuia kila ndege ya adui ikiingia kwenye anga letu maswala yote ya umeme yanakatika na kusababisha ndege za adui kuanguka
Mimi Kwa mtazamo wangu ilibidi tuangalie utaalamu na elimu waliyotumia mababu zetu tukaiboresha na kuondoa mapungufu yote tungefika mbali na wazungu wasingekuwa watatuletea magonjwa ili wapige pesa
Fanya vyote, zitofautishe dhambi au zisawazishe wewe tu; lakini kitu kimoja kitabaki kuwa kweli kwamba: dhambi haihalalishwi kwa dhambi nyingine ndugu yangu.Mkuu Vipi kuhusu walevi, wauaji, Wala rushwa, waongo, matapeli, ki-biblia ushoga hauna tofauti na Uongo, uuaji, wizi , ulevi nk...
Acha kuhukumu
Hao wanaoamini waache waaminiOral sex yoyote ile.
Kuna watu wanaamini sio sahihi binadamu kutumia mdomo anaoutumia kula na kufanyia ibada kufanya nao mapenzi/blow job!
Uturuki ni pro nato au ni m3mber wa nato!?Unaposema Pro NATO unamaanisha na Uturuki?!
Wazo zuri, kazi ipo tu kwenye kuunganisha vinavyoonekana na visivyoonekanaSasa hili la umeme kasayansi huwezi Ku define, yaani kaburi linaweza vipi kuzuia umeme???
Hapa ndipo tulipotakiwa kutafiti ili kupata majibu ambayo kama kaburi linaweza je hatuwezi kuiendeleza tukaweka kwenye anga lote la tz ili ikitokea siku ya Vita au uhitaji tuna activate inazuia kila ndege ya adui ikiingia kwenye anga letu maswala yote ya umeme yanakatika na kusababisha ndege za adui kuanguka
Mimi Kwa mtazamo wangu ilibidi tuangalie utaalamu na elimu waliyotumia mababu zetu tukaiboresha na kuondoa mapungufu yote tungefika mbali na wazungu wasingekuwa watatuletea magonjwa ili wapige pesa
Dah! wewe jamaa movie zimekuharibu maana inawezekana kwako vita ni fantasy, front line ni kuzimu ( hell ) kwenye modern welfare hakuna mshindi. Unavyo sikia russia kasonga mbele ame advance ujue ame mobilize jeshi kubwa hapa kuna hasara kubwa ya askari na vifaa. Vita sio kitu cha mzaha walioko frontline hawana hamu wengine baada ya vita watapata postpartum depression. China, nato members kuwaingiza kwenye vita sio jambo rahisi kwa sasa, vita inaharibu kila kitu, wewe mtz mwenzangu endelea na ushabiki wako yawezekana umri wako bado mdogo
Kuna kitu dada waafrika tunafail kwenye uchaguzi wa uwanja wa mashindanoZa asubuhi mkuuu sijawahi kutoa HEKO.
Mimi ngaboru kwa ridhaa yangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu huyu jamaa ajengewe MNARA.
Hiyo ndio inaitwa kufikiria nje ya box yale ya darasani kila mtu anajua na ukijibu uhalisia unafeli tunajibu kuvuka madarasa.
Hii elimu ni copy and paste in Mathanzua voice sasa tutoke kwenye hiyo engo tufikirie beyond.
Yote yatatufaa kama ni strori za kweli kama sio janjajanja.Wakati mzungu anatafuta dawa ya tumbo kwenye maabara Sisi tunatakiwa kutafuta dawa ya miti shamba ambayo itatoa tiba sawasawa na dawa zilizotengenezwa na mzungu,
Wakati urusi anatengeneza kombola la
Masafa marefu Sisi tunaboresha kama watu Wana uwezo wa kutengeneza radi basi tuboreshe ili Ile radi tunayoitengeneza tuwe na uwezo wa kuipeleka Hadi urusi na ikashambulie sehemu tuliyokusudia bila kuharibu sehemu zisizohusika
.Kuna uchunguzi ulifanywa ikaonekana watu walichanganyiwa vilevi katika dawa wanazonyweshwa ili walewe waone na waseme yasiyokuwepo [kind of truth serum] mfano mawimbi katika beseni ya maji nijiundie sura ya mtu niliyehisi tangu mwanzo kuwa kaniibia mke, saikolojia tu. Anyway usiri pia katika hayo mambo unaturudisha nyuma.Wakati wanatafiti vifaa bora na kutumia CCTV camera Kwa upelelezi Kwenye kesi mbalimbali, Sisi tunajenga kitengo maalumu kitakacho kuwa kinahudumia watu mbalimbali waliodhurumiwa haki Yao,
Uko sahihi kabisa...yaani huko Russia Kuna wasaidizi wa Putin ndani ya jeshi, inteligence, serikali, bunge na media wana msimamo mkali na wa kutisha...Mimi naamini Kama siyo busara za Putin saa hizi Ukraine ingekuwa majivu..Wanaomzunga Putin ni wabaya zaidi wengine wanataka waipige hata marekani na Poland ila busara za Putin zimezuia
Huyo ni ***** huwa anayatetea SanaKalawitiwe kakaa.... SI unaona kufirimbwa ni sawa na kumwagilia moyo.... Ktinduliwe Mzee kiroho saaaafy binua trakooo .....
Hao wote hawatakiwi kufungwa ni haki yao kufanya wanachopenda.Mkuu Vipi kuhusu walevi, wauaji, Wala rushwa, waongo, matapeli, ki-biblia ushoga hauna tofauti na Uongo, uuaji, wizi , ulevi nk...
Acha kuhukumu