Warusi wa JF wamepagawa,vumilia tu Mkuu,utaporomoshewa lugha zote za kejeli na matusi kisa unatofautiana nao ki mtazamo hapaI never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
unaongea kirahisi sanaa ingekuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote tungekuwa salama kitungwa kwa sheria kuna maksudio yake.I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Chaikiev imezungukwa kila upande kuna raia wengi wanabidi watoke kwanza baadhi wanajeshi wa ukraine wanavaa kirai na kura kona
sawa sawaKunywa Pepsi barid bili kwangu Jonas
Jamaa anamzungumzia kiduku ambae toka alipopeana mkono na Trump amekuwa akiumwa ugonjwa usiojulikana kila mara. Kuna muda alikuwa haonekani kabisa mpaka ikasemekana jamaa yuko hoi bin tabaan. Kwa sasa kiduku anaishi na sumu mwilini, japo anajikongoja lkn inasubiriwa siku tu watu watangaze msiba. Unacheza na Mmarekani nini.Hizo habari ulizitoa kwenye online tv za usaku.
Inasikitisha sana. Hawa ndio vijana tunaotegemea wadai katiba mpya na wapiganie taifa lao. Kwa uelewa huu I rest my caseunaongea kirahisi sanaa ingekuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote tungekuwa salama kitungwa kwa sheria kuna maksudio yake.
Kuna wanaopenda
Wizi
Ubakaji
Ujangiri
Ujambazo n.k
Vipi hawa nao si mnawaonea sasa
ΠΠΈΠ·Π΄Π΅Ρ Π±Π»Ρ!πππ
Walau kuna Pro Russia wachache mnaongea vitu vyenye mantiki,ngoja tuwapuuze wanaotuletea hadithi za kyiv kugeuka majivu kuanzia sasa Mkuu.Ungemuuliza yeye labda yuko Kyiv. Kwani kila linaloongelewa na wa bongo unalichukulia serious? hapa Bongo hata hao washabiki wa Simba na Yanga ukiwachulia serious unaweza kudhani hata wakienda Champions leugue huko Ulaya watachukuwa kombe, Ni kujiongeza tu
sio mshirika kamili wa NATO, ndiyo alikuwa yupo kwenye process za kuwa mshirika kamiliKimsingi hii ni hoja yenye mantiki ya kuhepusha vita which is correct and very bold. Sasa swali ni kwamba Ukraine ni mshirika wa NATO??
Acha kuokota okota taarifa na ku-post bila kuzifanyia upembuzi. Usiwe kama mshenya kuni wa usiku ambaye anakusanya hadi wadudu hatari (nyoka, nge, tandu) kwenye kuni pasi na kupambanua.View attachment 2135881This legendary Ukrainian fighter jet pilot shot down 10 Russian enemy aircrafts. His nickname is "Ghost of Kyiv".
Nimegundua nabishana na watu hawajui wanatetea ninisio mshirika kamili wa NATO, ndiyo alikuwa yupo kwenye process za kuwa mshirika kamili
Wanakolekea usije shangaa hata app store na Android zikawa disabled kwa Russia,warudi kutumia Huwaei za xinji Pi kabisa πππwarusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tenaπππππ ππ€£ sasa hivi ukidate online na mdada wa russia hachomoi bongo anakuja hata kwa miguu maana SUPERPOWERs wanaipiga russia kiuchumi mpaka huruma
Mkuu lile gari la washa washa ulilotuwekea hapa jana likikatiza mitaa ya Kyiv limefikia wapi πKwani kipindi Russia anaenda kuweka Base ya kijeshi Cuba unafikiri Cuba ilikuwa koroni la America? Lilikuwa taifa huru kama sasa Ukraine na wao ndo walikuwa na urafiki na Russia na wakakubali Russia aweke Base pale Cuba ila jirani akakataa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa "operation chini ya masaa 24 tu"vipi Kyv ishakuwa majivu tayari?Kwani UKRAINE unadhania ni RWANDA?
Amepigana vita 7 na mataifa makubwa na bado ni super powerUkraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI atampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.