Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,276
- 12,780
Unadhani Russia hawakufanya analysis ya madhara yatakayotokea wakiingia vitani na kujua nini kitafanyika baadae?Ukraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI atampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.
Utakuwa mjinga kuamini kuna vita ya siku moja, really stupid!Tuombe uzima wafikie tu makubaliano ya kusitisha vita ila kila mmoja aishi kwa amani. Tatizo Putin anaona akisimamisha vita atadharauliwa sana na baadhi ya mataifa ambayo yaliamini Urusi ingemaliza mission usiku mmoja tu, na kwa upande wa Ukraine nao naona Marekani anawachochea chochea ili waendelee kumtia mrusi hasira na kujikuta anaendelea kutumia silaha zake, jeshi lake na uchumi wake ktk vita ili mwisho wa siku Russia idhoofike kidogo kutokana na vita hivyo.
Yes indeed...! MateMarekani anaogopa?
Kiev ipo mikononi mwa mrusi,wale wa nato sogezeni pua zenu basi mbona mnapiga kelele kwa mbaliWazee wa "operation chini ya masaa 24 tu"vipi Kyv ishakuwa majivu tayari?
Freedom of expression hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki kazi sanaDuh, nimekula ban huko twitter. Yaan ukicomment vibaya kuhusu UKRAINE unakula mua.
Kama ni hivyo kilichokuwa kinawafanya mseme Russia anakwenda kufanya operation maalum tu ndani ya masaa 24 anamaliza mchezo Ukraine ni kipi sasa (japokuwa unaweza kuwa si wewe but Pro Russia wengi humu ndiyo walikuwa wanatupigia makelele hayo ) kama mnalijua hilo la uwezo wa Ukraine kijeshi pia.Tunajua ni aibu the so called Super Power kijeshi kupewa upinzani mkali na Underdog Ukraine,tunawaelewa mnavyojaribu kumsitiri mtu mzima aliyevuliwa nguo na mtotoAliweka kitengo cha nuclear standby baada ya kuona choko choko za NATO na sio kwa lengo la kuishambulia Ukraine, hilo nalo hukuliona? Hivi unadhani uwezo wa kijeshi ukraine mdogo kama wa nchi zetu hizi? Kumbuka US wamefanya nae training nyingi sana uwezo wake sio mdogo kama unavyofikiri. Matumizi ya silaha nzito nimesema hapo juu kwa mtazamo wangu rudia tena kusoma na kuelewa
nakuuliza kila mtu akiamua afanye unachokuona kwake ni sahihi tutadum?Inasikitisha sana. Hawa ndio vijana tunaotegemea wadai katiba mpya na wapiganie taifa lao. Kwa uelewa huu I rest my case
Eti ujinga wako.... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itakuwa wameshindwa kuvumilia ujinga wako.
Amna ni weusi waafrika wenzetuKumbe Ukraine mini inakoharibiwa ni wamekani ? Wazungu ?
hoja sake ni zip?Dunia nzima iko nyuma ya Ukraine sababu Putin ame miss calculate. Alitegemea atakutana na EA na western powers instead amekua mvamizi wa free country so turned out he is criminal and for that hoja zake za kuivamia Ukraine hazina mantiki wacha dunia imtenge.
So ile operation ya masaa 24 sasa hivi itakuwa ya mwezi mzima kwakuwa Kyv ina watu wengi si ndiyo Mkuu.Kyiv kuna Raia wengi, lazima utoe Rai ya kuhamisha Raia kwanza, ile ni operation sio vita. Total war haichagui, inafumua majengo bila kufanya assesment yoyote.
Tuwaombee UKRAINE, kuleta ubishi na kutaka kusifia kwamba UKRAINE wamejitahidi haina maana yoyote wakati nchi ina wakimbiza wengi. Hawana vifaa vya mashambulizi nk.
Kwenu nyie mnaona vita kama ushabiki wa mpira yaani.
Mungu inusuru hii vita, na wakae kwenye mazungumzo.
ndiyo hivyoNimegundua nabishana na watu hawajui wanatetea nini
Hiyo Dunia iliamuaje wakati LIBYA inavamiwa?Dunia nzima iko nyuma ya Ukraine sababu Putin ame miss calculate. Alitegemea atakutana na EA na western powers instead amekua mvamizi wa free country so turned out he is criminal and for that hoja zake za kuivamia Ukraine hazina mantiki wacha dunia imtenge.
Utaifanyaje nchi iliyo huru na matakwa yake? ivi Tz ikianzisha uhusiano na oman nani atainua mdomo, China nani ataiunua mdomo, korea nk., nchi huru haziingiliwi siasa zake, Ukrain ni nchi huru tunapaswa kulaani mauaji ya kinyama kutoka russia kwa taifa dogo kivita kama Ukrainkwa hiyo aweke hayo ma chuma ya hao wapuuzi ili warusi waje kuumia mbeleni....akuuu!!!!..hata mimi ningelianzisha kinoma noma
Kumbe uli anzia ulaya nilizani china bhana.we kiaziVITA YA UKRAINE NA URUSI IMETHIBITISHA KWAMBA COVID-19 NI MRADI WA WAZUNGU KWA MINAJILI YA KUPIGA HELA.....SASA HIVI BAADA YA URUSI KUKINUKISHA HUSIKII TENA SIJUI VARIANT SIJUI DELTA SIJUI OMICRON WALA BIBI YAKE NANI.......HAPA NDO UTAJUA WAZUNGU COVID NI MRADI WAO WA KUPIGA PESA.
INASHANGAZA SASA HIVI ONLINE PLATFORMS KARIBU ZOTE ZIMEACHA KUKADILI COVID AJENDA NI VITA YA UKRAINE TU....AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!!
We modi ulefuta uzi wangu ***
Watumie huawei za rafiki yao China zisizo na Android,hawana jinsi kama ndiyo hivi.Apple re:Store stores are not open today. Yesterday, the company announced that it was suspending deliveries of equipment to Russia.
Source: Baza
View attachment 2136088
Ile misafara iliibuliwa na satellite vinginevyo Russia wangepiga kimya.misafara ya gari zao jana kutembea umbali ule unafikiri hawakufanya assessment ya kwamba nini kinaweza kutokea?
blah blah tupu,wenzio tangu majuzi wanatuletea hizi porojo,hakuna jipyaKiev ipo mikononi mwa mrusi,wale wa nato sogezeni pua zenu basi mbona mnapiga kelele kwa mbali