LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Isije ikawa shida ulikuwa unaandika Kiingereza cha Kirusi.
 
Nenda kashtaki kwa Putin aende akawapige mabomu wamiliki wa Twitter.
 
Babu,mbona unakuwa na kichwa boga kama mashabiki wa CCM tafuta hotuba za putin-amelielezea hilo swala vizuri.kwa hiyo we we unaona ni sawa USA awekw base Ukraine na Ukraine ilimiko nuclear kwa mgongo wa USA??
Na ww unaona sawa Urus kuendelea kupandikiza viongoz kweny zinamzomzunguka ? jiulize majirani zake wanajiunga na Ulaya ya Magharibi ila ww upo Buza hujawai hata kuiona ndege ya kivita ya kirusi ndo unamshabikia Putin
 
Tanzania sio Nazism wala Fascism umeelewa
 
The Embassy of Ukraine in Moscow is everything. The employees left, the gates were sealed.
 
Ukraine closed shipping in the north-western region of the Black Sea - General Staff of Ukraine
 
Wakazi wa Mwanza mjini kati nasikia kuna midege ya vita inakatiza mjini hapo,vipi kunani tena huko?
 
NATO wanaogopa sana vita na Urusi, na kwa kuwa Ukraine siyo mwanachama wa NATO basi wamepata kisingizio.
Nimeona eti wanatoa msaada wa MIG 29! huu ni utani wa hali ya juu. Kwa silaha za kisasa ndege hizo zitapigwa zote, ni za kizamani mno. Huwezi kumpatia askari wa kimarekani ndege hiyo airushe kwenye vita - ataona humpendi na unamtafutia kifo.
 
Isije ikawa shida ulikuwa unaandika Kiingereza cha Kirusi.
Hapana, ila nilikuwa napingana sana na mitizamo yao. Nikazuiliwa kwa muda wa masaa 12, now nimeingia naona kwanza wamenilog out, nilivyolog in, sioni chochote, followers, na zile following naziona ila kila nikitaka kuchek chochote naambie hakuna connection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…